Jumla ya fedha zilizotumika katika miradi ya maendeleo katika Jimbo la Nyasa, Ruvuma chini ya Mhe Eng. Stella Manyanya

Mwalimu Seme

New Member
Apr 13, 2020
2
2
JUMLA YA FEDHA ZOTE ZILIZOTUMIKA KWENYE MIRADI YA MAENDELEO- NYASA KUTOKA 2015 HADI FEBRUARY 2020.
___________________________________________

TSH.258,462,354,009(TSH. Bilioni miambili hamsini na nane milioni Mia nne sitini na mbili laki tatu hamsini na nne elfu na tisa)

1. SERIKALI IMETOA: TSH 256,288,625,906

2. MFUKO WA JIMBO: TSH 198,434,983

3. MBUNGE: TSH 228,040,000(mfukoni mwa mbunge)

4. WANANCHI: TSH 1,192,194,000

5. WAHISANI: TSH 555,059,120

Hongera sana Eng. Manyanya, kwa uwakilishi uliotukuka, imekuwa muwazi sana na hii ndiyo dalili ya uaminifu. Asante sana Dkt.Magufuli kwa Upendo wako kwa Jimbo la Nyasa, wanyasa wanakila sababu ya kukupigia kura nyingi ili ushinde kwa kishindo.

#CCM #JPM #NYASA #MANYANYA #HAPAKAZITU #NYASA
 
Mwenye video ya Eng. Stella Manyanya akipiga magoti na kugalauka jukwaani wakati anawaomba wanaNyasa wampe kura. Naomba anipatie tafadhali.
 
Hi hapa Mkuu.

JUMLA YA FEDHA ZOTE ZILIZOTUMIKA KWENYE MIRADI YA MAENDELEO- NYASA KUTOKA 2015 HADI FEBRUARY 2020.
___________________________________________

TSH.258,462,354,009(TSH. Bilioni miambili hamsini na nane milioni Mia nne sitini na mbili laki tatu hamsini na nne elfu na tisa)

1. SERIKALI IMETOA: TSH 256,288,625,906

2. MFUKO WA JIMBO: TSH 198,434,983

3. MBUNGE: TSH 228,040,000(mfukoni mwa mbunge)

4. WANANCHI: TSH 1,192,194,000

5. WAHISANI: TSH 555,059,120

Hongera sana Eng. Manyanya, kwa uwakilishi uliotukuka, imekuwa muwazi sana na hii ndiyo dalili ya uaminifu. Asante sana Dkt.Magufuli kwa Upendo wako kwa Jimbo la Nyasa, wanyasa wanakila sababu ya kukupigia kura nyingi ili ushinde kwa kishindo.

#CCM #JPM #NYASA #MANYANYA #HAPAKAZITU #NYASA

MKuu zimefanya shughuli gani hela zote hizo?
naweza kutuchambulia kama MDEE alivyofanya kuonyesha kila senti imetumika wapi?
 
..mfuko wa maendeleo ya jimbo ni fedha ndogo sana.

..Na ndio maana wabunge wamekuwa ombaomba kwa Raisi.
 
JUMLA YA FEDHA ZOTE ZILIZOTUMIKA KWENYE MIRADI YA MAENDELEO- NYASA KUTOKA 2015 HADI FEBRUARY 2020.
___________________________________________

TSH.258,462,354,009(TSH. Bilioni miambili hamsini na nane milioni Mia nne sitini na mbili laki tatu hamsini na nne elfu na tisa)

1. SERIKALI IMETOA: TSH 256,288,625,906

2. MFUKO WA JIMBO: TSH 198,434,983

3. MBUNGE: TSH 228,040,000(mfukoni mwa mbunge)

4. WANANCHI: TSH 1,192,194,000

5. WAHISANI: TSH 555,059,120

Hongera sana Eng. Manyanya, kwa uwakilishi uliotukuka, imekuwa muwazi sana na hii ndiyo dalili ya uaminifu. Asante sana Dkt.Magufuli kwa Upendo wako kwa Jimbo la Nyasa, wanyasa wanakila sababu ya kukupigia kura nyingi ili ushinde kwa kishindo.

#CCM #JPM #NYASA #MANYANYA #HAPAKAZITU #NYASA

Mkuu, hebu muulize huyo Mama Manyanya kuhusu maeneo ya Lituhi, Liweta, Ndumbi, Lundu, Hinga, Mbuli, Ngumbo, Mkili, Yola, Nindai na Tawi kama kuna huduma zifuatazo:-

1. Maji ya bomba;
2. Barabara walao za changarawe (habari za lami ni jambo tete) zinazoweza kutumika nyakati zote;
3. Masoko ya biashara ya samaki au mazao ya kilimo hususani mihogo ambayo hulimwa huko Nyasa;
4. Vyuo vya ufundi;
5. Umeme wa REA;
6. Vituo vya polisi, mahakama, n.k; na
7. Vituo vya kutafiti mazao, au bidhaa zingine, yanayolimwa Nyasa.

Otherwise, hizo pesa zilizotajwa angeweka wazi maeneo zilipotumika.
 
Back
Top Bottom