Nadharia ya ubeberu na ukoloni mamboleo leo ilitoka wapi? Niwape shule kidogo juu ya nadharia hii ya watu waliofilisika kifikra kwa kushindwa kwao wakajifichia kwenye kutupia lawama mabeberu...
VIONGOZI wa dini ya kiislamu wa mkoa wa kusini Pemba, wametakiwa kutodhihirisha kwa wafuasi wao mahaba, upendo na kuvipigia chapuo vyama vyao vya siasa, wanapokuwa wanahubiri kwenye nyumba za...
Kifupi kabisa ni sera iliyolenga kila Mtanzania anapomaliza elimu awe na ujuzi mahususi utakaosaidia kujiajiri na kujenga Taifa.
Sera hiyo ilikusudia kila mwanafunzi amalize kidato cha nne na...
Iwe ameshinda au ameshindwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu, mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Dkt. John P. Magufuli lazima abadilike. Lazima awe mpya. Hawezi tena na kamwe kubaki alivyo...
Pamoja na kuwa atakuwa hayuko majukwaani lkn mazingira ya jinsi NEC ilivyomzuia yanatosha kumpigia kampeni, sasa wananchi na jumuia za kimataifa zimejua kweli Tume haiko huru na inapendelea...
Baada ya juzi Tundu Lissu kuibua sakata la wamachinga kuuziwa vitambulisho na kulaani kitendo hicho, Jana Rais Magufuli amelitolea ufafanuzi na kusema kuwa sio kweli na kutoa maagizo kwa wakuu wa...
Wakuu Jana niliangalia BBC Swahili, wamesema kwenye makubaliano yetu na kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick kwenye zile asilimia ni kama tumepigwa, hivi hiki chombo cha habari cha mabeberu...
Katika kpindi hiki kigumu kuna maajabu mengi sana yanaendelea kutokea. Kwa kiasi kikubwa chanzo cha maajabu yote haya ni huyu Tundu Lissu. Mfano wa maajabu ni suala la bei ya umeme. Kule Kigoma...
Hapa naishauri Serikali ijayo baada ya huu uchaguzi kuisha sitaki kujua ni serikali ya chama gani inayo kuja baada ya huu uchaguzi kama ni Chadema, ACT-Wazalendo, CHAUMMA CCM CUF na vyama vingine...
“Msitupunguzie mtaji mapema hivyo kwa sababu mkisimamisha watu sasa hivi, mkifukuza watu sasa hivi, kila mnayemfukuza ana ndugu, jamaa na marafiki, watamuunga mkono kwenye nongwa yake aliyo nayo...
Nilivyo kuwa nasikia kuwa ukiona vyaelea ujue vimeundwa, nimeamini! au usilolijua ni kama usiku wa giza, nimeamini!
Wadau hali inayoendea ya kundi moja kujihakikishia kuendelea kuwepo madarakani...
WAPINZANI WA TANZANIA WANATAKA NINI TENA?
Miaka ya 2010 kuelekea 2015 vyama vya upinzani vilipata nguvu kubwa sana ya kuungwa mkono mno na wananchi hasa kwa ajenda zao kubwa zilizowavutia sana...
Katika mkutano wa kampeni unaoendelea hapo Kawe, mgombea wa Ubunge wa Kawe kupitia CCM, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima amesema jambo fulani la kushangaza.
Namnukuu “Rais...
Sasa iko wazi kabisa kuwa CCM intumia nguvu kubwa Sana ili iendelee kubaki madarakani.
Kwani imedhihirika ni kwa jinsi gani inashirikiana na vyombo vya dola kudhuli haki za watanzania ya kuchagua...
Nimefatilia post nyingi, wengi ili wapate wachangiaji lazima jina la Lissu lihusike kwenye headline.
Zingine zisizomtaja Kamanda Lissu hazidumu mda mrefu wala hazipati wachangiaji wengi. Watu...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi , amepata ajali eneo la Kihonda, Manispaa ya Morogoro
Mkuu wa Mkoa huo, Loata Ole Sanare amethibitisha kutokea...
Hao niliowataja ni wabunge wenye ujasiri wasiokumbatia " sana " itikadi wawapo bungeni.
Lakini wabunge kama Bashe, Zitto na Lisu wamekuwa ni chachu ya kuifanya mijadala ya bungeni iwe na uhai kwa...
Bila maneno mengi, ninaomba ITV wakiongezee muda kipindi cha Dakika 45 kwa kipindi hiki cha uchaguzi angalau kiwe kwa dakika 80.
Pia kifanyike hata kwa wiki mara tatu.
ITV niwasikivu na weledi...
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imevitaka vyama vya siasa nchini viwe na subira na viiache tume hiyo itekeleze majukumu yake kwa mujibu wa taratibu za uendeshaji wa uchaguzi.
Taarifa iliyotolewa...
Mpaka sasa hatujui hatma ya chama chetu kwenye uchaguzi mkuu huu.
Siyo mgombea wetu, Mwenyekiti wetu wala kiongozi wa chama aliyetoka hadharani kutuambia tunafanyeje kwenye chumba cha kupiga kura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.