Siku, dakika za mwisho kabla ya Ben Saanane kutoweka
Siku chache kabla ya kupotea katika mazingira yasiyoelezeka, kada wa Chadema, Ben Saanane alifanya mambo mengi kama mawasiliano yake binafsi...
Je kweli ni mwanajeshi au kavaat mavazi jeshi
Je ni kweli yupo kikosi cha anga
Je kuna watu wamesoma nae majirani wanaweza kuthibisha kuwa ni mwanajeshi
JWTZ pia watoke watoe tamko nani...
Mjadala unaoendelea kuhusu Godbless Lema kutuma salamu za pole kwa Rais Samia Suluhu Hassan, kufuatia msiba wa mumewe unaonyesha tofauti kubwa kati ya msimamo wa chama na misukumo ya baadhi ya...
Socialite Mange Kimambi has demanded that CHADEMA return the contributions she made through the Tone Tone campaign after some party leaders condemned online activists as unproductive "keyboard...
Salaam,
Wote tunajua Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob Mkunda ni shahidi wa Tundu Lissu.
Hivyo kutokana na kesi inavyoendelea, haya ni maswali ya dodoso na ambayo naamini...
Kila organization inataratibu zake na mipaka yake kwenye mambo mengi watu wamekuwa wakikituhumu chadema ni chama cha kidekteta na kinaminya uhuru wa maoni baada ya maoni lema ila ni kwa sababu...
Tunaambiwa Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir alikuwa na wake watatu, basi ni busara rambirambi zitagawanywa kwa usawa hasa kwa bi mdogo.
Ni hayo tu kwa leo.
Mwili wa mwanaume ambae mpaka sasa bado haujatambulika umeokotwa asubuhi hii kwenye mtaro eneo la Mwenge njia ya Coca-Cola, karibia na Jengo la Josam house. Mashuhuda wanasema umetolewa macho yote...
RCO-Mbeya na polisi wamefika nyumbani kwa Mdude_Nyagali kuchukua sampuli ya damu iliyomwagika na kufanya uchunguzi. Moyo wangu umejaa hofu. Sioni mwisho mzuri katika habari hii. Hali ilivyo hadi...
PART 1:
Je ni Adui wa Watanzania ni Nani ?
Watanzania walio wengi wamekuwa wakiaminishwa na Wana siasa kuwa katiba mpya, Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi na Sera mbovu za Serikali iliyopo Chini ya...
"Kama M/Mwenyekiti CCM (Bara), nimepokea kwa masikitiko taarifa ya tukio la kihalifu dhidi ya Pr. Dkt. Kitima katika ofisi za Baraza la Maaskofu. Natoa pole zangu na kulaani kitendo hiki. Polisi...
Mzee Edwin Mtei na Mzee Bob Makani walikuwa ni watu makini, wasomi wa uchumi na wenye heshima na hekima nyingi waliolitumikia taifa lao kwa uaminifu mkubwa katika ngazi ya juu katiba kitaifa ya...
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikiwa kimedumu madarakani kwa muda mrefu nchini Tanzania, kimekuwa kikikabiliwa na changamoto mbalimbali za kisiasa, kiuchumi, na kijamii zinazotajwa na wachambuzi wa...
Mashahidi wa Mh. Lissu wanakiri kuwa Lissu amewaita majaji maCCM. Kauli hii ni mbaya sana kwa utawala wa sheria kwakuwa inahimiza watu wake na watu wengine wasioipenda CCM wasiende mahakamani...
Eric Shigongo, Mbunge wa Jimbo la Buchosa akizungumzia kuhusu masuala ya utalii na utajiri wa Tanzania, amezungumzia kuhusu utajiri mkubwa wa rasilimali zilizopo nchini Tanzania.
Hotuba hiyo...
Aliwezaje kukubali Tanganyika, ambayo ni kubwa kuliko Zanzibar kwa zaidi ya mara 350, ifutwe kabisa ili iungane na Zanzibar, huku akikubali Zanzibar iendelee kuwa nchi na nusu ndani ya Muungano ...
Kwa hapa Tanzania inabidi apotee au kutekwa nani ndio CCM na Serikali itaamini na kukiri hadharani kua kweli utekaji na upotevu wa watu upo?
Hadi sasa watanzania wote 70m+ tunaamini watu...
MSIMAMO WA SISI WATIBELI KWENYE SIASA ZA NCHI YETU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakinipigia Simu, kunitumia jumbe kwa njia za meseji ya kawaida au kupitia pm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.