jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,950
- 29,532
Najiuliza hivi mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani yupo wapi?
Anafanya nini na kwanini yupo kama hayupo?
Au anasubiri msiba ajitokeze kulilia mic?
Hauwezekani kila uchao wabunge anaowasimamia tena walewale wanaingia kwenye vurugu na kukosea heshima kiti cha spika lakini hawachukuliwi hatua.
Ushauri wangu kwa Bunge watunge kanuni ya kuwawajibisha wasimamizi wa nidhamu wa wabunge sambamba na wabunge walioshindikana kwa utovu wa nidhamu.Kanuni hii ipeleke adhabu kwa mbunge na chama au kambi husika.
Kanuni hii itawabana wabunge wakorofi na wanaowatuma.
Haiwezekani mtu atoke jimboni mwake kwenda bungeni kusaka kiki badala ya kuhoji na kupendekeza hoja za maendeleo ya jimbo lake.
Uwakilishi wa wananchi umegeuka kuwa ubinafsi na kiburi kwa baadhi ya wabunge hasa wa upinzani.
Nimekuwa inspired na Mwanachadema aliyewahi kuandika juu ya mnadhimu wa kambi ya upinzani akapuuzwa.....
Mnadhimu wa Kambi ya upinzani wakumbushe wabunge wako kuhusu nidhamu bungeni
CC:Mkuchika