CCM walidhani Watanganyika watakuwa Wajinga milele

Lituye

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
1,862
5,680
Sasa CCM wameanza kulia eeeh Mapolisi eeeh NEC mtufungulie Safinaaa. Talalalalaaa eeh Kidedea, Kidedea Kidedea eeh aaa Kidedea.

Tundu Lissu Kidedea Eeeh aaah kidedea, Shekhe Ponda kidedea eeh Aaaa Kidedea, Maalimu Seif Kidedea eeh aaa Kidedea. Tanganyika kidedea aaah kidedea.Zanzibari kidedea eeeh aaa kidedeaaa!

Mapolisi na NEC yenu haina uwezoooo, eeeh hapa Piga uwaaaa
Funguo zipo kwa Watanganyika oyoyooo aaa aaa, Steringi hauawi ninyi Matagaaa ndio maana Tundu Lissu alipona aje kumilisha Picha mamaaaae.

Sia uendeee Sia uende kule chato Nenda kamweleze bwana Meko kamweleze na Mahera kwamba wasicheze na uchaguzi wasicheze na Tundu Lissu. Meko atalala Segerea Mahela atalala kule Keko ugali mbele mboga nyuma maharage ya kwenye kikombee, Meko atapanda Karandinga atashikwa Tanganyika Jekii eeeeh Karandingoo kwenda I.CC.
 
Tundu Lissu Kidedea Eeeh aaah kidedea, Shekhe Ponda kidedea eeh Aaaa Kidedea, Maalimu Seif Kidedea eeh aaa Kidedea. Tanzania kidedea aaah kidedea.

Mapolisi na NEC yenu haina uwezoooo, eeeh hapa Piga uwaaaa
Funguo zipo kwa Watanganyika oyoyooo aaa aaa, Steringi hauawi ninyi Matagaaa ndio maana Tundu Lissu alipona aje kumilisha Picha mamaaaae.

Sia uendeee Sia uende kule chato Nenda kamweleze bwana Meko kamweleze na Mahera kwamba wasicheze na uchaguzi wasicheze Tundu Lissu. Meko atalala Segerea atalala kule Keko ugali mbele mboga nyuma maharage ya kwenye kikombee, Meko atapanda Karandinga atapanda Karandingoo Karandingoo kwenda I.CC.
ila kukubali kuingia kwenye uchaguzi bila tume huru halafu utegemee ukishinda upinzani utapewa nchi haingii akilini
 
Waliwwekeza kwenye dola badala ya hoja, hio dola wanayoitegemea ndo Wana hasira mbaya sana na ccm imewazulumu haki zao ikiwemo nyongeza za mishahara, achana na Hawa mabosi zao ambao ni wanufaika ni wachache, wengi choka mbaya, Hawa mapolisi wanaolipwa 270000 kwa mwezi huo moyo wa kupiga mabomu watz haupo maana nao ni wahanga wanaopumulia mashine kwa kusomeshwa namba
 
HAKI hudaiwa Mkuu haiwezi kuletwa na haya Mataga ndio maana tutahakikisha mgombea anaye shinda kwa haki lazima atangazwe.
kwani wangegoma kushiriki bila tume huru si ndio hapo palikua pazuri kuanzia unasubiri ukishaibiwa ndio ukadai wakati ulijua kabisa unakwenda kuibiwa
 
Sasa CCM wameanza kulia eeeh Mapolisi eeeh NEC mtufungulie Safinaaa. Talalalalaaa eeh Kidedea, Kidedea Kidedea eeh aaa Kidedea.

Tundu Lissu Kidedea Eeeh aaah kidedea, Shekhe Ponda kidedea eeh Aaaa Kidedea, Maalimu Seif Kidedea eeh aaa Kidedea. Tanganyika kidedea aaah kidedea.Zanzibari kidedea eeeh aaa kidedeaaa!

Mapolisi na NEC yenu haina uwezoooo, eeeh hapa Piga uwaaaa
Funguo zipo kwa Watanganyika oyoyooo aaa aaa, Steringi hauawi ninyi Matagaaa ndio maana Tundu Lissu alipona aje kumilisha Picha mamaaaae.

Sia uendeee Sia uende kule chato Nenda kamweleze bwana Meko kamweleze na Mahera kwamba wasicheze na uchaguzi wasicheze na Tundu Lissu. Meko atalala Segerea Mahela atalala kule Keko ugali mbele mboga nyuma maharage ya kwenye kikombee, Meko atapanda Karandinga atashikwa Tanganyika Jekii eeeeh Karandingoo kwenda I.CC.
HAMPATI ATA DIWANI MUMOJA. WATANZANIA WANATAKA AMANI SIO USHOGA NA NDOA ZA JINSIA MOJA. MAGUFULI ATASHINDA KWA 100% HUO NDO UKWELI HATA KAMA HUTAKI.
 
kwani wangegoma kushiriki bila tume huru si ndio hapo palikua pazuri kuanzia unasubiri ukishaibiwa ndio ukadai wakati ulijua kabisa unakwenda kuibiwa
Huwezi ukamwachia fisi bucha,sasa ujashiriki utajuaje Kama umeibiwa.shiriki uchaguzi ili uwe na ushahidi pa kuanzia
 
HAMPATI ATA DIWANI MUMOJA. WATANZANIA WANATAKA AMANI SIO USHOGA NA NDOA ZA JINSIA MOJA. MAGUFULI ATASHINDA KWA 100% HUO NDO UKWELI HATA KAMA HUTAKI.
Tulia wew Kibwetele dawa itakuingia tarehe 28/10/2020 mmeishiwa hoja na hicho Kibabu betri chenu sasa mnaleta vihoja. Mwaka huu hicho kibabu betri chenu kihutu tunakirudisha kwao tumechoka mauaji na ukatili dhidi ya ubinadamu.
 
HAMPATI ATA DIWANI MUMOJA. WATANZANIA WANATAKA AMANI SIO USHOGA NA NDOA ZA JINSIA MOJA. MAGUFULI ATASHINDA KWA 100% HUO NDO UKWELI HATA KAMA HUTAKI.
This time mbeleko zote zimechanika si police si tume watz wanakwenda ngadu kwa ngadu mguu kwa mguu. Hakuna kupita bila kupingwa hapa
 
Bila upinzani kuungana kwaa dhati ya Moyo, kamwe hawata weza kuiangusha CCM na baada ya matokeo tuhuma za kushindwa upinzani watarushiwa NEC.
 
Ah!tushachoka hizi nyimbo ngonja uchaguzi uishe tusikie nyimbo za kuibiwa kura.
 
Huwezi ukamwachia fisi bucha,sasa ujashiriki utajuaje Kama umeibiwa.shiriki uchaguzi ili uwe na ushahidi pa kuanzia
wakati wewe unajiandaa kwenda kudai na sijui unakwenda kumdai nani huku mtu anaapishwa na mchezo mzima unaishia hapo
 
Huku mtaani ukibishana na mwanaccm kidogo anaanza kulia sijui kuna nini?
Wanajua kabisa kwenye sanduku la kura hawatoboi ila kwenye NEC na Polisi watatoboa. Sasa tuna jambo letu tutalifanya sasa hivi tunatoa oda ya mikate itengenezwe kwa wingi maana tuna jambo letu baada ya NEC kutangaza mshindi
 
Back
Top Bottom