Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimekuwa Geita kikazi nikagundua CCM ilishafutika kabisa kule na Chadema inaweza shinda Jimbo lolote kule . Kuanzia Bukombe, Geita mjini, Geita vijijini, Sengerema Buchosa hakuna kabisa kitu...
11 Reactions
26 Replies
4K Views
Wanabodi, Huwa siandiki uzi kama sijapata hisia/kuwiwa kuandika ,siandiki kiushabiki ila napenda kushusha nyuzi nikiwa kama kijana mzalendo wa Taifa la Tanzania na mpenda maendeleo. Huwa napenda...
4 Reactions
104 Replies
11K Views
#USAFIRI WA ANGA. CCM inatambua kuwa usafiri wa anga ni njia muhimu na ya haraka inayounganisha visiwa vya Zanzibar na sehemu nyingine duniani. Katika Ilani hii, Chama cha Mapinduzi kitaelekeza...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Akizungumza na BBC kwa njia ya simu msemaji wa jeshi hilo, Luteni kanali Juma Sipe amesema kwamba habari hizo ni uvumi uliozagaa katika vyombo vya habari na kwamba hazina ukweli wowote. Matamshi...
6 Reactions
38 Replies
7K Views
Wadau wa Sekta binafsi nchini Tanzania wanakutana na Mh Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. leo katika ukumbi wa JNICC kwa nia ya kumpongeza Kwa mafanikio ndani ya miaka mitano
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Everything speaks for itself! Need I say more? Uchaguzi huu ccm ni LAZIMA ianguke, suala ni kama watakubali kuachia madaraka kwa amani! Ni uchaguzi ambao utatupatia UHURU mpya.
11 Reactions
60 Replies
5K Views
Mkuu wa mkoa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge ameagiza Manispaa ya Ilala kuhakikisha wanampiga faini mkandarasi wa ujenzi wa machinjio ya kisasa ya Vingunguti kwa kushindwa kukamilisha ujenzi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
FURAHA tuliyokuwanayo Watanzania, sasa haipo tena. Ni wakati wa kuhoji, kwanini maisha yamekuwa magumu kiasi hiki?, anaandika Faki Sosi. Ni kauli ya Sheikh Ponda Issa Ponda, Katibu Mkuu wa Jumuiya...
18 Reactions
200 Replies
23K Views
‪‬Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, ameibuka kupinga kurudiwa kwa uchaguzi wa Zanzibar na kumkumbusha Rais Dk. John Magufuli, atimize kwa vitendo ahadi...
1 Reactions
82 Replies
12K Views
Tukiwa tunasubiria ripoti ya CAG ya mwaka wa fedha 2017/2018 unaoishia June 30, 2018; Je, mapungufu yaliyoibuliwa 2016/2017 yamepatiwa ufumbuzi? Katika ripoti itakayotolewa, tutegemee kupigwa tena...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Uhuru wa Sheikh Issa Ponda umeingia katika sura nyingine kufuatia uamuzi wa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kukata rufaa Mahakama Kuu kupinga uamuzi uliotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
SHEIKH ISSA PONDA NA WATU WENGINE 50 WAPANDISHA KIZIMBANI MAHAKAMA YA KISUTU LEO Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam,Sheikh Issa Ponda, leo amepanda kizimbani na watu wengine 50 katika...
0 Reactions
59 Replies
10K Views
Polepole na Bashiru mnapaswa kujipanga upya. Hali halisi ya huku mtaani kwa wanachama wenu wamama, vijana na wazee ni hivi kwa sasa. Yaani furaha kwa kila wasikiapo kuhusu Chadema bila hata...
23 Reactions
56 Replies
5K Views
Moja ya mdahalo unaondelea kwenye kampeni za urais ni kati ya maendeleo ya watu na maendeleo ya vitu. Mimi nakubaliana na Tundu Lissu kwa kuchagua maendeleo ya vyote! UHURU, KAZI NA MAENDELEO...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
  • Closed
Leo SIKU ya Jumapili ya Tarehe 18 OCT 2020, kumetokea tukio la Uvamizi wa Watu wasio julikana katika Kijiji cha MFONI, kata ya MACHAME KASKAZINI nyumbani kwa MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA na MGOMBEA...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Natoa ushauri kwa CHADEMA Ni takribani siku 10 tu zimebaki kuhitimisha kampeni. Na trh 28/10/2020 ni siku ya uchaguzi yenyewe. Mgombea wetu na Rais anayesubiri kuapishwa, Mh. Tundu Lissu kuna...
13 Reactions
36 Replies
3K Views
JESHI KAZI YAKE NI KULINDA MIPAKA YA NCHI NA SIO KUBEBA KOROSHO, NICHAGUENI OKTOBA 28, NIBORESHE BEI YA KOROSHO"PROF. LIPUMBA" MASASI-MTWARA Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mgombea ubunge jimbo la Vunjo akiongea na wandishi wa habari hivi punde amesema ilikuwa kama sinema katika kupambana na wasiojulikama huko Kilimanjaro waliojaribu kumteka. Anasema marafiki, Jeshi...
6 Reactions
123 Replies
13K Views
Nguvu kubwa (wakati mwingine isiyokuwa na sababu) inatumika na vyama shindani kuwaaminisha wapiga kura kuwa wao ni bora zaidi. Walisema wahenga kizuri chajiuza. Nasi wapiga kura macho tunayo...
2 Reactions
1 Replies
557 Views
Wakuu Salaam: Bernard Membe kama kabwaga manyanga basi tutangaziwe rasmi maaana haonekani kokote. Kama amerudi tena India tujue mgombea wetu saivi hayuko nchini! JPM ratiba zake ziko wazi na...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Back
Top Bottom