Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tunaambiwa Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir alikuwa na wake watatu, basi ni busara rambirambi zitagawanywa kwa usawa hasa kwa bi mdogo. Ni hayo tu kwa leo.
12 Reactions
25 Replies
415 Views
Watakaopewa kipaumbele ni wale waliovuka Bahari kwenda kutoa pole, wamo na wasanii Mbu mbu mbu Hapo ndio nchi hii ilipofikia
19 Reactions
68 Replies
2K Views
Mwili wa mwanaume ambae mpaka sasa bado haujatambulika umeokotwa asubuhi hii kwenye mtaro eneo la Mwenge njia ya Coca-Cola, karibia na Jengo la Josam house. Mashuhuda wanasema umetolewa macho yote...
10 Reactions
34 Replies
803 Views
RCO-Mbeya na polisi wamefika nyumbani kwa Mdude_Nyagali kuchukua sampuli ya damu iliyomwagika na kufanya uchunguzi. Moyo wangu umejaa hofu. Sioni mwisho mzuri katika habari hii. Hali ilivyo hadi...
12 Reactions
89 Replies
6K Views
PART 1: Je ni Adui wa Watanzania ni Nani ? Watanzania walio wengi wamekuwa wakiaminishwa na Wana siasa kuwa katiba mpya, Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi na Sera mbovu za Serikali iliyopo Chini ya...
1 Reactions
1 Replies
40 Views
"Kama M/Mwenyekiti CCM (Bara), nimepokea kwa masikitiko taarifa ya tukio la kihalifu dhidi ya Pr. Dkt. Kitima katika ofisi za Baraza la Maaskofu. Natoa pole zangu na kulaani kitendo hiki. Polisi...
7 Reactions
55 Replies
2K Views
Mzee Edwin Mtei na Mzee Bob Makani walikuwa ni watu makini, wasomi wa uchumi na wenye heshima na hekima nyingi waliolitumikia taifa lao kwa uaminifu mkubwa katika ngazi ya juu katiba kitaifa ya...
0 Reactions
2 Replies
49 Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikiwa kimedumu madarakani kwa muda mrefu nchini Tanzania, kimekuwa kikikabiliwa na changamoto mbalimbali za kisiasa, kiuchumi, na kijamii zinazotajwa na wachambuzi wa...
3 Reactions
20 Replies
249 Views
Mashahidi wa Mh. Lissu wanakiri kuwa Lissu amewaita majaji maCCM. Kauli hii ni mbaya sana kwa utawala wa sheria kwakuwa inahimiza watu wake na watu wengine wasioipenda CCM wasiende mahakamani...
6 Reactions
191 Replies
2K Views
Eric Shigongo, Mbunge wa Jimbo la Buchosa akizungumzia kuhusu masuala ya utalii na utajiri wa Tanzania, amezungumzia kuhusu utajiri mkubwa wa rasilimali zilizopo nchini Tanzania. Hotuba hiyo...
1 Reactions
11 Replies
200 Views
Aliwezaje kukubali Tanganyika, ambayo ni kubwa kuliko Zanzibar kwa zaidi ya mara 350, ifutwe kabisa ili iungane na Zanzibar, huku akikubali Zanzibar iendelee kuwa nchi na nusu ndani ya Muungano ...
32 Reactions
105 Replies
3K Views
Kwa hapa Tanzania inabidi apotee au kutekwa nani ndio CCM na Serikali itaamini na kukiri hadharani kua kweli utekaji na upotevu wa watu upo? Hadi sasa watanzania wote 70m+ tunaamini watu...
3 Reactions
11 Replies
197 Views
MSIMAMO WA SISI WATIBELI KWENYE SIASA ZA NCHI YETU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakinipigia Simu, kunitumia jumbe kwa njia za meseji ya kawaida au kupitia pm...
6 Reactions
32 Replies
1K Views
Nyuki daima wanatengeneza asali. Ndege nao wanatengeneza kiota. Wanatafuta chakula wanazaa na kuishi. Ni nini kingine wanaweza kufanya? Mimea inaota. Inazaa mimea mingine. Inakula inaishi. Miaka...
3 Reactions
16 Replies
185 Views
Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi CCM Ally Hapi amesema kamsikia mara mbili Tundu Lissu akisema Chadema wapeleke salamu za pole kwa Samia lakini hajamuona Heche kufika Kizimkazi. "Nimemsikia mara...
4 Reactions
30 Replies
393 Views
Anaandika Mange kimambi kwenye ukurasa wake wa twitter “Mwigulu Nchemba mliwageuka Watanganyika wenzenu kwa tamaa za utajiri na madaraka, mlidhani nyinyi ni Wazanzibary???? Hii movie ndo...
46 Reactions
67 Replies
3K Views
Makamu wa rais anapotezwa watamzania kimya,maelfu wameuawa watu kimya.Haya ccm nyote mlikuwa mnachuki na Nchimbi? Ni Mzee Warioba tu aliyeongea wengine wote kimya. Ina maana Nchimbi hakuwa na...
1 Reactions
1 Replies
43 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna watu wahatari na balaa linapokuja suala la pesa basi ni Viongozi wa CHADEMA. Kama kuna watu unatakiwa uwaweke mbali na pesa ama harufu ya pesa basi ni viongozi...
1 Reactions
38 Replies
231 Views
Well , taarifa za Dr. Emmanuel Nchimbi (PhD) kuhusukujiuzulu zilianza chinichini hadi Gazeti moja likapigwa ban , mwisho wa siku ni kweli Daktari Nchimbi akalazimishwa kuachia Ofisi - Ni taarifa...
34 Reactions
102 Replies
2K Views
Wanabodi leo asubuhi nimesoma post ya mwana jf huyu,Josephat Gwajima ni mtumishi wa Yesu Kristo. Nguvu na uwezo wa Kristo umo ndani yake, ndiyo maana polisi awakumkamata nikaguswa!na kuamua...
34 Reactions
145 Replies
7K Views
Back
Top Bottom