Ripoti iliyotolewa na Wizara ya Fedha na Mipango juu ya matokeo ya utekelezaji wa Serikali ya awamu ya Tano(2015-2020) katika sekta mbalimbali imeangazia Sekta ya Afya ambapo Ripoti hiyo...
Ripoti iliyotolewa na Wizara ya Fedha na Mipango inaeleza utekelezaji wa maboresho ya sekta ya maji ndani ya miaka mitano ya awamu iliyopita kama ifuatavyo;
-Asilimia ya upatikanaji wa huduma ya...
Katibu Mkuu na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ndugu Ado Shaibu amekamatwa na Polisi ili kuzuiwa asihudhurie Mkutano wa Tundu Lissu unaofanyika Jimboni Kwake.
Ndugu Ado Shaibu...
Ripoti ya Wizara ya Fedha na Mipango ya mwaka 2020 inayoangazia hali ya utekelezaji wa Serikali ya awamu ya tano(2015-2020) katika sekta mbalimbali, Imeangazia hali ya Umasikini nchini Tanzania...
Kampeni zikiwa zinaelekea ukingoni kuna baadhi ya sehemu tulitarajie ziwe na mshike mshike ,watu washambuliane ,magoli ya fungwe na media zionyeshe goal rush kama wafanyavyo Supersoport 3,
Mechi...
Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na Wizara ya Fedha na Mipango juu ya Matokeo ya utekelezaji wa Serikali ya awamu ya tano katika Sekta mbalimbali, miongoni mwa Sekta zilizoelezwa utekelezaji wake...
Tumekiwa tunaambiwa Mabeberu wanatamani sana Rasilimali za Tanzania sasa najiuliza ni zipi, yaani specific raslimali.
Maana kama ni Madini kwanza Tanzania sio mzalishaji pekee wa Dhahabu Duniani...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli anazindua kiwanda cha bidhaa za ngozi kilichopo mkoani Kilimanjaro. Rais ameshafika na kwa sasa ni wimbo wa Taifa kabla ya kuanza shughuli...
Ndugu na jamaa wanaotarajiwa kufanya safari ya kuja Zanzibar au kwenda Bara mnapaswa kufanya safari zenu mapema kabla ya wiki ijayo ya tarehe 28.
Mkumbuke siku hiyo hakutakuwa na chombo...
WAGOMBEA wawili wa kiti cha Ubunge wa Chama cha ACT-Wazalendo kupitia majimbo ya Kibamba jijini Dar es Salaam na Kyerwa mkoani Kagera wamewajia juu viongozi wa chama hicho kutokana na kauli yao ya...
Mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA amesema yeye sio wa kwanza kumtumia mwanasheria au wakili ambaye ni raia wa Uingereza.
Amejibu hivyo alipoulizwa kuhusu kutumia...
Tunawasoma watu maarufu waliopingana na uonevu wa wakoloni wakatuletea ukumbozi. Waliofanya hayo walianza kwenye sanduku la kura 1958 na 1961 wakaingia ikulu na mzungu akafungasha virago.
Toka...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeeleza kuwa inawashangaa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanaosema kuwa hawamtambui mgombea wa ubunge aliyesimamishwa kugombea katika jimbo la...
Mwaka 1992 Tanzania ilitangaza kuwa ni nchi ya vyama vingi. 2020 bado kuna viongozi wanao simama majukwaani na kusema mkichagua upinzani hatuleti maendeleo.
Sifa kubwa ya kiongozi ni kuweza...
Polisi watumia Mabomu ya Machozi kuvuruga Mkutano wa @ACTwazalendo ulokuwa ukifanyika katika Kiwanja cha Legeza Mwendo Kata ya Milola Jimbo la Mchinga.
Mgombea wetu, Ndugu Syprian Mtotomwema...
Habarini wenzangu, kama tuonavyo mambo ndio yanaelekea mwishoni, Tumejiandaaje pale Mawasiliano yakizimwa?
Yaani JF, WhatsApp, Facebook, Insta, Telegram, Signal, SMS zikawa inaccessible.
Njia...
Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, amesema serikali ya mkoa huo imejipanga kukabiliana na vijana 150 walioandaliwa kila Kata na vyama vya upinzani kwa ajili ya kufanya vurugu kwenye vituo...
Kwanza niseme waziwazi kuwa mimi namuunga mkono Tundu Antipas Lissu kuwa ndiye mgombea ninayeamini anaweza kumng'oa John Joseph Magufuli na ndiye nitakayempigia kura.
Lakini pamoja na hayo lazima...
MBOWE ANAWEZA KUPATA FEDHEHA UCHAGUZI HUU
Na Thadei Ole Mushi
Mwaka huu Mh Mbowe kabla hata ya Kampeni kuanza alifanya mkutano mmoja kwenye Jimbo lake la Hai maeneo ya Tambarare akaulizwa Swali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.