Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wadau,kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi ya nchi yetu,uchaguzi unaweza kupangwa kufanyika kwa Siku mbili tofauti pasipo sababu ya msingi kama ville kuvurugika uchaguzi katika siku ya kwanza au...
0 Reactions
11 Replies
993 Views
Sio siri tena kuwa wakati CCM inatumia fedha zake za Ruzuku toka serikalini na vyanzo vyake vingine halali na haramu kutapanya Mali kwa ufahari na wizi hali ilikuwa tofauti kwa Chadema. Sio siri...
27 Reactions
61 Replies
6K Views
Nimeona mahala kuwa huyu Mwanamama ambaye ni Mkuu wa Mashtaka katika Mahakama ya Uhalifu Kimataifa ( ICC ) anaenda zake nchini Sudan huko 'Kumalizana' na aliyekuwa Rais wa muda mrefu wa nchi hiyo...
3 Reactions
2 Replies
993 Views
Adhabu ya kifungo cha kutofanya kampeni imemalizika jana saa tano na dakika 59 usiku, kwa hiyo kuanzia asubuhi hii ya leo ya tarehe 9 yuko huru kuendelea na kampeni zake. That punishment wasn't a...
81 Reactions
108 Replies
11K Views
Jabali Maalim Seif akiingia kwenye mkutano wa Kampeni za Tundu Lissu Moshi Mjini
31 Reactions
80 Replies
9K Views
Leo 13/10/2020 nilikuwa crdb banki, wakati tupo kwenye foleni ndani ya hii banki niliwakuta watumishi watatu wa serikali 1) Alikuwa ni mwanamke ambaye ni mwalimu,huyu mama alikuwa analalamika...
10 Reactions
46 Replies
3K Views
Mwalimu alipopata mkopo anasema alijifikiria sana. Akiwapa masikini chakula watakula ila baadae watasikia njaa na kutaka waprwe tena. Yeye na team take wakaamua badala yake wamsomeshe mtoto wa...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Tangu nimejitambua kama mtu mzima ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sikuwahi kwenda kupiga kura Hii ni kutokana na kutopata ushawishi wa kisera kutoka kwa vibaka CCM na wale wapinzani wa...
16 Reactions
23 Replies
2K Views
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete alipotoka Nigeria kushuhudia zoezi la upigaji kura, uhesabuji kura na utangazaji matokeo, alisema kuwa angependa siku moja nasi Tanzania tufikie kiwango cha...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Mwenye Chama chake cha ACT - Wazalendo Zitto Kabwe Nitamuunga mkono na Kumpigia Kura Tundu Lissu Aliyekaribishwa 'Kimkakati' ndani ya Chama Maalim Seif Sharrif Hamad Maamuzi yote ya Chama cha...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Moja ya mikoa iliyobarikiwa ardhi yenye rutuba na Hali ya hewa ya kurutubisha mazao ya biashara kama nyanya,vitungui,mahindi na mbogamboga ni Iringa, lakini mazao haya yanaonekana maeneo mengi ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Upepo ulikuwa kwao wiki iliyopita na kuonesha mvuto wao ulikuwa mkubwa sana kitaifa. Ila ni makosa madogo yanayoweza kupunguza kura zao na wakiepuka tu wanaweza kuongeza kura sana na hata...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Dear wakala wa chama, Salamu sana. Natumaini u mzima na umejiandaa vema kusimamia maamuzi yetu. Najua una 'mchecheto' hivi, ile hali ambayo mtu hujisikia anapokuwa anatarajia kufunga ndoa na...
0 Reactions
0 Replies
675 Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa amewaomba Watanzania wote wakiwemo na wakazi wa Kigoma wahakikishe wanamchagua Rais Dkt. John Pombe Magufuli ambaye ni...
2 Reactions
55 Replies
4K Views
Imeandaliwa na Mwl.ngh'oloyape, Habarini wanajamvi wa siasa forum nimejaribu kufuatilia siasa za Tanzania na jinsi ambapo tunajinasibisha mitaani kwamba Lissu atakuwa Rais wa JMT nimegundua na...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mgombea huyu wa urais kwa Zanzibar ametoa sera zake na kaweka wazi kabisa ktk serikali yake ukikutwa na bangi 1 hutokamatwa.
2 Reactions
3 Replies
1K Views
REA, Shule za Sekondari, Barabara za Lami nk ni baadhi ya miradi uliyoiasisi au kuiendeleza ulipokuwa Rais wetu. Mungu akubariki kwa kuwa mkweli. Tulifika mahala tukaaminishwa kwa nguvu za ajabu...
30 Reactions
120 Replies
13K Views
Lala salama ya uchaguzi zikiwa zimebaki siku 8 ( one digit) inaanza leo ambapo Tundu Lissu atakuwa Hai mkoani Kilimanjaro akiwa na Sheikh Ponda, Askofu Mwamakula na mgombea urais wa Zanzibar...
16 Reactions
91 Replies
11K Views
Nitawajulia hali zenu baada ya uchaguzi! Niende moja kwa moja kwenye mada husika! CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO YA WATU na sio vitu ni chama pekee kilichoweza kujipambanua na kutawala kwenye...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
"Nimempa hekari elfu 10 iliazalishe sukari tan 30,000 hadi 35,000 kwa mwaka na watanzania 800 watapata ajira na badae uzalishaji utafikia tani 60,000 hadi 70,000 na kutoa ajira 2000" Magufuli...
5 Reactions
41 Replies
6K Views
Back
Top Bottom