Nimejifunza jambo kubwa sana leo kutokana na wasifu huu wa mzee "Ndesa Pesa": Kwamba sio kila anayefanya siasa anatafuta maslahi binafsi ya kiuchumi! Hakika Chadema imejaa damu & jasho la huyu baba!!! Tangulia kamanda Ndesamburo na Mungu akakujazi!
Funzo la tatu: Ujasiri wa Lowassa ku "cross border" unaashiria mengi! Mbwembwe za kuanzisha "Mahakama ya mafisadi" zilianzia kwenye kampeni za uraisi 2015 na bila shaka zilimlenga yeye! Kulikoni mpaka leo hajawa mteja wa mahakama hiyo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.