Maboresho Sekta ya Maji (2015-2020)

Maboresho Sekta ya Maji (2015-2020)

Rahma Salum

Member
Joined
Sep 7, 2020
Posts
30
Reaction score
60
Ripoti iliyotolewa na Wizara ya Fedha na Mipango inaeleza utekelezaji wa maboresho ya sekta ya maji ndani ya miaka mitano ya awamu iliyopita kama ifuatavyo;

-Asilimia ya upatikanaji wa huduma ya majisafi kwa mijini imeongezeka kwa 12%, huku vijijini ikiwa imeongezeka 22%.

-Idadi ya miradi ya maji iliyokamilika mijini na vijijini ni 2,211 ikiwa imeongezeka miradi 1,143 ndani ya miaka mitano.

-Idadi ya vyombo vya watumia maji vilivyoundwa vijijini ni 2,000. Kuku mijini ikiwa hakuna idadi yoyote.

Aidha, jumla ya fedha zilizotumika kutekeleza miradi hiyo ni Shilingi za Kitanzania 1,545,880,441,900
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom