Hakuna namna utafanya mikutano ya kampeni bila kuwachangamsha wahudhuriaji kwa burudani tofauti tofauti.
CCM hupendelea kwaya na Singeli
Chadema wao hupiga reggae kama ODM ya Kenya
ACT...
Akizungumza katika mkutano na Waandishi wa Habari, Mwanasheria Mkuu wa ACT-Wazalendo, Omar Said Shaaban ameeleza kuwa chama chao hakijaridhishwa na majibu yaliyotolewa na ZEC kufuatia barua...
Wanajamvi Salam,
Zikiwa zimebaki siku kumi na nne (14) tu kwenda kushuhudia historia ikiandikwa Tanzania, kwa ama wananchi kuendelea kuchagua ccm ambayo kiukweli imeshindwa kutatua matatizo...
Ningetamani sana kama ningemsikia mgombea uraisi mwenye Sera kama vile:
. Kuweka wazi mshahara na marupurupu atakayojilipa
. Kusema atapunguza mshahara na posho zake
. Kupunguza ukubwa wa...
Naomba kuuliza maswali mawili kuhusu ILANI ya uchaguzi Mkuu ya CHADEMA 2020 kuhusu sera yao ya MAJIMBO au Dby D
(1) CHADEMA wanainadi sera yao ya Majimbo lakini kuna MIKOA/HALMASHAURI ambazo zina...
Mh. Lissu naamini kuna haja ya kupitia mfumo wa elimu yetu hapa Tanzania.
Nimetumia mfano wa lugha ya Kiingereza kama kipimo kwasababu tunawasikia watu wakijaribu wakikiongea. Inawezekana yako...
Bila kuandika mengi, CCM watakipata wanachokitafuta Zanzibar. Wamesahau jukumu la Waislam katika kuitetea haki kama wanavyoamriwa na dini.
Wamesahau dini inasemaje kuhusu yule anayejitoa mhanga...
TUACHE UJINGA, TANZANIA SIYO UINGEREZA!
Mwaka 1997 aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza, John Major alishindwa uchaguzi na kupoteza nafasi yake ya kuendelea kuwa waziri mkuu.
Inadawia kwamba tangu...
Wasalaam,
Nimetafakari na kushangaa kwa ni nini chama dola chama pendwa CCM kinatumia nguvu nyingi ikiwamo vitisho kumnadi magufuli ili hali Mh kaleta maendeleo kama flyover, mabarabara na...
NEC imemuita mmoja wa wagombea Urais kutoka chama fulani cha upinzani kumhoji juu ya kauli zake kwenye kampeni za uchaguzi, hivi kwanini hatujasikia NEC ikimuita na kumuhoji Rais Magufuli pale...
Habari wakuu. Ugumu wa kazi ya Urais upo katika maeneo haya yafuatayo:
1. Kuwaunganisha watu,
2. Kuwafanya majority wawe na furaha na nchi yao
3. Kuboresha uchumi wa raia maana ndio tegemeo lao...
CCM kwa nje tunaonekana tuko wamoja na wenye upendo na Wagombea wetu. But ukweli ni kwamba moyoni mwetu tuna mambo ambayo tumeyaweka.
Kwa hiki kipindi miwili hatukuridhika namna Chama...
NINAKWENDA KATIKA MSAFARA WA LISSU PAMOJA NA UWEZEKANO WA KUPIGWA MAWE AU KURUSHIWA MABOMU NA RISASI!
Wiki iliyopita Jeshi la Polisi lilizuia Msafara wa Mheshimiwa Lissu eneo la Kiluvya jijini...
Wanajamiiforums, fikisheni salamu hizi kwa kila Mtanzania mpiga kura bila ya kujali itikadi ya chama chake kwani kama ni CCM huenda akaiona haki na yeye akatamani kutenda haki. Haki ambayo...
Kauli yako uliyoitoa leo hii, eti huyo mgombea wako cheupe akija Ofisini mwako utamuhudumia haraka kuliko hata wanawake weusi.
Ni Udhalilishaji na Unyanyasaji wa kijinsia, umeonyesha wazi kuwa...
Apate urais asipate urais naamini ipo siku atapewa nishani ya Nobel. Kupenda kwake na wazungu ni kwa sababu za msingi kuu 3 wala siyo kwa ahadi ya kuwauzia mali asili zetu kama tunavyoaminishwa...
Jana ilikuwa siku maalumu ya baba yetu wa taifa hili. Niliitumia kutafakari maneno yaliyosemwa na Roma kwenye wimbo wake kuwa Tanzania ni nchi iliyobeba udongo wa dhambi ila tunalisaka sana taji...
Mpaka sasa CHADEMA na team mzima ya Lissu imeonyesha umahiri mkubwa katika cordination na organization ya kampeni yao.
Golungwa na Ally Bananga kama Ma-kampeni Manager wameonyesha uwezo mkubwa...
Sio siri tena ,wananchi wengi hujitokeza kuiga CCM kwa sherehe ,sherehe ambazo zinatokea kwa kufanywa matamasha ya muziki,asie na mwana abebe jiwe kumuona Raisi wa mwisho wa CCM, muungano wa vyama...
Tayari Nchi nzima wananchi WALIO wengi wameshaonyesha muelekeo kuwa wanahitaji Chama na kuondoa UTAWALA kuweka uongozi, CCM ni watawala hawana tofauti na Utawala wa KIFALME au kikoloni,msipoondoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.