Uchaguzi 2020 Mwanga Kilimanjaro: Viongozi wa CCM wafanya kikao cha Kisiasa katika Msikiti wa Ndanda- Usangi

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,597
5,788
Habari za leo.

Katika kuendela na harakati za BAKWATA kukisaidia chama Tawala, Jambo la kusikitisha ni kwamba Viongozi wa CCM wamefanya Siasa ktk Msikiti wa Ndanda Usangi.

Mgombea udiwani Kata ya Kighare akiambatana na Mgombea Ubunge Mwanga Bw. Thadayo walifanya kikao na Waislam Msikitini wakiwaomba wakinusuru Chama.

Kikao hicho kiliangozwa na
#1. Jumaa Kichawele
#2. Mwl. Sadiki
#3. Mwl. Rahimu
Hawa ni viongozi wa BAKWATA pamoja na viongozi wa Msikiti.

Jambo hili halijakaa sawa hata kidogo.

Tunawaomba wafanye siasa zao lkn wasiziingize Msikitini maana tupo waumini ambao si waumini wa Chama chochote cha siasa.

Maendeleo hayana Chama.
 
BAKWATA ni genge la kiCCM lililojaa makafir waliovalia kanzu na kofia.
Viongozi kadhaa wa BAKWATA ukiwakuta kwenye vijiwe vya kitimoto wakitafuna nyama kwa pupa na mzuka, basi unaweza hata kuzirai.
 
Habari za leo.

Katika kuendela na harakati za BAKWATA kukisaidia chama Tawala, Jambo la kusikitisha ni kwamba Viongozi wa CCM wamefanya Siasa ktk Msikiti wa Ndanda Usangi.

Mgombea udiwani Kata ya Kighare akiambatana na Mgombea Ubunge Mwanga Bw. Thadayo walifanya kikao na Waislam Msikitini wakiwaomba wakinusuru Chama.

Kikao hicho kiliangozwa na
#1. Jumaa Kichawele
#2. Mwl. Sadiki
#3. Mwl. Rahimu
Hawa ni viongozi wa BAKWATA pamoja na viongozi wa Msikiti.

Jambo hili halijakaa sawa hata kidogo.

Tunawaomba wafanye siasa zao lkn wasiziingize Msikitini maana tupo waumini ambao si waumini wa Chama chochote cha siasa.

Maendeleo hayana Chama.
Wewe si ni Mmoja wa Mbweha wa Lumumba mlikokasimisha akili zenu Lumumba,vipi tena ?
 
Habari za leo.

Katika kuendela na harakati za BAKWATA kukisaidia chama Tawala, Jambo la kusikitisha ni kwamba Viongozi wa CCM wamefanya Siasa ktk Msikiti wa Ndanda Usangi.

Mgombea udiwani Kata ya Kighare akiambatana na Mgombea Ubunge Mwanga Bw. Thadayo walifanya kikao na Waislam Msikitini wakiwaomba wakinusuru Chama.

Kikao hicho kiliangozwa na
#1. Jumaa Kichawele
#2. Mwl. Sadiki
#3. Mwl. Rahimu
Hawa ni viongozi wa BAKWATA pamoja na viongozi wa Msikiti.

Jambo hili halijakaa sawa hata kidogo.

Tunawaomba wafanye siasa zao lkn wasiziingize Msikitini maana tupo waumini ambao si waumini wa Chama chochote cha siasa.

Maendeleo hayana Chama.
MNA cha kuwafanya
 
Hamtakiwi kuwaomba muda huu mpini mmeshika nyinyi wao wameshika makali, ni kuwanyima Kura Tu wakafie mbele.
 
Habari za leo.

Katika kuendela na harakati za BAKWATA kukisaidia chama Tawala, Jambo la kusikitisha ni kwamba Viongozi wa CCM wamefanya Siasa ktk Msikiti wa Ndanda Usangi.

Mgombea udiwani Kata ya Kighare akiambatana na Mgombea Ubunge Mwanga Bw. Thadayo walifanya kikao na Waislam Msikitini wakiwaomba wakinusuru Chama.

Kikao hicho kiliangozwa na
#1. Jumaa Kichawele
#2. Mwl. Sadiki
#3. Mwl. Rahimu
Hawa ni viongozi wa BAKWATA pamoja na viongozi wa Msikiti.

Jambo hili halijakaa sawa hata kidogo.

Tunawaomba wafanye siasa zao lkn wasiziingize Msikitini maana tupo waumini ambao si waumini wa Chama chochote cha siasa.

Maendeleo hayana Chama.
Uchaguzi 2020 - BAKWATA yakaa kikao cha dharura, yakemea viongozi wake kupiga kampeni na Dua kinyume na Uislam. Kuwachukulia hatua
 
Viongozi wa dini wengi ni wafia njaa hapa Tanzania

Nakukubali tu shekhe Ponda
 
Yan unamaanisha bwana Thadayo KAFIRI amefanya mkutano ndani ya msikiti mtakatifu???Maamuma wataua mtu
 
Habari za leo.

Katika kuendela na harakati za BAKWATA kukisaidia chama Tawala, Jambo la kusikitisha ni kwamba Viongozi wa CCM wamefanya Siasa ktk Msikiti wa Ndanda Usangi.

Mgombea udiwani Kata ya Kighare akiambatana na Mgombea Ubunge Mwanga Bw. Thadayo walifanya kikao na Waislam Msikitini wakiwaomba wakinusuru Chama.

Kikao hicho kiliangozwa na
#1. Jumaa Kichawele
#2. Mwl. Sadiki
#3. Mwl. Rahimu
Hawa ni viongozi wa BAKWATA pamoja na viongozi wa Msikiti.

Jambo hili halijakaa sawa hata kidogo.

Tunawaomba wafanye siasa zao lkn wasiziingize Msikitini maana tupo waumini ambao si waumini wa Chama chochote cha siasa.

Maendeleo hayana Chama.
Bakwata ni taasisi ya chama cha Ccm kama ilivyo kwa Uvccm
 
Delete ccm Oct 28
 
Back
Top Bottom