Uchaguzi 2020 Kusikiliza wananchi ni pamoja na kuheshimu kura zao

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,884
Mtu hawezi sema anawaheshimu wananchi bila kuheshimu kura zao..
Kulazimisha matokeo ambayo yapo kinyume na wananchi watakavyopiga kura sio Tu ni dharau Kwa wananchi vile vile ni uthibitisho kuwa wananchi hawasikilizwi kabisa...

Kama mnajiamini mmefanya makubwa
Kwa kujenga flyover
Na kununua ndege na mengineyo
Basi wapeni wananchi nafasi watakapopiga kura muone hisia za wananchi...
Vinginenevyo kama mnaona wananchi 'hawana shukran na hawana akili ya kuona mliyoyafanya' basi mfute Tu uchaguzi ...
Mtangaze mtaendelea bila uchaguzi...
 
Mkuu the Boss.
Viongizi wengi wa Africa ni Wapumbavu.

Hakuna kitu kinachoniuma sana kama raia kwenda kupiga kura kumbe viongozi wameamua kudharau matakwa ya wananchi kwa mtu ambaye tulimpigia kura na kumpa ushindi kwa wanao mtaka wao.

Mfano JIWE ALITOA KAULI YA KIPUMBAVU SANA ALISEMA
"Mkurugenzi nimekuteua mimi
Nimekupa kazi mimi.
Nakupa Mshahara.
Nakupa Gari.
Nakupa Nyumna.
Nakupa posho.
Alafu bado unakwenda kumtangaza Mpinzani kashinda".

KAULI YA KIDIKTETA YA KULAANIWA NA DUNIA INAHATARISHA HAKI NA AMANI YETU.

MSHAMBA SANA HUYU MZEE
 
Mtu asiyeheshimu kura hawezi kuheshimu kodi zetu.

Mtu asiyeheshimu kura hawezi kuheshimu Haki na uhai wa watu.

Mtu anayetaka watu wake ndio watangazwe kwa maslahi yao hata kama wameshindwa hawezi kujali maslahi ya wananchi zaidi ya maskahi ya vitu ili akavitumie hivyo vitu .
WIZI wa kura ni kama ujambazi wa kuvamia benki ili wahakifu wajioatie fedha kwa maslahi yao huku watu wengine wakiwa wanaumizwa au hata kuuawa (mana Urais,Ubunge na udiwani ni kazi kama kazi zingine zinazowapatia waombaji mishahara ili watunze vizuri familia zao.)
Tuwakatae wavamizi wa madaraka wanovamia na kuiba kura.

CCM Chiniii
 
Mkuu the Boss.
Viongizi wengi wa Africa ni Wapumbavu.

Hakuna kitu kinachoniuma sana kama raia kwenda kupiga kura kumbe viongozi wameamua kudharau matakwa ya wananchi kwa mtu ambaye tulimpigia kura na kumpa ushindi kwa wanao mtaka wao.

Mfano JIWE ALITOA KAULI YA KIPUMBAVU SANA ALISEMA
"Mkurugenzi nimekuteua mimi
Nimekupa kazi mimi.
Nakupa Mshahara.
Nakupa Gari.
Nakupa Nyumna.
Nakupa posho.
Alafu bado unakwenda kumtangaza Mpinzani kashinda".

KAULI YA KIDIKTETA YA KULAANIWA NA DUNIA INAHATARISHA HAKI NA AMANI YETU.

MSHAMBA SANA HUYU MZEE
Naitafuta Sana hii video. Jiwe ni fashisti na dekteta, kwa kauli Kama hizi uchaguzi utakuwaje huru na haki?
 
JK ametuingiza choo cha kike!! Wallah tumepatwa!!

Dk 0 anasema Maendeleo hayana chama! Dk 0 mkichagua wapinzani sitawaletea maendeleo!!
 
Back
Top Bottom