Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MGOMBEA wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ADA TADEA, Juma Ali Khatib, amesema anakusudia kuinua sekta ya michezo, kwa kuweka bajeti maalum ya kuendeshea ligi kuu ya Zanzibar, badala ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman amewataka Wasaidizi wa Sheria wa Majaji kutumia taaluma yao na kuzingatia umahiri na weledi katika uendeshaji wa mashauri ya uchaguzi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jimbo la Alaska USA lina utajiri mkubwa wa MAFUTA. Sasa serikali ya jimbo hilo kila mwaka hutoa kiasi fulani cha mapato yanayotokana na mafuta na kuwagawia wananchi moja kwa moja. Nimejiuliza...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Dkt. Magufuli: Vijana wanakosa ajira, Vijana wanadharaulika wengine wamemaliza kusoma hawapati ajira > Miaka 5 inayokuja nataka suala la ajira nilishughulikie kwa nguvu zote. Kama tumeweza...
5 Reactions
62 Replies
6K Views
Kwangu mimi ukiniuliza niwapange ma PM wetu toka uhuru wetu waliowajibika kwa ubora zaidi ningewapanga hivi: - 1. Rashid Mfaume Kawawa. 2. Moringe Sokoine 3. Salim Ahmed Salim 4. Majaliwa Kassim...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mamilioni ya Watanzania wake kwa waume, vijana kwa wazee, masikini na matajiri wametokea kumpenda na kuonyesha hadharani ni jinsi gani wanavyomuunga mkono Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Mh...
6 Reactions
37 Replies
4K Views
Mgombea Ubunge jimbo la Kawe kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Halima Mdee, amesema kuwa hajakubaliana na maamuzi ya Kamati ya Maadili ambayo yamemsimamisha kutofanya kampeni...
8 Reactions
67 Replies
9K Views
Mgombea Ubunge wa Chadema Karagwe, Adolf Mukono, wagombea udiwani Kata za Chanika na Kituntu wakamatawa na Jeshi la polisi “Tumewakamata baada ya kupata malalamiko kutoka upande wa CCM wakidai...
9 Reactions
37 Replies
5K Views
CCM Kwenye ilani iliahidi kujenga meli mpya baada ya ile ya MV NYERERE kupata ajali. Leo imekamilika kama ilani ya CCM ilivyotaka imeingia majini leo kuanza safari rasmi tarehe 19 mwezi huu wa...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Vyama vya Upinzani wameibuka na mbinu mpya ya kuweka clip zao wakiwa wanachangia mjadala bunge lililopita. Wabunge wa CCM clip zenu zipo wapi? Au mlichangia kwa maandishi miaka yote mitano? Wapi...
10 Reactions
17 Replies
2K Views
Miradi mingi ya maendeleo ya Tanzania kwa miaka mingi inatokana na mikopo pamoja na ufadhili. Kinachopewa ufadhili au mkopo siyo chama Cha siasa bali ni nchi, kwa muktadha huo hakuna chama Cha...
0 Reactions
0 Replies
648 Views
Na Emmanuel J. Shilatu Watanzania tunaadhimisha miaka 21 tangu kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere tukiwa na sura yenye matumaini baada ya kufanikiwa kumpata kiongozi...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Kitakachombeba Tundu Lissu mwaka huu ni yeye Kama mgombea kuuzika as personal yaani anakibeba chama Kingine ni yeye kuja na slogan ya Kipekee kabisa toka kuanzishwa kwa vyama vingi ya uhuru...
56 Reactions
75 Replies
7K Views
Kwa kipindi cha miaka mitano ijayo (2020-2025), CCM itaielekeza SMZ kufanya mambo yafuatayo kwa ajili ya UMEME na NISHATI mbadala Zanzibar; 1. Kusimamia utekelezaji wa Sera ya Nishati ya Mwaka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kumekua na wimbo ambao umekua ukiimbwa kwenye harakati za chadema kwa mda mrefu safari hii siajausikia kabisa sijajua kwa nini. Wimbo ulikua ukiimbwa hivi "TUWAMWAGE MAFISADI" huu wimbo ulileta...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Leo Dkt. Hussin Mwinyi anaendelea na kampeni ya kuwania Urais Zanzibar eneo la Micheweni kuiongoza serikali ya awamu ya nane na miongoni mwa mambo aliyoyazungumzia, amesisitiza kulinda amani ya...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Salaam Wakuu, Inadaiwa kuna mambo hayaendi Vizuri huko Chato Mkoani Geita. Tunaomba Jeshi la Polisi lihakikishe amani kwa Wakazi wa Chato wa vyama vyote. Hapa chini ni Taarifa kutoka Viongozi wa...
11 Reactions
123 Replies
17K Views
NEC YAKABIDHI NAKALA YA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KWA VYAMA VYA SIASA Tume ya Taifa ya uchaguzi leo imevikabidhi vyama vya siasa nakala tepe ya daftari la kudumu la wapiga kura pamoja na...
6 Reactions
61 Replies
9K Views
NJOMBE- MAKAMBAKO Nitahakikisha kuwa Bajeti ya Wizara ya Afya inapanda na kufikia asilimia 15 ya Bajeti ndani ya miaka 10 ijayo. Ongezeko la bajeti litawezesha katika kuandaa miundombinu ya...
0 Reactions
0 Replies
935 Views
#MAWASILIANO. Juhudi kubwa zimechukuliwa katika kuimarisha sekta ya mawasiliano Zanzibar ili iweze kusaidia kukuza uchumi na shughuli za kijamii. Mafanikio yaliyopatikana wakati wa utekelezaji...
0 Reactions
0 Replies
604 Views
Back
Top Bottom