Uchaguzi 2020 Ushauri: Makonda chukua fomu ugombee Urais kupitia upinzani hasa UDP, una nguvu kubwa sana na ushawishi kwenye jamii, utashinda kwa kishindo

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,560
21,665
Makonda ni moja ya wanasiasa mahiri mwenye kipaji cha hali ya juu, ana ushawishi, ana watu, ana nguvu kubwa,anapendwa,anakubalika, anajua kujenga hoja.

Yote hayo sana CCM hawakuyaona,wakamkataa kwenye kura za maoni,kumkataa kwao walikuwa wanatimiza tu injili ya "jiwe kuu la pembeni".

Kwa kuwa akibaki CCM, kifo chake cha kisiasa ki dhahiri na mkuu wetu ameshajiapiza kwamba wenye tamaa hatawarudisha.

Namshauri ndugu makonda ajiunge UDP upendo apeperushe bendera yao akigombea urais. UDP kina mizizi mirefu nchini kote na has a kanda ya ziwa, akija makonda ni kumalizia tu na ataingia ikulu kiurahisi kama anamsukuma mlevi.

Makonda amua sasa au kaa kimya milele

Ndimi
Mjumbe
 
Ushauri wako ameukataa, amestuka kwamba ninyi ndiyo mnaompotosha, mnmlazimisha kufanya vitu nje ya uwezo wake. Kama hapa unamshauri agombee urais wakati hata vigezo vya urais hamvijui halafu hata yeye hana. Mlishampotosha kuhusu ubunge wakati angeshinda asubuhi watu wangeamkia mahakamani kumpinga kwa sababu ya kutokidhi vigezo na forgery.
Wana Kigamboni wamemsaidia kujua uwezo wake ulipo, either ajiunge na team Gwajima au aanzishe lake.
 
Makonda ni moja ya wanasiasa mahiri mwenye kipaji cha hali ya juu, ana ushawishi, ana watu, ana nguvu kubwa,anapendwa,anakubalika, anajua kujenga hoja.

Yote hayo sana CCM hawakuyaona,wakamkataa kwenye kura za maoni,kumkataa kwao walikuwa wanatimiza tu injili ya "jiwe kuu la pembeni".

Kwa kuwa akibaki CCM, kifo chake cha kisiasa ki dhahiri na mkuu wetu ameshajiapiza kwamba wenye tamaa hatawarudisha.

Namshauri ndugu makonda ajiunge UDP upendo apeperushe bendera yao akigombea urais. UDP kina mizizi mirefu nchini kote na has a kanda ya ziwa, akija makonda ni kumalizia tu na ataingia ikulu kiurahisi kama anamsukuma mlevi.

Makonda amua sasa au kaa kimya milele

Ndimi
Mjumbe
Mjumbe acheni kumfanya Makonda mradi wa kujipatia senti.
 
Unajua siamini nilichokisoma maana sijawahi kufikiria kama kuna mtu anamuona makonda kama PM ama presidential material kwa wakati huu 😂😂😂

Naamini anachangamsha genge tu
President.?? UDP..???
huo ushauri ukimpa yeye mwenyewe ataona unamdhihaki.!!
 
Back
Top Bottom