Uchaguzi 2020 CCM Halisi, tarehe 28 Oktoba tukaoneshe kwamba hatukupendezwa na wahamiaji ku-control Chama

Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,932
4,395
CCM kwa nje tunaonekana tuko wamoja na wenye upendo na Wagombea wetu. But ukweli ni kwamba moyoni mwetu tuna mambo ambayo tumeyaweka.

Kwa hiki kipindi miwili hatukuridhika namna Chama kilivyoendeshwa. Wageni kama Katibu Mkuu na Polepole wamekuja na kukivuruga Chama kabisa. Wakamdanganya Bwana Mkubwa kuwa tuwanunue wapinzani, hilo likafanyika, wapinzani wakaja wakaanza kulamba vyeo na fursa mbalimbali huku wakitutukana sisi tulioanza toka Chipukizi, UVCCM, WAZAZI na UWT kuwa ni vilaza.

Tumekaa kimya na kuvumilia matusi yote kwa miaka 3 kisa wahamiaji kuvamia Chama.

Wengi tulivumilia. Tumevumilia sana na vya kutosha. Matusi yote tumetukanwa sisi. Ni dhahiri tuliweka kitu moyoni; walipokuwa wanatutukana hawakujua kuwa binadamu hata sisi wanaCCM tuna moyo na damu pia.

Sasa tarehe 28 kuna jambo nalo tutalifanya kisirisiri. Watu hawataamini matokeo nawambieni.
 
Kama mlishindwa kwa waziwazi 2015 mkiwa na komredi Lowasa ndo mtawezana sasa mnafanya kwa siri?
Ma RPC, RC, DC, DAS walikuwa nyuma ya Lowasa na mlitubu sembuse sasa?
 
Kura zimeshapigwa Ikulu
Tutabandikiwa tu
Tusije kushangaa Mbatia na NCCR wanatangazwa kushinda ubunge Viti 30 wanakuwa chama kikuu cha upinzani kama alivyoahidiwa
 
Back
Top Bottom