Mattaka the new NIC Director | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mattaka the new NIC Director

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NgomaNzito, Apr 8, 2009.

 1. NgomaNzito

  NgomaNzito JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 561
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tetesi zilizopo muda huu ni kuwa mkulu kampa Mataka fupa la NIC news of appointment to follow soon!!!
   
 2. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Watu tuliyatarajia haya, na ma member wengi wa JF walitarajia haya kutokea, Hivi huu mchezo wakupeana madaraka kirafiki na kama karanga utaisha lini, inasikitisha sana.

  Haya madaraka ya kupeana in exchange na kurudishiana fadhira yanatupeleka pabaya.
   
 3. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2009
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Itakuwa kali ya mwaka. "Haribu hapa utapelekwa na pale pia ukaharibu."
   
 4. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2009
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mzee Mataka, Nenda kafanye kazi. Nenda uifufue NIC na uonyeshe kuwa unao uwezo na hukupewa cheo hicho kwa urafiki.

  Ukishindwa mfuate mkuu wa nchi akupatie pengine. Kila la kheri mzee, ma super managers wa siku hizi mpo wachache sana, maana wasomi Tanzania wanazidi kupungua kila kukicha!.

  Kila la kheri!

  FP
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Apr 8, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Nadhani hizi nazo ni tetesi tu kama za yeye kung'oka ATCL..
   
 6. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hilo linajulikana, hata yeye mwenyewe keshasema ni tetesi. Hujasema jipya hapo.
   
 7. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  JK analipa fadhila sijui alimsaidia nini huko Kibaha Sec...au alimpa desa akafaulu/manaa naona this is toooo much.sababu alipelekwa USA for 2 yrs kusomea insuarance ndio hawataki kumuacha??mbona kuna wataalam waliobobea sana kwenye hayo masuala hata hawaonwi??huu urafiki huuu una mashaka....au kuna imani na dini yao wanayoijua wanaabudu wote na wamekula kiapo kuwa hawataachana ???dini gani hiyo?au wanaabudu nini??au wanapenda nini ambacho kinawafanya wawe common???nauliza tuu ni swali tuu......ni mawazo tuu
   
 8. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #8
  Apr 8, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Unachorudia wewe ndiyo na mimi nimekisema so siyo wewe wala mimi aliyesema jipya.
   
 9. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #9
  Apr 8, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Jamani, hakuna haja ya kulalamika sana, ni waarabu wa pemba hao
   
 10. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #10
  Apr 8, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Mpita njia, mmeshahakikisha kuwa kweli amepewa UMD wa NIC?
   
 11. H

  Hauxtable JF-Expert Member

  #11
  Apr 8, 2009
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 386
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  JK aliagiza watu wamfanyiye tathmini ya ATCL kwa kipindi cha muda fulani,na pamoja na mapendekezo aliyopewa ndani ya tathmini hiyo ni 'Kuondolewa' kwa bw.Mataka kabla ya mwisho wa mwezi April,na siyo 'kuhamishwa'.
   
 12. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #12
  Apr 8, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Huwa ni kawaida kujadili mada tetesi as long as wote tunajua kwamba sio hakika - na haijawekwa kama ni hakika. Anaeswalisha mjadala wa mada tetesi na yeye ni mkufunzi kinara wa kuleta mada tetesi.

  Nadhani tuendelee kuijadili based on uelewa kwamba ni tetesi.
   
  Last edited by a moderator: Apr 8, 2009
 13. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #13
  Apr 8, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  unarudia kusema kitu ambacho unakisema, na haya marudio kwa kweli hayaongezi hoja uliyokwisha kutoa kwa hiyo ni marudio yasiyo ya lazima. Hata hivyo ukilinganisha habari "tetezi" zinazotolewa na huyo unayemuita "kinawa wa kuleta mada tetesi" utashangaa uhakika wake unakaribia asilimia 99!

  Hivyo tetesi mara nyingi huishia kuwa ni ukweli, so sipuuzi tetezi ya habari hizi.
   
 14. H

  Hauxtable JF-Expert Member

  #14
  Apr 8, 2009
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 386
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mkuu, siyo sekondari tuu! hata chuo kikuu walikuwa 'Room mates' hawa wametoka mbali ati!!thats what friends R 4!!:)
   
 15. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #15
  Apr 8, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Sijathibitisha na niliamua makusudi kuachana na kuthibitisha hili kwa sababu niliona kuwa itakwa sawa na kumpigia mbuzi gitaa. Wana mahali pa kujificha katika hili, si lazima sana wasikilize maneno ya watu, wana sababu za kuhalalisha matendo yao, sababu ambazo zipo backed na sheria. Kikwete, kwa mamlaka aliyonayo ana uhuru wa kumteua Mattaka kwenye nafasi hiyo. Kama angetaka kufanya hivyo, angeshafanya, na akitaka kufanya atafanya
   
 16. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #16
  Apr 8, 2009
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,496
  Likes Received: 2,742
  Trophy Points: 280
  Hivi kwa nini rais ateue ma-director wote kuanzia wa mashirika ya umma, mikoa, wilaya you name it!! Hivi huu ujima utatuisha lini??
   
 17. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #17
  Apr 8, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Katiba inampa mamlaka hayo
   
 18. Scientist

  Scientist JF-Expert Member

  #18
  Apr 8, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Itakapothibitika kuwa si tetesi tena bali ni ukweli,basi mjue nchi ishauzwa!! Katika maamuzi ambayo muungwana ameyafanya ambayo hayana busara hata chembe hili litakuwa mojawapo.
   
 19. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #19
  Apr 8, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Mpita Njia heshima mbele mkulu,

  kwanini serikali wasitangaze position kama hizi kwenye vyombo vya habari, then watanzania wenye vigezo watume maombi (CVs), na baada ya hapo wa subcontact kampuni kama PWC au Deloitte and T wawafanyie usaili na ku-short list majina kama matatu ili serikali wachague mtu wanayemtaka, tatizo liko wapi?..mimi nadhani kuna watanzania wengi tuu ambao wanauwezo wa kazi kama hizi.

  MJ
   
 20. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #20
  Apr 9, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hii inaonyesha JK haangalii jamii inasemaje juu ya uovu wa watendaji wake
   
Loading...