Dkt. Magufuli anatumia nguvu kubwa mnoo kukampeni

MAGO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,073
2,000
Wafuasi wa CCM kinywani huamini kwamba JPM kagusa maisha ya waTZ kwa kusaidia kuboresha maisha yao, ila mioyoni huona kabisa maisha ya mTZ yamekosa uelekeo ndani ya kipindi kifupi...

Kudhihirisha hilo nguvu inayotumika kupiga kampeni za JPM ni kubwa mnoo haireflect kabisa kukubalika kwake, kuanzia mabango, kutumia wasanii wote TZ, kuhujumu kampeni za vyama vingine, kuengua wagombea wa upinzani baadhi ya majimbo...

Kwa ninayoona endapo uchaguzi utakuwa huru na haki JPM hakika kura hazitatosha na wanajua hilo....
 
Times9

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
1,598

Asaiv kaanza kutuma sms za promotion za ccm kwenye namba za watu kama zile za biko sport na 3 mzuka bila ridhaa zao..
.....Mzee anatapatapa sana, Si alidai hapangiwi na mitandaoni alisemaga hakuna wapiga kura ni watu wa porojo tu, lakini asaiv Twitter na Local network providers wamekua muhimu kwake
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
35,379

Kwani Tundu Lisu anatumia nguvu ndogo?
 
uporo wa wali ndondo

JF-Expert Member
Dec 3, 2013
3,393
2,000
Wafuasi wa CCM kinywani huamini kwamba JPM kagusa maisha ya waTZ kwa kusaidia kuboresha maisha yao, ila mioyoni huona kabisa maisha ya mTZ yamekosa uelekeo ndani ya kipindi kifupi...

Kudhihirisha hilo nguvu inayotumika kupiga kampeni za JPM ni kubwa mnoo haireflect kabisa kukubalika kwake, kuanzia mabango, kutumia wasanii wote TZ, kuhujumu kampeni za vyama vingine, kuengua wagombea wa upinzani baadhi ya majimbo...

Kwa ninayoona endapo uchaguzi utakuwa huru na haki JPM hakika kura hazitatosha na wanajua hilo....
Hivi mnasimamia upande gani?? Nyie si ndo mnasema magu anafanya kampeni siku moja anapumzika wiki leo tena anatumia nguvu sana hahahahaaha mna wenge sana ni waite mashabiki wa chadema maana sio wapiga kura.
 
Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
7,964
2,000
Asaiv kaanza kutuma sms za promotion za ccm kwenye namba za watu kama zile za biko sport na 3 mzuka bila ridhaa zao..
.....Mzee anatapatapa sana, Si alidai hapangiwi na mitandaoni alisemaga hakuna wapiga kura ni watu wa porojo tu, lakini asaiv Twitter na Local network providers wamekua muhimu kwake
Ahahaha! Acha afundishwe adabu huyu msukuma. Alikuwa anajisikia Sana. Tutoesomo kwake.
 
wa hapahapa

JF-Expert Member
Aug 22, 2012
6,846
2,000
Wafuasi wa CCM kinywani huamini kwamba JPM kagusa maisha ya waTZ kwa kusaidia kuboresha maisha yao, ila mioyoni huona kabisa maisha ya mTZ yamekosa uelekeo ndani ya kipindi kifupi...

Kudhihirisha hilo nguvu inayotumika kupiga kampeni za JPM ni kubwa mnoo haireflect kabisa kukubalika kwake, kuanzia mabango, kutumia wasanii wote TZ, kuhujumu kampeni za vyama vingine, kuengua wagombea wa upinzani baadhi ya majimbo...

Kwa ninayoona endapo uchaguzi utakuwa huru na haki JPM hakika kura hazitatosha na wanajua hilo....

Asiyekuelewa atakuwa na matatizo ya akili...
 
ORCA ACE

JF-Expert Member
Jan 18, 2020
655
1,000
Nguvu si pamoja na kutumia askari polisi kwa faida ya ccm, kuwakata wagombea wa upinzani, kuwafungia kufanya mikutano, kutumia vijana wa ccm kuvuruga mikutano ya upinzan.

Na tutazilinda kura zetu baada ya kupiga kura
Hivi mnasimamia upande gani?? Nyie si ndo mnasema magu anafanya kampeni siku moja anapumzika wiki leo tena anatumia nguvu sana hahahahaaha mna wenge sana ni waite mashabiki wa chadema maana sio wapiga kura.
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
18,462
2,000
Wafuasi wa CCM kinywani huamini kwamba JPM kagusa maisha ya waTZ kwa kusaidia kuboresha maisha yao, ila mioyoni huona kabisa maisha ya mTZ yamekosa uelekeo ndani ya kipindi kifupi...

Kudhihirisha hilo nguvu inayotumika kupiga kampeni za JPM ni kubwa mnoo haireflect kabisa kukubalika kwake, kuanzia mabango, kutumia wasanii wote TZ, kuhujumu kampeni za vyama vingine, kuengua wagombea wa upinzani baadhi ya majimbo...

Kwa ninayoona endapo uchaguzi utakuwa huru na haki JPM hakika kura hazitatosha na wanajua hilo....
Hakuna ushetani Hatari kama ule ujinga wa kule majimboni kuwa miccm imepita bila kupingwa, kupita bila kupingwa kwa njia haramu za kishetani ndiyo kitu kibaya zaidi Duniani kwani mtu atakuwa mbunge pasipo ridhaa ya wapiga kura anaenda Bungeni kuwakilisha nani? hawakumchagua anaenda kuwakilisha NECCCM Tumeccm na aina hii ya wabunge ndiyo hupitisha mikataba mibovu kwa kura za ndiyoo ndiyo na wengine huwa kimya wakivuna posho kisha kurudi nyumbani kulala , wabunge wa kupita bila kupingwa ndiyo wabunge wanaotumika kuhujumu wapinzani wakiwa Bungeni
 
Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
24,044
2,000
Kweli sisi CCM hali ni mbaya kwenye hizi kampeni tuseme ukweli kama tume itakuwa huru Lissu atashinda mapema,sisi CCM tunanunua watu kujaza malori tunawapa buku 5000 au 10,000 kujaza uwanja halafu kampeni zikiisha watu wanaenda kwenye kampeni za lissu hizo hizo hela wanazopata kwetu wanaenda tena kuchangia buku buku kwenye kampeni za chadema
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom