Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

19 Oktoba 2020 Mkuranga, Pwani Tanzania MITUMBWI YATUMIKA KUVUSHA WANACHI MKURANGA Wakazi wa kata ya Tambani wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani, Tanzania wanalazimika kutumia mitumbwi kutoka eneo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Leo Babati Mjini. Mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Mhe. Tundu Lissu kuanzia leo Oktoba 18, 2020 ataanza rasmi kampeni zake kwa kutumia Helikopta Chanzo: BAVICHA TAIFA Asanteni Babati...
30 Reactions
137 Replies
13K Views
Tanzania IPO katika nchakato wa Uchaguzi Mkuu, miongoni mwa wagombea URAIS ni Mheshimiwa Daktari John Joseph Pombe Magufuli. Rekodi alizovunja Mheshimiwa JPM nchini Tanzania, Afrika na dunia...
35 Reactions
261 Replies
15K Views
Mgombea Urais Zanzibar Kwa tiketi ya CCM, Dkt. Hussein Ally Mwinyi amesema Muungano unaunifaisha Zanzibar. Amesema kutokana na uchache wa watu wa Zanzibar uzalishaji wa bidhaa zao hutegemea soko...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mkutano Mkubwa wa kampeni Mheshimiwa Tundu Lissu kwenye viwanja vya Mnadani Karatu Jimbo la Karatu - Arusha Akiwa Karatu ametolea Ufafanuzi swala la mgombea ubunge jimbo la Karatu kupewa barua...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Asante Baba Askofu Bagonza. Kama kawaida yako, umeendelea kutufundisha Watanzania njia sahihi ipasayo kuzingatiwa katika ucha Mungu wetu kila iitwapo leo. Mungu akutunze baba yetu. =======...
16 Reactions
57 Replies
7K Views
"Aliyeteuwa hakuomboleza. Aliyeteuliwa hataomboleza. Marehemu ameshafika aendako? Na kama amefika basi usajili bado Tuna wagonjwa wengi, tutateuana kila siku" Hayo ni maneno ya Baba Askofu...
54 Reactions
136 Replies
18K Views
Ujumbe wa baba Askofu Dr.Benson Bagonza (PhD), mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. ____________________ Mwaka 2015 hatukuchagua malaika kuwa serikali. Tulichagua watu wenye ubinadamu. Watu hao na...
31 Reactions
33 Replies
6K Views
CCM Kuna mahali nimekosea, target mbaya, maandalizi mabaya na mipango pia imekaa vibaya. Mzee Warioba alisema kwa Tundu ni mtu ambaye anazijua sana sheria kupambana naye penye haki itakuletea...
10 Reactions
26 Replies
3K Views
Ndugu zangu wa upande wa pili mimi mwanachama dormant wa mboga mboga, nina swali kwenu Kwa kweli nimeshindwa kuelewa Lissu anatumia njia zipi kukusanya umati kwenye mikutano yake, bado nashindwa...
42 Reactions
98 Replies
10K Views
Ndugu zangu wanaCCM mlioko humu ndani na kwingineko, hali ni ngumu sana huyu mtu anatuzidi kwa kiasi kikubwa sana kwa ninavyotazama mimi na msema kweli mpenzi wa Mungu. Huyu ni ambaye ni sawa na...
51 Reactions
90 Replies
9K Views
Muingereza kabla hata hajatupa Uhuru alitutungia sheria ya makosa ya adhabu(penal code) ambayo baadae ikaja weka vipengere vya makosa ya uchochezi na udhalilishaji. Tulipopata tu...
12 Reactions
31 Replies
4K Views
Hata huyo Rais awe amesomea Fani za Kujenga Nyumba, Kuvua Samaki, Kujenga Barabara, Kuchanganya Kemikali Maabara, Kujenga Madaraja, Kujenga Viwanja vya Ndege, Kuendesha Ndege ikiwa ardhini au Basi...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Je, 1. Wasiwe Wapole sana? 2. Wawe na Roho mbaya mno? 3. Wawamalize Maadui zao mapema ili wasiwasumbue mbeleni? 4. Wawe wanamfurahisha yeye zaidi na siyo anaowaongoza? 5. Wahakikishe Maslahi ya...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Previously wimbo ulikua wa kampeni za Msigwa ila naona umeboreshwa uwe wa kitaifa. Unanibamba sana, inapaswa baada ya campaign uchukue nafasi ya ''one love'', inasaidia zaidi branding ya chama...
26 Reactions
110 Replies
16K Views
WANAMUZIKI nchini wametakiwa kuhamasisha amani katika uchaguzi mkuu na kwenda kupiga kura ifikapo Oktoba 28 ili kuwachagua viongozi wanao wataka. Ombi hilo linetolewa na Rais mpya wa Umoja wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
HALIMA MDEE, FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO UMEPELEKA WAPI? Bunge la JMT limetunga Sheria iliyoanzisha na kusimamia fedha za mfuko wa Jimbo kwa lengo la kurahisisha na kumsaidia Mbunge wa kuchaguliwa...
6 Reactions
713 Replies
38K Views
Diwani wa BomaMbuzi Moshi Kilimanjaro Juma Raibu amevamiwa nyumbani kwake na wanaliovalia sare za chadema na Kuvunjiwa vioo vya magari yake binafsi. Hili linatokea ikiwa ni siku kadhaa tangu...
0 Reactions
67 Replies
8K Views
Serikali ya awamu ya Tano chini ya usimamizi wa Rais Magufuli inaendesha miradi mikubwa ya kimkakati ambayo matunda yake hayaonekani leo au kesho ni ya muda mrefu na ndio namna ya kuongozaNchi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom