Uchaguzi 2020 Rufaa ya Mgombea Ubunge wa CHADEMA jimbo la Mlimba bado haijatolewa na NEC?

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Huyu Mama Susan Kiwanga amefuatilia sana rufaa yake kule NEC. Je, rufaa yake tayari imetolewa uamuzi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi?
 
Waache wajikaange tu mzee!! Bado siku 20+ kampeni ziishe hawajatoa majibu ya rufaa za wapinzani, huku wamemfungia Lissu kufanya kampeni!!

Wanafikiri Marekani anatania aliposema tena kwa maandishi kuwa kutakuwa na matokeo/ adhabu kwa kila aliyehusika katika kuminya demokrasia kwenye uchaguzi huu wa Tanzania.

Wanajipulizia moto wenyewe. Waache tu!!
 
Huyu Mama amefuatilia sana rufaa yake kule NEC. Je rufaa yake tayari imetolewa uamuzi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi?.
llishatoka na ni kwamba Mbunge ashateuliwa kama ana hoja asubiri baada ya uchaguzi aende mahakamani kupinga.
 
Ishatoka hiyo, kilichobaki washabini tuendelee kulialia humu jf.
Watu wanapenda sana kuwajaza wengine upepo, huyu mama watu walisema hatutakubali akatwe tutakiwasha na kelele nyingi.
Ye mwenyewe kishajikatia tamaa, yupo zake dar tu
 
Na una amini kuwa angetulia jina lake lisingekatwa? Angalau kwa kupiga kelele kila mmoja mwenye kutaka kusikia ameona jinsi ambavyo amedhulumiwa.

Amandla...
 
Ishatoka hiyo, kilichobaki washabini tuendelee kulialia humu jf.
Watu wanapenda sana kuwajaza wengine upepo, huyu mama watu walisema hatutakubali akatwe tutakiwasha na kelele nyingi.
Ye mwenyewe kishajikatia tamaa, yupo zake dar tu
Ana uhskika wa viti Maalum
 
Huyu Mama amefuatilia sana rufaa yake kule NEC. Je rufaa yake tayari imetolewa uamuzi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi?.

Hawawezi kutoa rufaaa majibu kwani Magu anabembeleza mwanaye yule Polygon anayetoka na Kunambi aoelewe , na katoa firm instructions Mkwewe Kunambi asisumbuliwe ...ikumbukwe Kunambi ndio mteule pekee aliyeenda kugombea bila kusimamishwa kazi ....Ubaguzi bhana
 
Lakini hakuna neno kuna room ya kwenda mahakamani kuwapinga wabunge wote waliopita bila kupingwa isivyo halali na ikishindikana ....basi wananchi hawatawapa ushirikiano .......
 
Namshangaaa sana mtu kama January potential Presidential Candidate wa 2025 KAINGIA MTEGO WA KUVUNJA DEMOKRASIA ...kwani mwaka 2025 mtu yeyote mwenye historia ya kukanyaga demokrasia mateke HATAPEWA NAFASI
 
Huu ni ujinga wa kiwango cha lami, hawatapewa ushirikiano kivipi?
Wenyeviti wa serikali za mitaa tulisema hivihivi na mwisho wa siku utambulisho wowote tunaanzia kwao. Hao wagombea ubunge wote na wagombea udiwani wana utambilisho wa wenyeviti
Lakini hakuna neno kuna room ya kwenda mahakamani kuwapinga wabunge wote waliopita bila kupingwa isivyo halali na ikishindikana ....basi wananchi hawatawapa ushirikiano .......
 
Back
Top Bottom