Mwigulu Akiendelea kuwa waziri Basi ndie Rais ajae tutake tusitake. Atakuwa na timu Bora na zaidi ya Tillion 2 kibindoni

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
Wanaomchukulia Mwigulu kirahisi rahisi wanakosea Sana.
Siwezi zungumzia uadilifu wake lkn najua anavyojua kusaka pesa akiwa kwenye mamlaka.

Alipokuwa naibu tu Wizara ya fedha kwa miaka 2 tu aliunda pesa za kutosha. Mwaka 2015 Akaanza kampeni za uraisi kirahisi Sana. Akalipia matangazo ya redio na tv karibu zote kutangaza Nia.

Mabango, mawe, Barabara vijiwe vikajaa majina ya Mwigulu Raisi.

Alipeleza pesa kidogo tu.

Alichokosea kidogo alichelewa kuunda timu. Na wenzake hawakujua mfuko wake. Wangejipendekeza Sana tu.

Wakati akina kigwangala wakipambana na Mo awakopeshe pesa za kampeni za ubunge Jamaa alibaki na mzigo wa kutosha. Akatumia helkopta kuzunguka nchi mzima na msafara binafsi. Kupiga kampeni za Uraisi ili ajisibitishie Uwaziri.

Sasa akiweza kufanya urafiki wa kinafiki na wapinzani wake Kama akina mpina, timu Jpm ili kupunguza madongo Basi ndani ya miaka 2 atakuwa na mzigo wa kutosha.

Sijui Kama Ni mfanya biashara Ila chukueni hii. Hii singida big star imeibuka na usajili wa kutosha. Mapesa ya kutosha. Mfupa wa kuendesha timu uliomuumisha kichwa Mo na Manji jamaa kautafuna Kama stake.

Anajua kujenga mifumo inayofanya na kupendezwa nae.

Nazani hatujui nguvu ya Mwigulu lkn naamini 2025 anaweza akawa na zaidi ya Tillion 2 ambazo zitamfanya kuwa na timu yenye nguvu Sana.

Jamaa Anajua watu wa kuweka kwenye timu. Sio ajabu kelele kwa mama haziwezi sikika Sababu washauri wote wa mama Ni timu yake.

Mwigulu ndio Raisi ajae.
 
Wanaomchukulia Mwigulu kirahisi rahisi wanakosea Sana.
Siwezi zungumzia uadilifu wake lkn najua anavyojua kusaka pesa akiwa kwenye mamlaka.

Alipokuwa naibu tu Wizara ya fedha kwa miaka 2 tu aliunda pesa za kutosha. Akaanza kampeni kirahisi Sana. Akaripia matangazo ya redio na tv karibu zote kutangaza Nia.

Mabango, mawe, Barabara vijiwe vikajaa majina ya Mwigulu Raisi.

Alipeleza pesa kidogo tu.

Sijui Kama Ni mfanya biashara Ila chukueni hii. Hii singida big star imeibuka na usajili wa kutosha. Mapesa ya kutosha. Mfupa wa kuendesha timu uliomuumisha kichwa Mo na Manji jamaa kautafuna Kama stake.

Anajua kujenga mifumo inayofanya na kupendezwa nae.

Nazani hatujui nguvu ya Mwigulu lkn naamini 2025 anaweza akawa na zaidi ya Tillion 2 ambazo zitamfanya kuwa na timu yenye nguvu Sana.

Jamaa Anajua watu wa kuweka kwenye timu. Sio ajabu kelele kwa mama haziwezi sikika Sababu washauri wote wa mama Ni timu yake.

Mwigulu ndio Raisi ajae.
Utaacha ashone suti ya bendera ya taifa akiona hii promo.
Kweli nitathibitisha kuwa watanzania tuna mtindio wa ubongo kama atapitishwa na ccm na kupata urais.
 
Nitahama nchi kabisa. Simkubali hata kidogo huyu mwizi. Sijui alipewaje hata hiyo wizara nyeti hiyo. Ameingia tu na kuanza kuiba moja kwa moja. Bahati ni mshamba,anazuzuka na pesa moja kwa moja anaanza kujionyesha wazi.

Kwa nchi zilizopiga hatua anaweza kuchezea jera vizuri
 
Mwigulu siyo cc ya ccm. Ili kuwa rais lazima mtu awe chaguo la cc ya ccm.

Kuna watu muhimu ambao ndiyo wataamua mtu awe rais wa nchi hii;-
-Kinana
..Kikwete
-Chongolo
-Shaka
Naamini wote isipokuwa moja tu ndio atashindwa kuwashawishi
 
Mkuu usiseme hivyo. Arrogance siyo sabab ya mtu kuukosa urais. Kuna Yuda alikuwa ikulu alikuwa na zaidi ya arrogance. Alikuwa katili Sana, aliteka, alipora na kuua watu bila huruma.

Tuiombe tu cc ya ccm isituletee dikteta tena
Mzeeeee Kwan kuua watu 10 uokoe watu million 60 Kuna makosa gaaaan the man was very right lkn cc nyumbu wa kitanzania uelewa wetu Ni mdogo saaana, we are not thinking beyond the reality. Ni hayo tu mkuu!!!!
 
Mwigulu kuendelea kuwa waziri ni hatari kwa mama 2025. Apigwe chini mapema ili kupoteza umaarufu wake kisiasa unaozidi kuongezeka. Kwa wasiojua siasa za Tanzania wanatakiwa waelewe hizi kelele za wananchi kuhusu Mwigulu ni mtaji wake mkubwa kisiasa. Akisema ajiondoe CCM atagombaniwa na wapinzani wote wakiongozwa na CHADEMA
 
Mwigulu ndio Raisi ajae
Hii ndoto ya kutisha ikija kuwa kweli mimi huyooo Buyenzi!! fulu stop.
Man-Cries-Because-Weed-Is-So-Good-1200x900-1.jpg

Mama amuachie Lissu tu kama anataka,kama hataki aendelee kujifunga kibwebwe hadi kirodani zitukae sawa.
 
Rais ajaye ni Either Mwinyi au Inocent Bashugwa baada ya Mtaka kuchafuka

Kila kitu kinaenda sawa kwenye vetting

Marais wenye asili ya dictator hawatakuja kuongoza tena hii nchi.

Save hii!!!
Sorry kufanya vetting vigezo vipi hutumiwa?
 
Back
Top Bottom