Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sasa ni dhahiri kuwa swala la chama gani chaweza kutoa rais wa JMT limezikwa rasmi na uhakika ni kuwa, CCM peke yake ndicho kitaendelea kutoa rais. Ukifuatilia mijadala inayoendelea hasa ndani ya...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
1. Shekhe Ponda anataka kutanua goli la udini, mkimjibu mnachochea udini, mtazigawa kura zetu bure achaneni naye tujiandae kupiga kura Oktoba 28. 2. Shekha Ponda anataka kuhamisha goli la USHOGA...
8 Reactions
88 Replies
7K Views
Mgombea urais Zanzibar kwa tiketi ya chama cha AAFP, Said Soud Said amesema akipata madaraka ya kuiongoza Zanzibar atahakikisha vijana wanaoa na mahari itatolewa na serikali. Amesema hatua...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana jamvi! Naam, baada ya waraka namba moja,nimewiwa tena kuandika waraka namba mbili. Lengo ni lile lie kuzisaka kura kwa udi na uvumba. Kwa maoni yangu mheshimiwa Rais mtarajiwa...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Sababu kuu ni kwamba mifuko hiyo iko hoi. Pesa za mifuko ya hifadhi ya jamii hazitajenga kiwanda chochote. Ni siasa tu. Pesa za mifuko ya hifadhi ya umma sio pesa za serikali, ni pesa za...
17 Reactions
44 Replies
5K Views
Hii ni turufu nzuri kwa mwanasiasa, natamani kusikia Mgombea yeyote wa Urais akilizungumzia hili, licha ya baadhi ya maeneo kukosa maji, haiwezi kuhalalisha maeneo yenye maji ya bomba kuuziwa Tsh...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
KARIBU CCM KACHERO MBOBEZI, TAWI LA MKOMAMANGA, BERNARD KAMILIUS MEMBE Leo 11:55hrs 17/10/2020 Yuko wapi Bernard Membe? Je, bado anasubiri "Tsunami ya vigogo" na wanachama wapya toka mikoa ya...
7 Reactions
43 Replies
5K Views
Nawasalimu wana JF, Nimekuwa mfatiliaji wa karibu sana wa siasa za upande wa Tanzania Visiwani kwa maana ya Zanzibar, nimegundua falsafa na maono makubwa ya Dkt. Hussein Mwinyi juu ya mipango...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Maeneo ya Oysterbay - Dar yemekumbwa na kukatikakatika kwa umeme mara kwa mara bila taarifa kwa takriban wiki ya 2 sasa. Si asubuhi, si mchana wala si usiku. Leo tarehe 18 /10/2020 umekatika...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Si hii nchi haina dini kabisa? Na vyombo vya dini vinatakiwa kuwa huru kabisa? Sasa Rais anakwenda kwenye baraza la Iddi anatoa briefcase yenye pesa taslimu...why? kuna nini? Sasa mkuu wa mkoa...
33 Reactions
242 Replies
32K Views
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Issa Ponda ameueleza mtandao huu kwamba, amefanya mazungumzo na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanzania, Tundu Lissu anayendelea na matibabu...
39 Reactions
267 Replies
34K Views
Nimemsikia Polepole Leo akidai kuwa CCM ina wanachama 16 million. Assuming kuwa mwanachama ni lazima awe na umri wa miaka 18 hivyo inamaanisha kuwa kwa idadi hiyo CCM ina 70 % ya Wapiga kura wote...
19 Reactions
159 Replies
11K Views
Ukifuatilia vuguvugu la kisiasa linaloendelea nchini kwa sasa, hususan ‘mnyukano’ unaoendelea ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), utagundua kwamba kuna shida kubwa mahali fulani na...
37 Reactions
172 Replies
18K Views
Huyu jamaa, hana kabisa mvuto akiwa jukwaani. Siasa kwake naona si jambo alilonalo kiasili. Anajitahidi sana kuongea na kudondosha vibwagizo akiwa jukwaani, lakini wapi! Hamna kitu kabisa...
27 Reactions
253 Replies
20K Views
Nidiriki kusema mchezo umeisha na CCM tumeliwa hadaharani.... Ingizo la Sheh Ponda katika kampeni za Lisu ni total disaster kwetu CCM.... Kwa ratiba ya Lisu niliona jana ataenda huu ukanda wa...
80 Reactions
160 Replies
14K Views
01: watumishi wa umma wote ,sababu mpaka sasa hawajapandishwa madaraja ,vyeo na mishahara wananyanyasika kazini bila hatia wanateseka uhakiki wa kila siku ambayo unawapa gharama kila kukicha. 02...
10 Reactions
71 Replies
7K Views
Mwenendo wa TV inayoendeshwa kwa kodi za watanzania wote bila kujali vyama vyao, ni mbaya. Wanaonesha LIVE mikutano ya kampeni za CCM pekee. Kama walitofautiana na CHADEMA, kwanini hawaoneshi...
10 Reactions
16 Replies
2K Views
Komredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu. Chanzo: Eatv My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini Maendeleo hayana vyama!
10 Reactions
208 Replies
22K Views
Nimekuwa Geita kikazi nikagundua CCM ilishafutika kabisa kule na Chadema inaweza shinda Jimbo lolote kule . Kuanzia Bukombe, Geita mjini, Geita vijijini, Sengerema Buchosa hakuna kabisa kitu...
11 Reactions
26 Replies
4K Views
Wanabodi, Huwa siandiki uzi kama sijapata hisia/kuwiwa kuandika ,siandiki kiushabiki ila napenda kushusha nyuzi nikiwa kama kijana mzalendo wa Taifa la Tanzania na mpenda maendeleo. Huwa napenda...
4 Reactions
104 Replies
11K Views
Back
Top Bottom