Uchaguzi 2020 Tupeane mikakati ya mwisho ya kuifuta CCM

Ne Mbwitu

JF-Expert Member
Aug 23, 2020
276
1,000
Enyi watia nia 7000 wa CCM mlionyimwa mishahara.

Enyi wagombea wa CCM mlioshinda kura za maoni na kutoteuliwa.

Enyi wafanyabiashara mliofirisiwa mitaji yenu kwa kodi za TRA.

Enyi watumishi mlionyimwa haki yenu ya nyongeza ya mshahara wa kila mwaka.

Enyi wakulima ambao mmekopwa mazao yenu na mazao yenu kupata bei hafifu.

Enyi wanavyuo mliokosa mikopo ya elimu ya juu.

Enyi watumishi wa umma na binafsi wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu ambao mmepandishiwa riba kutoka asilimia 3 baadae 8 na kufika 15.

Enyi mama ntilie, machinga, na wafanya biashara wadogo wadogo mliouziwa vitambulisho vya mjasiliamali kwa elfu 20.

Enyi ndugu za waathirika wa kesi za kubambikia na vifungo vya uonevu.

Enyi ndugu za waathirika wa utekaji, utesaji, na mauaji ya wasiojulikana.

Enyi watumishi mlioacha au kuachishwa kazi na mnaathirika na kuzuiwa kwa fao la kujitoa kwenye mifuko ya pensheni.

Enyi wastaafu watarajiwa kuanzia mwaka 2022 ambao mtakumbana na kikokotoo kandamizi cha mafao yenu ya kustaafu

Enyi watumishi wa umma mlioitwa "watumishi hewa na vyeti feki" mliofukuzwa kikatili.

Enyi maafisa, wakurugenzi, wakuu wa idara, makatibu wakuu, mawaziri na maafisa wengine wote, mlioathirika na tumbuatumbua na tenguatengua zisizo na haki.

Enyi watanzania wote mliopata madhara katika utawala wa miaka mitano ya serikali ya CCM ya Magufuli.

MIMI MWANA CCM NINAWAOMBA KWA UNYENYEKEVU MKUBWA:

Tumia dakika mbili kila siku, kwa siku zilizobaki kabla ya tarehe 28/10/2020, kuwapigia simu ndugu, jamaa, na marafiki wa mijini na vijijini kuwaelimisha jinsi ya kujinasua kwenye makucha ya CCM ya Magufuli, kwa kumpigia kura TUNDU LISSU, kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.

Watanzania mpoooooooo!

#Haki Huinua Taifa#
 
Ne Mbwitu

JF-Expert Member
Aug 23, 2020
276
1,000
Magufuli hatufai kabisa, jamaa katili linawaza visasi tu.
Kaongea mwenyewe kua maendeleo hayana chama. Basi tumeamua wote mwaka huu kiti cha urais atakalia Tundu Lissu mgombea wa chadema.
Twafaaaaaaa
 
Omusolopogasi

JF-Expert Member
Aug 31, 2017
5,154
2,000
Nimejiuliza swali hili mara nyingi sana. Kumbe na wewe pia linakusumbua! Hawa NEC wanatumikia matumbo yao. Je, polisi na JW ambao nao hamenyimwa haki zao? Je raia ambao tumeteseka hivi?
Najiuliza hili swali kila siku HIVI MTU MWENYE AKILI TIMAMU KABISA ANAIPIGIAJE KURA CCM?.

KUNAWAKATI HUWA NAHISI WATANZANIA TUMEROGWA.
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
11,885
2,000
Enyi wanachuo mliomalizia vyuo tangu 2015 na hamajapata kazi mpaka sasa
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
8,315
2,000
Enyi watia nia 7000 wa CCM mlionyimwa mishahara.

Enyi wagombea wa CCM mlioshinda kura za maoni na kutoteuliwa.

Enyi wafanyabiashara mliofirisiwa mitaji yenu kwa kodi za TRA.

Enyi watumishi mlionyimwa haki yenu ya nyongeza ya mshahara wa kila mwaka.

Enyi wakulima ambao mmekopwa mazao yenu na mazao yenu kupata bei hafifu.

Enyi wanavyuo mliokosa mikopo ya elimu ya juu.

Enyi watumishi wa umma na binafsi wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu ambao mmepandishiwa riba kutoka asilimia 3 baadae 8 na kufika 15.

Enyi mama ntilie, machinga, na wafanya biashara wadogo wadogo mliouziwa vitambulisho vya mjasiliamali kwa elfu 20.

Enyi ndugu za waathirika wa kesi za kubambikia na vifungo vya uonevu.

Enyi ndugu za waathirika wa utekaji, utesaji, na mauaji ya wasiojulikana.

Enyi watumishi mlioacha au kuachishwa kazi na mnaathirika na kuzuiwa kwa fao la kujitoa kwenye mifuko ya pensheni.

Enyi wastaafu watarajiwa kuanzia mwaka 2022 ambao mtakumbana na kikokotoo kandamizi cha mafao yenu ya kustaafu

Enyi watumishi wa umma mlioitwa "watumishi hewa na vyeti feki" mliofukuzwa kikatili.

Enyi maafisa, wakurugenzi, wakuu wa idara, makatibu wakuu, mawaziri na maafisa wengine wote, mlioathirika na tumbuatumbua na tenguatengua zisizo na haki.

Enyi watanzania wote mliopata madhara katika utawala wa miaka mitano ya serikali ya CCM ya Magufuli.

MIMI MWANA CCM NINAWAOMBA KWA UNYENYEKEVU MKUBWA:

Tumia dakika mbili kila siku, kwa siku zilizobaki kabla ya tarehe 28/10/2020, kuwapigia simu ndugu, jamaa, na marafiki wa mijini na vijijini kuwaelimisha jinsi ya kujinasua kwenye makucha ya CCM ya Magufuli, kwa kumpigia kura TUNDU LISSU, kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.

Watanzania mpoooooooo!

#Haki Huinua Taifa#
Kabisa ni wakati muafaka wa kuiweka ccm juu ya mawe.
 
el_magnefico

JF-Expert Member
Nov 6, 2015
473
1,000
32539F67-741C-4817-AC90-A6AFC61A325E.jpeg
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
11,885
2,000
Mkakati uzingatie kwenye chumba cha kura kutakua na mwakala takribani 10 kati ya hao wawili watatoka Chadema na ACT na wengine wote waliobaki watakua kutoka CCM na vyama vyake rafiki.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
165,552
2,000
Enyi watia nia 7000 wa CCM mlionyimwa mishahara.

Enyi wagombea wa CCM mlioshinda kura za maoni na kutoteuliwa.

Enyi wafanyabiashara mliofirisiwa mitaji yenu kwa kodi za TRA.

Enyi watumishi mlionyimwa haki yenu ya nyongeza ya mshahara wa kila mwaka.

Enyi wakulima ambao mmekopwa mazao yenu na mazao yenu kupata bei hafifu.

Enyi wanavyuo mliokosa mikopo ya elimu ya juu.

Enyi watumishi wa umma na binafsi wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu ambao mmepandishiwa riba kutoka asilimia 3 baadae 8 na kufika 15.

Enyi mama ntilie, machinga, na wafanya biashara wadogo wadogo mliouziwa vitambulisho vya mjasiliamali kwa elfu 20.

Enyi ndugu za waathirika wa kesi za kubambikia na vifungo vya uonevu.

Enyi ndugu za waathirika wa utekaji, utesaji, na mauaji ya wasiojulikana.

Enyi watumishi mlioacha au kuachishwa kazi na mnaathirika na kuzuiwa kwa fao la kujitoa kwenye mifuko ya pensheni.

Enyi wastaafu watarajiwa kuanzia mwaka 2022 ambao mtakumbana na kikokotoo kandamizi cha mafao yenu ya kustaafu

Enyi watumishi wa umma mlioitwa "watumishi hewa na vyeti feki" mliofukuzwa kikatili.

Enyi maafisa, wakurugenzi, wakuu wa idara, makatibu wakuu, mawaziri na maafisa wengine wote, mlioathirika na tumbuatumbua na tenguatengua zisizo na haki.

Enyi watanzania wote mliopata madhara katika utawala wa miaka mitano ya serikali ya CCM ya Magufuli.

MIMI MWANA CCM NINAWAOMBA KWA UNYENYEKEVU MKUBWA:

Tumia dakika mbili kila siku, kwa siku zilizobaki kabla ya tarehe 28/10/2020, kuwapigia simu ndugu, jamaa, na marafiki wa mijini na vijijini kuwaelimisha jinsi ya kujinasua kwenye makucha ya CCM ya Magufuli, kwa kumpigia kura TUNDU LISSU, kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.

Watanzania mpoooooooo!

#Haki Huinua Taifa#
Mbuzi wameshatoa njia
IMG-20201018-WA0017.jpg
 
Agogwe

JF-Expert Member
Feb 20, 2013
2,055
2,000
kura yangu inakwenda kwa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi, mnapiga sana kelele kuongoza nchi sio suala la mzaha mzaha. Kuna mtu chama chake kimeshindwa hata kujenga ofisi ya chama licha ya ruzuku kedekede leo anaomba ridhaa tumpe uongozi aijenge Tanzania? Hizi ni dharau za waziwazi na majibu atayapata tarehe 28 Oct. Hizi thread zote tutazifukua maana watu wa hulka kama ya mleta mada wana kumbukumbu ndogo sana. Amesahau kama 2015 alideki barabara .
 
Percy

JF-Expert Member
Jul 21, 2014
6,228
2,000
Najiuliza hili swali kila siku HIVI MTU MWENYE AKILI TIMAMU KABISA ANAIPIGIAJE KURA CCM?.

KUNAWAKATI HUWA NAHISI WATANZANIA TUMEROGWA.

Sio makosa yao, Njaa tu ndo zinawasumbua, na maccm ndo yanatumia udhaifu huo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom