Sio siri tena ,wananchi wengi hujitokeza kuiga CCM kwa sherehe ,sherehe ambazo zinatokea kwa kufanywa matamasha ya muziki,asie na mwana abebe jiwe kumuona Raisi wa mwisho wa CCM, muungano wa vyama...
Tayari Nchi nzima wananchi WALIO wengi wameshaonyesha muelekeo kuwa wanahitaji Chama na kuondoa UTAWALA kuweka uongozi, CCM ni watawala hawana tofauti na Utawala wa KIFALME au kikoloni,msipoondoka...
Wakuu; matokeo ya kidato cha nne yaliyotoka mwaka huu yanaonyesha shule ya sekondari ya viziwi njombe watahiniwa wote wamefeli mtihani.yaani kuanzia daraja zote za ufaulu hakuna aliyepata hata...
Kila mtu huhitaji maendeleo, lakini sio wote wanaofahamu na kukubali hitaji muhimu ili uwe na maendeleo.
Hitijai muhimu la maendeleo ni kufanya kazi kwa bidii.
Tuache kudanganyika vijana...
MAFAO WATUMISHI SEKTA BINAFSI KUSUBIRI MPAKA MIAKA HAMSINI NA TANO NI WIZI USIOVUMILIKA
Utaratibu huu ulikuwepo zamani kwa watumishi wa sekta binafsi kuchukua mafao au michango yao mara tu...
Wakati mwingine watu hufanya maamuzi, maamuzi ambayo huenda yakawaletea mafanikio makubwa ama kuwaangamiza kabisa..ni kutokana na uzuri ama ubaya wa maamuzi hayo na matokeo ya maamuzi ndio huleta...
KILICHOMPONZA MAGUFULI, HIKI HAPA
Na, Robert Heriel
Watu wengi wamekuwa wakiniuliza kwa nini sitomchagua Magufuli, nini ambacho Magufuli amekifanya kibaya mpaka asipewe nafasi ya pili kuliongoza...
Nasema tena nchi hii kuna uwezekano mkubwa haina wazee au ambao waliopo hawaelewi majukumu yao. Katika nchi au eneo lenye wazee mambo huwa hayaaribiki, hata yakiharibika huwa ni kwa muda tu.
Sasa...
Habari za wakati huu,
Najua kwa wenye macho tayari wameanza kuona kitu hakiko sawa. Kwa wale waelewa tayari wameanza kuona dalili za nchi kupoteza uelekeo.
Nianze kwa kuelezea hali ya Upinzani...
Katika hoja zake Profesa Kitila Mkumbo, mwanachama mwenzangu wa kale wa Chadema amewahi kuandika "Kumuenzi Mwalimu Nyerere: Tufanye vita dhidi ya ulaghai wa kisiasa" na katika hoja yake hiyo Prof...
Ni kitu cha kufurahia na kushukuru sana kuona jinsi gani Rais unavyo jitahidi kuliweka jiji letu kuwa mobile kwa jitihada zako kubwa za kimkakati unazozifanya za kudumisha na kuimarisha...
Katibu Myeka wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, mzee SAMWEL KASORI ameibuka na kufukua ukweli uliojificha, baada ya baadhi ya wanasiasa ndani ya Chama cha Mapinduzi(CCM)...
Mimi nashangaa wale wote wanaowashangaa viongozi wetu,mwl Nyerere alishawahi kutuambia madaraka yanalevya kuliko madawa ya kulevya, kinachotakiwa ni kufikiria dawa tiba ya mtu aliyelewa madawa ya...
Taarifa zinadokeza kwamba miongoni mwa majimbo mengi ya uchaguzi ambayo CCM itaangukia pua, limo Jimbo la Mbarali linalotajwa kuchukuliwa na Chadema , ambapo imetajwa sababu kuu kuwa ni ubora wa...
Makonda ni moja ya wanasiasa mahiri mwenye kipaji cha hali ya juu, ana ushawishi, ana watu, ana nguvu kubwa,anapendwa,anakubalika, anajua kujenga hoja.
Yote hayo sana CCM hawakuyaona,wakamkataa...
Nimekuwa nikifuatilia kampeni za wagombea wenza wa urais baina ya Salum Mwalimu (CHADEMA) dhidi ya Samia Suluhu (CCM) na kwa hakika kuna tofauti kubwa sana.
Nilijikita kuchambua kwenye mambo...
Jua linachomoza, madimbwi yamekauka kwa Upendo wa Mungu na watu kwa maelfu wanaelekea viwanja vya Kawe Tanganyika packers kumsindikiza kipenzi cha watanzania Dr Magufuli.
Karibuni nyote.
Rip...
Salaam,
Ndg. Tundu Lissu ni mwanachama wa JamiiForums tangu 2010 akitumia jina halisi.
Kwa sasa, Lissu ni mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA; hivyo akiwa kama...