Burudani kwenye siasa haziepukiki ndio maana Tundu Lissu na Raila Odinga hucheza reggae, CCM hupendelea singeli

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,599
141,415
Hakuna namna utafanya mikutano ya kampeni bila kuwachangamsha wahudhuriaji kwa burudani tofauti tofauti.

CCM hupendelea kwaya na Singeli

Chadema wao hupiga reggae kama ODM ya Kenya

ACT Wazalendo hupendelea mirindimo ya Pwani

NCCR mageuzi hupiga kwaya nk nk

Kinachotofautisha aina za burudani ni uwezo wa vyama kiuchumi lakini burudani ni muhimu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Chadema kwa ujumla hawana msimamo ni watu wa kuyumbayumba tu. Leo reggae kesho bolingo keshokutwa jazz.
 
Chadema kwa ujumla hawana msimamo ni watu wa kuyumbayumba tu. Leo reggae kesho bolingo keshokutwa jazz.
Wimbo umekuwa maarufu sana kwenye kapeni zakijani "Magu amejenga flyover Kwangwaru,Vijana wa Lumumba wapumbavu na wajinga Kwangwaru,magu ameenda gareji kwangwaru..."
 
SPANA za LISSU sio Mchezo....HADI SHEKHE KAMKIRI YESU hakika hali ni mbaya sana kwa MGOMBEA wa CHAKUBANGA.
MWAKA huu Hawachomoi.
 
Back
Top Bottom