Ni uzembe kuendelea kuipamba Dar kwa flyovers wakati shuleni na hospitalini hakuna nyumba na vifaa vya kutosha

MchunguZI

JF-Expert Member
Jun 14, 2008
4,006
2,166
Nimeona clip ya Polepole akimsifu Magufuli wakati akisoma kitabu ambacho nadhani ni ilani ya chama. Anachokitaja ni idadi ya flyovers zinazopangwa kujengwa; Moroko, Tazara, Magomeni, Mwenge, Chang’ombe na uhasibu, fire, Kinondoni, etc. Huu ni uhuni na ushenzi wa matumizi ya pesa ya taifa hili. Ni uhuni kwa sababu. Pesa ya nchi isigeuzwe kuwa ni pesa ya kuipamba Dar es Salaam kwa sababu za kisiasa. Nchi hii bado sana! Tuna mahitaji kibao.

Kinachosikitisha ni mahitaji mengi tuliyonayo kwenye mambo ya msingi. Shule zetu bado zinaonekana kama mabanda ya wakimbizi. Shule hazina nyumba za waalimu, hakuna maabara, hazina waalimu, hazina vifaa vya sayansi na matokeo yake watoto wote wa shule za vijijini hakuna anayesoma sayansi. Wanasoma masomo wanayoyaita ya arts wakati Kiingereza hawajui kabisa! Hospitali wanazojenga hazina vifaa, nyumba za watumishi hakuna! Sifa za aina hii ni upuuzi mkubwa sana!

Anayewaandikia hizo ilani ana matatizo na hii ndo mbunge mmoja wa CCM aliwahi kuwaita vijana wa Oysterbay! Hawa wanadhani TZ ni Dar tu! Itakuwa bahati mbaya sana kama kweli awamu ijayo itakuwa ni ya kujenga flyover Dar, barabara Dodoma na kuamini ndo maendeleo. Nchi hii ni kubwa.
 
Uifahamu nchi yako vizuri na maendeleo yake, na hii inaonyesha ni kiasi gani hamna mipango madhubuti kama wapinzani mmejazwa maneno ya kuambiwa vichwani mwenu na kukaririshwa kwamba hakuna jema linalotendwa na serikali

Na hii ni mbaya zaidi kwa sababu inaonyesha jinsi gani vichwa nyenu havina uwezo mzuri wa kuchambua mambo na kubaki kulishwa na kuaminishwa mambo na mnayapokea kama yalivyo pasipo kuyafikiria. Poleni na tambueni hii ni Tanzania ya Watanzania kwa ajili ya Watanzania.
 
Umenikumbusha Kauli Mbiu ya Siku ya walimu duniani October 2020 hapa nchini
"Walimu wanafanya kazi katika mazingira magumu wakiitazama kesho yao"

Yaan uwekezaji ukiwa mkubwa kwenye miundombinu ambazo ni 'hard skills' ukasahau watu ambazo ndio 'soft skills' sijui utapata matokeo gani?

Maana always 'soft skills' ndio inaendesha 'hard skills'.

Hapa ndio mjadala unaanza hivi Maendeleo ni kwaajiliya watu au watu ni kwaajili ya Maendeleo?

Obvious, hii ni 'egg to chick approach'
 
Haya hayawahusu.
Screenshot_20201008-090146.jpg
Screenshot_20201008-090156.jpg
 
Nimeona clip ya Polepole akimsifu Magufuli wakati akisoma kitabu ambacho nadhani ni ilani ya chama. Anachokitaja ni idadi ya flyovers zinazopangwa kujengwa; Moroko, Tazara, Magomeni, Mwenge, Chang’ombe na uhasibu, fire, Kinondoni, etc. Huu ni uhuni na ushenzi wa matuimizi ya pesa ya taifa hili...
Hayo ndio maendeleo ya vitu badala ya maendeleo ya watu ambayo Lissu anazungumzia.
 
Katika sehemu ambayo awamu ya tano wamefeli Ni elimu.Shule za umma zipo hoi kuanzia nursery mpaka high school.Shule zimezidiwa na idadi ya wanafunzi walimu pia Ni haba.

Tembelea shule za kata uone hali ilivyo Tete Madarasa Ni vumbi tupu Kama zizi la ng'ombe la kijijini.Vyoo Ni shida
 
Uifahamu nchi yako vizuri na maendeleo yake, na hii inaonyesha ni kiasi gani hamna mipango madhubuti kama wapinzani mmejazwa maneno ya kuambiwa vichwani mwenu na kukaririshwa kwamba hakuna jema linalotendwa na serikali...
Nasikia kuna watu munaamini CCM ni baba na mama yako! Kwa uelewa wangu na uzalendo wangu, wewe sasa ni kama choo cha shimo tu! Hapa umeandika chochote? Anayesoma thrd na baadaye akasoma majibu yako, kuna lolote uliloeleza?

Kwa nini hujitahidi kusoma kabla hujaripuka na ushabiki wa kulaani wapinzani? Kwani kila anayeandika ni mpinzani. Najua wengi muna matatizo ya elimu na ufahamu lakini ulistahili uelewe tofauti ya flyover na anachoeleza mwandishi.

Eti kuchambua, kuchambua kitu gani, kwani hiyo Dar ina hospitali ngapi? Temeke, M'nyamala, Amana, n.k hizo ni hospitali? Mbona wao hawaendi huko. Hospitali ina x-ray moja kwa huduma ya watu 2500 kwa siku! Hata CT scan bado ni kifaa adimu. Kuna mikoa haina CT scan hata moja, halafu kwa upuuzi wako tu unalaani maoni kama haya!
 
Hii halmashauri ni ya kipumbavu sana, wameshindwa hata kumobolize wananchi wachome tofali?

Japo Wanaonekana hawana uhaba wa maji sababu mashati ni meupe masafi
Tatizo ni wakurugenzi ambao walichukuliwa kutoka kwenye mabaki ya waliogombea ubunge. ni watu wa hovyo, wanaowaza siasa tu! wakitaja viwango vyao vya elimu haviendani na ujinga wao.
 
Nimeona clip ya Polepole akimsifu Magufuli wakati akisoma kitabu ambacho nadhani ni ilani ya chama. Anachokitaja ni idadi ya flyovers zinazopangwa kujengwa; Moroko, Tazara, Magomeni, Mwenge, Chang’ombe na uhasibu, fire, Kinondoni, etc. Huu ni uhuni na ushenzi wa matumizi ya pesa ya taifa hili. Ni uhuni kwa sababu. Pesa ya nchi isigeuzwe kuwa ni pesa ya kuipamba Dar es Salaam kwa sababu za kisiasa. Nchi hii bado sana! Tuna mahitaji kibao.

Kinachosikitisha ni mahitaji mengi tuliyonayo kwenye mambo ya msingi. Shule zetu bado zinaonekana kama mabanda ya wakimbizi. Shule hazina nyumba za waalimu, hakuna maabara, hazina waalimu, hazina vifaa vya sayansi na matokeo yake watoto wote wa shule za vijijini hakuna anayesoma sayansi. Wanasoma masomo wanayoyaita ya arts wakati Kiingereza hawajui kabisa! Hospitali wanazojenga hazina vifaa, nyumba za watumishi hakuna! Sifa za aina hii ni upuuzi mkubwa sana!

Anayewaandikia hizo ilani ana matatizo na hii ndo mbunge mmoja wa CCM aliwahi kuwaita vijana wa Oysterbay! Hawa wanadhani TZ ni Dar tu! Itakuwa bahati mbaya sana kama kweli awamu ijayo itakuwa ni ya kujenga flyover Dar, barabara Dodoma na kuamini ndo maendeleo. Nchi hii ni kubwa.
Sasa hivi kila mwanasiasa yuko kijijini akiwasimulia wananchi mambo yanayotokea Dar. Wajue kuna flyover, wajue foleni zimepungua. Huko kijijini wanaambiwa kuna zahanati. Hizi nyumba zisizo na vifaa na hata hakuna madakatari wa kuwasaidia wananchi.

Sasa wanawaomba wananchi wawapigie kura ili waendelee kujenga flyover Dar. Wengine wanaahidi kuiendeleza kanda yao inayosemekana kusahaulika. Upuuzi mkubwa sana!
 
Magu bado anajiona ni wazir wa ujenzi na amesahau kwamba yeye ni Rais wa nchi, yangu macho tu.
 
Nimeona clip ya Polepole akimsifu Magufuli wakati akisoma kitabu ambacho nadhani ni ilani ya chama. Anachokitaja ni idadi ya flyovers zinazopangwa kujengwa; Moroko, Tazara, Magomeni, Mwenge, Chang’ombe na uhasibu, fire, Kinondoni, etc. Huu ni uhuni na ushenzi wa matumizi ya pesa ya taifa hili. Ni uhuni kwa sababu. Pesa ya nchi isigeuzwe kuwa ni pesa ya kuipamba Dar es Salaam kwa sababu za kisiasa. Nchi hii bado sana! Tuna mahitaji kibao.

Kinachosikitisha ni mahitaji mengi tuliyonayo kwenye mambo ya msingi. Shule zetu bado zinaonekana kama mabanda ya wakimbizi. Shule hazina nyumba za waalimu, hakuna maabara, hazina waalimu, hazina vifaa vya sayansi na matokeo yake watoto wote wa shule za vijijini hakuna anayesoma sayansi. Wanasoma masomo wanayoyaita ya arts wakati Kiingereza hawajui kabisa! Hospitali wanazojenga hazina vifaa, nyumba za watumishi hakuna! Sifa za aina hii ni upuuzi mkubwa sana!

Anayewaandikia hizo ilani ana matatizo na hii ndo mbunge mmoja wa CCM aliwahi kuwaita vijana wa Oysterbay! Hawa wanadhani TZ ni Dar tu! Itakuwa bahati mbaya sana kama kweli awamu ijayo itakuwa ni ya kujenga flyover Dar, barabara Dodoma na kuamini ndo maendeleo. Nchi hii ni kubwa.
Tengeneza ka daresalaam kako kwenye gemu ktk pc kisha fanya utakacho nako..
 
Umezoea majadiliano ya kushindania Yanga-Simba, CHADEMA-CCM, Biblia-Koran, etc. majadiliano kama hayo huwa hakuna logic ni ushabiki na upenzi wa tangu utotoni, hata asiye na akili. Btw., How old are you?
 
Nimeona clip ya Polepole akimsifu Magufuli wakati akisoma kitabu ambacho nadhani ni ilani ya chama. Anachokitaja ni idadi ya flyovers zinazopangwa kujengwa; Moroko, Tazara, Magomeni, Mwenge, Chang’ombe na uhasibu, fire, Kinondoni, etc. Huu ni uhuni na ushenzi wa matumizi ya pesa ya taifa hili. Ni uhuni kwa sababu. Pesa ya nchi isigeuzwe kuwa ni pesa ya kuipamba Dar es Salaam kwa sababu za kisiasa. Nchi hii bado sana! Tuna mahitaji kibao.

Kinachosikitisha ni mahitaji mengi tuliyonayo kwenye mambo ya msingi. Shule zetu bado zinaonekana kama mabanda ya wakimbizi. Shule hazina nyumba za waalimu, hakuna maabara, hazina waalimu, hazina vifaa vya sayansi na matokeo yake watoto wote wa shule za vijijini hakuna anayesoma sayansi. Wanasoma masomo wanayoyaita ya arts wakati Kiingereza hawajui kabisa! Hospitali wanazojenga hazina vifaa, nyumba za watumishi hakuna! Sifa za aina hii ni upuuzi mkubwa sana!

Anayewaandikia hizo ilani ana matatizo na hii ndo mbunge mmoja wa CCM aliwahi kuwaita vijana wa Oysterbay! Hawa wanadhani TZ ni Dar tu! Itakuwa bahati mbaya sana kama kweli awamu ijayo itakuwa ni ya kujenga flyover Dar, barabara Dodoma na kuamini ndo maendeleo. Nchi hii ni kubwa.
Chama cha Mbowe kama makasuku, asemacho Mbowe, ndicho cha Lissu na mashabiki wake. Leo ndio Chadema mna uchungu na hospital na shule. Kwani huoni zinavyojengwa?. Kwani Oct 2015 shule na hospital zilikuwa ngapi?. Ila ninyi huwa punguani Sana, si mnasema mnataka maendeleo ya watu sio vitu right?.

Kwani kwenu hizo hospital, mashule na flyover ni maendeleo ya watu au vutu?. Umechemka, vitu ambavyo chama chenu hakijafanya mnakiponda hasa ila akifanya mwenyekiti wenu mwaona ndio kitu. Mtakula wa chuya hiyo Oct 28.
 
Back
Top Bottom