1. Unapotaja fly over ya ubungo na Tazara ishia Dar es Salam maana Kigoma awatakuelewa.
2. Unapotaja reli ya standard Gargey ishia Dodoma, Mtwara ni vigumu kukuelewa.
3. Unapokwenda ukerewe...
Wanajamvi, vitu havileti maendeleo, bali maendeleo ya watu ndiyo yanayoleta vitu! Concept wamekosea!
Nimeumizwa sana baada ya serikali kusitisha ujenzi wa ile barabara ambayo ujenzi wake ulienda...
According to IMF report 2019. Uchumi wa tz toka 2016 haukuwai kukuwa ( GDP) zaidi ya 6.8. Ambayo ni tofaut ya 7.0-7.1 tuliyokuwa tukitajiwa na viongozi wetu kwenye majukwaa ya kisiasa...
Nimemsikia ndugu Rais kila mara akimnadi mgombea wa CCM jimbo la Kawe, Askofu Gwajima akisema kwamba wanakawe wamchague Gwajima kwa sababu ni mkweli.
Mtazamo huu wa Rais umenifanya niulize...
Muda wa porojo umekwisha , sasa hivi tunaweka vielelezo tu ili kila mtu atoe maoni yake mwenyewe
Sijui CCM inawezaje kushinda uchaguzi huu , tuombe Mungu tufike salama tarehe ya uchaguzi
SAUTI YA HAKI YA ASKOFU YAFIKA NJOMBE NA KUKEMEA VITISHO DHIDI YA WAALIMU NCHINI!
Tarehe 8 Oktoba 2020. Nimefika Njombe na kutoa ujumbe wa haki katika Mkutano wa Mgombea Mwenza wa Rais wa Jamhuri...
Hapa ni kitongoji Cha Mtakuja (Mwambiki) kilichopo kijiji cha Ihowanja, kata ya Kilosa Mpepo, Jimbo la Malinyi. Shule hii haijasajiliwa, kuna wanafunzi 482, ilijengwa na wazazi kupunguza adha ya...
Viongozi wengi walioko madarakani wanajifanya kumuenzi Nyerere lakini ni uongo mtupu, kila siku wanajidai kuwa magorofa yameongezeka posta na ni maendeleo lkn wanasahau kuwa maendeleo ni watu na...
Sitaandika mengi Leo,
Watanzania tujifunze kutoka Libya na pia tusisahau kufuatilia historia ya utajiri wa U.S.
Ila yangu ni haya,
Tusimsikilize U. S kwa lolote kwani U. S hajawai kuwa mtu mwema...
CCM kupitia Mwenyekiti Magufuli, Katibu Mkuu Bashiru na Mwenezi Polepole Mimi mpaka hivi sasa nimeshajitahidi Kuongea na Mzee Mmoja kati ya Wanne ambao nawajua amekubali Kuilegeza hii Mvua kwa...
Leo ni takribani miaka 21 tangia kifo cha muasisi wa Taifa letu, Mwl. Julius Kambarage Nyerere.
Tangia kifo cha Baba wa Taifa mnamo Oktoba 14, 1999, Swali kubwa kwa watanzania lilikuwa ni 'Nani...
Nimeona heading ya salamu kutoka ubalozi wa marekani Tanzania eti maendeleo siyo ya vitu bali ya watu.
Kwanza ni waulize.je ni kazi yenu kujiendesha kapeni ya urais katika nchi mnayowakirisha...
Habari Jf
Taarifa zinaonyesha kazaliwa Makunduchi Wilaya ya Kusini, Mkoa wa Kusini Unguja mwaka 1962 hii ikiwa na maana kwamba mwaka huu anatimiza miaka 58. Miaka 20 iliyopita akiwa na umri wa...
USHINDI MWINGINE WA TANZANIA KWENYE VITA YA UCHUMI
Na Bwanku M Bwanku
Jana Oktoba 13, 2020 Tanzania na dunia kwa ujumla ilishuhudia tukio kubwa la kihistoria na la ushindi kwa nchi ya Tanzania...
Nasikia kuna watu wanapita huko na huko kwenye ofisi za umma kuuliza taarifa za wafanyakazi mahali walipojiandikisha, namba zao za kadi n.k na wengine wanakwenda mbali kwa kuwachimba mkwara kuwa...
Nimemsikia mzee kwa muda sasa akiomba nafasi ya kututawala, nikajiuliza ni kweli tunataka mtu wakututawala?
Vitabu vitakatifu vinaeleza wazi kuwa binadamu apewa mamla ya kutawala wanyama na vyote...
Polepole bado Ni kijana, na hakuna kijana anaipenda CCM Ila kwa maslahi ya kuwa chama tawala. Hivyo Kama siku CCM (Mungu apishie mbali) ikianguka kwenye uchaguzi CCM itakimbiwa na wengi hata...
Adadi Rajabu na Andrew Chenge ni watu wasomi wa kupigiwa mfano na walishika nafasi nyeti sana nchi hii. Kiu yao ya kuendelea kuitumikia nchi hii imekatizwa na kikundi kidogo tu cha watu tena na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.