Adadi Rajabu na Andrew Chenge ni watu wasomi wa kupigiwa mfano na walishika nafasi nyeti sana nchi hii. Kiu yao ya kuendelea kuitumikia nchi hii imekatizwa na kikundi kidogo tu cha watu tena na...
Inawezekana wakazi wa Chato walikuwa wanaogopa kuwaeleza Watanzania kuwa ‘na sisi ni binadamu wenzenu tunaumia’, lkn kwa kujitokeza kwa wingi kiasi kile pengine zaidi ya walivyompokea Magufuli, ni...
Leo mgombea urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,kupitia chama cha ADC ameendelea na kampeni zake katika Viwanja vya Bakhresa Manzese ,Jimbo la ubungo.
Leo ni siku ya furaha na masikitiko...
Kwa mara ya pili katika kipindi hiki cha kampeni, bila sababu za msingi, hamna kivuko cha [URL='. Yote ni kwa ajili ya kuzuia tusifike huko. Sasa tutavuka kivingine na tutafanya mkutano kama...
Facebook imezindua programu kadhaa za kukabiliana na taarifa potofu na uingiliwaji wa uchaguzi nchini Tanzania kabla ya uchaguzi wa mkuu wa Oktoba 28 mwaka huu, limeripoti gazeti la Citizen.
Mkuu...
OKTOBA 14 mwaka huu, Watanzania wanaadhimisha kumbukumbu ya miaka 20 tangu kutokea kifo cha muasisi wa taifa hili, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, aliyefariki dunia Oktoba 14...
NI NYERERE TU..
Leo ni siku ya NYERERE. Jina hili ni fursa kwetu sote.
Amani na umoja wetu ni matunda ya ubongo na mikono yake.
Mapema mwaka 1996 nilifika Kijijini Butiama kwa kazi maalum ya...
Walioomba ajira ni zaidi ya laki.
Alafu wachaguliwe hao watu 13000.
Mini matokeo yake.
1: Kwanza wakuochaguliwa wote hawatapiga kura maana watakuwa maeneo yao ya KAZI.
2: Waliobaki wote...
Wanawake wamekemea vitendo wanavyofanyiwa vya udhalilishwaji na baadhi ya watu wakiwatukana wanawake wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi.
Akiongea mgombea ubunge viti maalumu kupitia tiketi...
Licha ya kipigo, alifikishwa mahakamani na baadae kupewa dhamana.
Habari na picha hii ni kwa mujibu wa tweet ya Chadema Kanda ya Serengeti
Pia soma > John Heche: Mgombea wetu wa ubunge...
Tusilete ushabiki kama ule wa SIMBA na YANGA linapokuja suala la uchaguzi, tukiitana majina sijui nyumbu sijui mataga, hii ni hatma yetu ni maamuzi kwa faida yetu ya kesho. Likitokea baya...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk. Willson Mahera Charles ametoa ufafanuzi juu ya upotoshwaji uliofanywa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
MADINI HAYAOZI, NAKATAZA UCHIMBAJI MADINI HADI WATANZANIA WATAKAPOKUWA NA UWEZO WA KUCHIMBA MADINI-MWALIMU JULIUS NYERERE.
Leo 15:05hrs 14/10/2020
Baada ya Uhuru Serikali ya Tanganyika...
Wanabodi,
Sina lengo la kuishambulia CHADEMA ila Kuna mambo yananitatiza kuhusu kuaminika kwao.
Sote tunajua timbwili walilolianzisha bungeni kuhusu korona mpaka kufikia kijikarantini kibabe...
Familia hii ni moja ya familia yenye nguvu kuwahi kutokea Tanzania na Afrika Mashariki. Mke na mme kuwa na nguvu jukwaa, wasomi na watu wenye nguvu ya uthubutu Kama Hawa ni mara chache kutokea...
Mwl. J. K. Nyerere alisema Watanzania wanahitaji mabadiliko na wasipo yaona ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM. Kuna watu walidhani Tanzania tunahitaji mabadiliko ya maigizo maigizo.
Nyerere...
Mwaka 2020 kuna uchaguzi kijijini kwetu, mfalme anayetawala sasa ni katili, ashauriki na kila mtu anamuogopa, mpaka wasaidizi wake wa karibu kabisa.
Wananchi hawajui kesho yao hapa kijijini. Hali...
Kisa hiki ni sehemu ya mlolongo wa matukio mbalimbali katika historia ya maisha ya Mwalimu Nyerere.
Inaelezwa kuwa mwaka 1994 Waziri wa Ulinzi na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi walimfuata...
Wakuu,
Tundu Lissu Siku ya Kuamkia leo alilala nyumbani kwa baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada ya kuombwa na watoto wa Baba wa Taifa.
Watoto hao walijisikia furaha kubwa mno kupata ugeni mzito...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHA UMMA) ambaye pia ni Mgombea wa Urais wa chama hicho Ali Omar Juma, amewataka wanachama wa chama hicho kumpigia kura ya ndio Maalim Seif Sharif Hamad...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.