Tetesi: Baadhi ya mashirika ya Umma nchini yamekosa wawakilishi wazuri ktk vituo vyao vya chini

Kalam mpya

Member
Mar 30, 2017
84
76
Tanzania ina idadi kubwa ya mashirika ya umma yapo ya kiserikali na ya binafsi.
Mashirika haya kwa kiwango kikubwa hutegemea sana utendaji mzuri na uwajibikaji bora kwa ngazi ya vituo vyake vya chini mbali ya makao makuu kuelekeza namna ya kufikia malengo na kukuza namna bora ya ufanisi ya wa kazi za shirika za kila siku ktk kuhudumia wateja.

Vituo hivyo vidogo hukosa juhudi na maarifa za kazi zao kwa kukosa ufanisi na ushuhurikiaji wa kero ndogondogo za ndani na nje kwa watu wanaowahudumia.

Hali hio imekua ni kikwazo kwa mashirika yetu kusonga mbele hata kutofikia malengo malengo yao waliojiwekea kwa mwezi au kwa mwaka.

Zipo changamoto nyingi za kazi nyingi zaidi husababiswa na wafanya kazi wenyewe kwa kukosa maarifa ya kuzitatua na badala yake huzipa afya kukua kwa changamoto hizo.

Wastani mdogo sana wa changamoto za mashirika hupungua kwa kushughurikia kikamilifu au kutoa mwanya wa kukuza. Yote haya ni kukosa Elim ya ndani ya utatuzi wa changamoto hizo.

Majibu mabaya ya viongozi waliopewa dhamana ya kuwakilisha taasisi yamekua yakiipaka matope taasisi mbambali za umma. Watu wa aina hiii ni ngumu kuamini kama hawafai kwa kua wana Elim nzuri na taluma wanayoiongoza.

Wito wangu kwa Taasisi zetu za umma sasa kutafuta changamoto zote za vituo vyao vya kazi kushuhurikia kwa Afya bila kughubudhi afya ya watu wengine.

Sambamba na hilo kutatu kero za wale wanahudumiwa kupata huduma zenu kwa wakati na salaama.

Serikali ya awam ya Tano ina msimamo mzuri na imeanzisha misingi mizuri.
Kila mtu alipo ashughulike kwa kiwango chake cha ELIM pale alipo.
Na hili limekua tatizo la dharau kwa watumishi wengine kuwabaguwa wenzao kielim kwa kuwaona hawatoshi katka shuhuri mbalimbali ambazo kwa wingi wao wamekua msaada mkubwaa kwa tasisi hizo.


Mwisho usimcheke asimcheke aliekosa Elim kwani anafaa kwa akili yake.
 
Mada pana sana hii, kuwa specific kama kielelezo cha mashirika mengine
 
Back
Top Bottom