Dakika ya 88':Kuna big mechi hatuoni hata goal rush

mugah di mathew

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
3,721
2,000
Kampeni zikiwa zinaelekea ukingoni kuna baadhi ya sehemu tulitarajie ziwe na mshike mshike ,watu washambuliane ,magoli ya fungwe na media zionyeshe goal rush kama wafanyavyo Supersoport 3,

Mechi hizo ambazo zimekuwa kimya kuliko matarajio ya wengi ni hizi

1.Mbeya mjini
Sugu vs Tulia
2.Ubunge
Meya Jacob vs prof,Mkumbo
3.Singida kaskazin
Inghondu vs Nyalandu
4.Iramba magharibi
Mwigulu vs Jesca kishoa

Pia kuna
Muheza kwa mwanaFA
Mikumi kwa prof,jay
Tarime vijijini kwa heche
Busanda kwa shigongo
Tunduma kwa Lusinde
5.Morogoro mjini
Devotha minja vs Aboud

Nini kina endelea huko?
 

dikteta2020

JF-Expert Member
Aug 14, 2018
592
1,000
Kampeni zikiwa zinaelekea ukingoni kuna baadhi ya sehemu tulitarajie ziwe na mshike mshike ,watu washambuliane ,magoli ya fungwe na media zionyeshe goal rush kama wafanyavyo Supersoport 3,

Mechi hizo ambazo zimekuwa kimya kuliko matarajio ya wengi ni hizi

1.Mbeya mjini
Sugu vs Tulia
2.Ubunge
Meya Jacob vs prof,Mkumbo
3.Singida kaskazin
Inghondu vs Nyalandu
4.Iramba magharibi
Mwigulu vs Jesca kishoa

Pia kuna
Muheza kwa mwanaFA
Mikumi kwa prof,jay
Tarime vijijini kwa heche
Busanda kwa shigongo
Tunduma kwa Lusinde
5.Morogoro mjini
Devotha minja vs Aboud

Nini kina endelea huko?
CCM hawana watu na ni gharama kubwa sana kwao kuandaa mkutano kutokana na kusafirisha watu, posho na wasanii. Wametepeta kweli kweli
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom