Wafuatao tukutane tarehe 28 Oktoba vituo vya kupigia kura

Sep 8, 2020
67
133
1. Viongozi wote wa Dini na Madhebu, wale waaminio ktk Mungu/Allah na watu wote wenye maadili mema, Wanawake wanauomizwa zaidi na USHOGA tukutane katika vituo vya kupigia KURA kuchagua kupinga USHOGA kwa kuichagua CCM.

2. Watanzania wote wapenda AMANI, UTULIVU na MSHIKAMANO kutoka BARA na VISIWANI, hima tukutane saa mbili asubuhi katika vituo vya kupigia KURA tuchague Muungano wetu kwa kuipigia KURA CCM.

3. Wafanyabiashara wote wanufaika wa mabadiliko ya sheria ya KODI inayotoa muda wa matazamio kwa wafanya biashara kulipa KODI kwa miezi SITA baada ya kuanzishwa biashara mpya tukutane pale vituoni kwa ajili kuichagua Serikali inayojali biashara na kuwasikiliza wafanya-biashara, #KuraKwaCCM.

4. Wazee wote na Akina Mama wajawazito wote ambao hunufaika huduma bure na za karibu zaidi baada ya kujengwa ZAHANATI kwa kila KATA tukutane katika vituo vya kupigia KURA mapema tukamilishe swala letu. Mafiga MATATU, Diwani. Mbunge na Rais wa CCM.

5. Wachimbaji wadogo wadogo wa MADINI wanaonufaika na sheria mpya za madini na wote waliotambuliwa kwa kurasmishiwa maeneo ya uchimbaji tukutane ktk VITUO vyetu vya kupigia KURA kabla Jogoo hajawika tumalize UTATA. Tukatae kuweka REHANI madini yetu, Wembe ni uleule #KuraKwaCCM.

6. Madereva wote wa Bajaji, Daladala, Ubber, Bolt, Mabasi makubwa, magari yote ya Daslamu wanaonufaika na nafuu ya foleni kwa kuboresha miundombinu ya katikati ya jiji la Dar pamoja na njia NANE za Dar - Mlandizi tukutane katika vituo vya kupigia KURA kwa ajili ya kuweka mambo sawa. Mitano tena!!

7. Makondakta wote, wapiga debe wote wanaonufaika na STENDI mpya za kimataifa za Dodoma, Morogoro, Daslam Mbezi (mpya), nk. tukutane ktk usawa uleule vituoni kuamua kazi salama kwa kuichagua tena CCM.

8. Watu wote wanaonufaika na usafiri wa anga (waajiriwa), abiria nk. tukutane mapema katika vituo vyetu vya kupigia KURA kufanya uamuzi wa kihistoria. Utaratibu ni uleule namba MOJA ktk karatasi ya kupigia KURA.

9. Wanavyuo wote nchini ambao tunapa boom kwa wakati bila longolongo kama awali tukutane katika vituo vyetu vya kupigia KURA Oktoba 28, tumalize jambo hili mapema.

10. Watumishi wote wa umma wanaopokea mishahara yao tarehe 23 kila mwezi, siku 7 kabla ya mwezi kuisha na yenye ongezeko la pesa isiyotozwa KODI tukutane kuchagua matokeo chanya. Kura kwa CCM!

11. Watu wangu wa mikoa yote itakayonufaika na TRENI ya mwendo kasi, yaani Mwanza - Dar ( mwendo wa saa 7 tu), Dar - Moro Dakika 45 pekee tukutane ktk vituo vyetu mapema kwa ajili ya kuchagua usafiri salama na wa haraka. Chagua kulala Moro, biashara Daslam. Chagua kulala Mwanza, luch Daslam #Kura kwa CCM.

12. Watanzania wote watakaonufaika na UMEME mwingi kutoka Stieglers Gorge (SG) kwa bei BWELELE njooni na KADI zenu tukutane maeneo yetu ya kupigia KURA tuchague Umeme rahisi na wa uhakika kwa kupiga KURA kwa CCM.

13. Wanafunzi wote wa Sekondari mliofikisha umri wa miaka 18 na zaidi ambao mmefaidika na Elimu ya bila malipo WEMBE ni uleule uliomnyona Kanga, kura za shukrani kwa CCM.

14. Wasanii wote kazi yenu imeonekana, tumeanza vizuri tukutane tarehe 28 Oktoba tumalizie kazi yetu. Ni vilevile hatujabadilisha utaratibu, MAFIGA MATATU. Unachukua, unaweka, waaa!!!!

15. Mama Ntilie na Machinga wote tunaofanya biashara zetu kwa UTULIVU na AMANI, mwendo mdundo tukutane mahala pa tukio Oktoba 28 kuthibitisha uamuzi. Kama kawaida, ni namba MOJA!!

Orodha ni ndefu sana, itoshe kusema Watanzania wote wapenda Maendeleo, Amani na Utulivu ktk nchi yetu tukutane Oktoba 28 kwenye vituo vyetu vya kupigia KURA kwa ajili ya kufanya uamuzi wa kihistoria.

Tukutane ktk VITUO vya kupigia KURA kuchagua Maendeleo ya kweli, tukutane kuchagua ILANI bora inayotekelezeka na Viongozi wenye mwelekeo. Tukaichague CCM!!
#MitanoTenaKwaJPM.
MenukaJr.
 
Waathirika wa dhuluma za haki, uhuru na maendeleo nao unapanga kukutana nao wapi?

Katika hao wamo wakulima wa korosho, madereva wa daladala waliofanywa mitaji ya wengine na serikali ikiangalia tu, waathirika wa kubambikiwa kesi, wahanga wa kesi za kubambikiziwa na mamlaka, waathirika tekwaji, wastaafu wasiolipwa nssf, wafanyakazi wasiopata nyongeza ya mishahara wala promotions zao, wahitimu wasio na ajira, wenye biashara zao zilizouliwa na sera za awamu hii, wakulima waliokopwa mazao yao, madereva wanaozuiliwa kufanya kazi zao kwa sababu ati umri wao umezidi miaka 60, wanawake weusi, na wengi wengine wa namna hiyo nao unapanga kukutana nao wapi?

Vipi niendelee kuwaorodhesha? Wakiwamo wanaoathirika na barabara mbovu kama hizi?

Maelekezo ya Wizara barabara ya Rusahunga Rusumo hayakutekelezwa

NB: msiibe uchaguzi.
 
Back
Top Bottom