Mgombea ubunge wa jimbo la ubungo kupitia Chama Cha mapinduzi Profesa Kitila Mkumbo amezungumzia Mambo matano muhimu atakayoanza kuyashughulikia punde tu akiapishwa kuwa mbunge.
Profesa Kitila...
Ndugu zangu wasalam,
Mimi ni mwajiriwa kwenye sekta binafsi na nimeanza kuchanigia NSSF tangu mwaka 2011, akiba yangu ni kati ya Mil 60-75, japo kuna kipindi nilijitoa nilipohama kampuni, muda...
Mgombea wa Urais Kupitia chama cha ADC Mh Queen Cuthbert Sendiga leo hii ameahidi kujenga chumba Cha kuhifadhia maiti haraka sana katika hosp ya wilaya ya Arumeru (Patandi) endapo atapatiwa nafasi...
Wanajanvi habari zenu na poleni kwa mikiki mikiki ya kampeni za uchaguzi chini ya tume huru ya CCM.
Lengo langu leo ni kuwaelimisha watu ambao hawajui chochote juu ya BAKWATA NA Chama cha walimu...
Wakazi wa Bukoba, naomba muelewe kuwa boss hanuniwi.
Kuendelea kuuchagua upinzani ni kuendelea kwa hiyari yenu kabisa kujitenga na maendeleo.
Jifunzeni kuenda na uelekeo wa upepo. Amkeni...
Mvua yaacha vilio Dar
WATU 13 wamefariki dunia, wakiwamo wanane ambao vifo vyao vimetokana na mvua kubwa iliyonyesha juzi jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi, watu watano ambao ni...
Katika kipindi hiki cha kampeni upinzani hawana jipya kabisa. ntawenda kwa point kama ifuatavyo.
1. Kabla ya awamu ya tano upinzani ndio walilicheka Shirika la Ndege la Tanzania ATCL kwamba ni...
Kumekuwa nadharia kuwa watu wengi tunaoshinda mitandaoni aka wazee wa keyboard hatuna muda wa kwenda kupangana na mistari kwa ajili ya kuchagua viongozi wetu wawe wapinzani wawe chama tawala...
Bado siku chache tuifikie 28 Oktoba 2020 ambayo itaamua Tanzania inachukua mlengo gani wa kisiasa na kiuchumi.
Hivi ndivyo inavyotakiwa kupiga kura kwa kuweka alama ya Vema kumchagua Rais wa...
Hakika sio Siri tena Membe anakwenda kuonesha maajabu kwani kaiteka mioyo ya watanzania . Na sisi watanzania wengi tulikuwa tumekata tamaa baada ya huyu nguli mbobezi wa Mambo kuonesha kuyumba...
Nimeona Video clip inayomwonyesha Mgombea Ubunge wa CHADEMA Nyamagana (John Pambalu) akishtukia uwepo wa kituo Feki/Bubu/Hewa Jimboni humo.
Namba ya utambulisho wa Kituo hicho haikuwepo kwenye...
Niliwahi kuuliza humu JF kuhusu Wasifu wa Dkt. Mahera ambaye ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi , lengo la swali lile lilikuwa kufahamu uwezo na weledi wake na nadhani sasa mmeanza kujua...
Jina lipo vizuri limenyooka hakuna konakona.
Nasema tukutane dimbani tarehe 28. Nimeongea na mtendaji tumekubaliana kura yangu isiguswe wala isichezewe. Ameniuliza kama nimeshafanya maamuzi...
UTANGULIZI:
¶• Nianze kwa kutoa FACT CHECKS zifuatazo:
FACT No. 1; Ni wazi kuwa uchaguzi wa mwaka huu katika ngazi ya Urais atakuwa aidha Tundu Lissu (CHADEMA) ama John Magufuli (CCM)...
Hii ni kauli ambayo Dkt. Magufuli alitumia sana jana katika mkoa wa Kilimanjaro na arumeru mkoani Arusha na probably atairudia kwenye mikutano iliyobaki ya kampeni. JPM ana maanisha wananchi...
"Jumla ya mawakala wa chama watano wamefariki katika hekaheka za kukimbizana na haya marekebisho yaliyotolewa usiku na asubuhi kuambiwa sasa hamuapishwi hapa mnatakiwa mkimbilie kwenda kuapishwa...
Mkurugenzi wa mashtaka nchini Tanzania (DPP) Biswalo Mganga amesema yeyote mwenye lengo la kuvuruga amani ya nchi atashughulika bila kujali dini, jinsia wala cheo chake.
Biswalo ameeleza hayo...
Nilifika nchini Tanzania kwa mara ya kwanza zaidi ya miaka 30 iliyopita kufanya kazi ya kujitolea kama daktari na uzoefu huo ulinifanya nijenge heshima na mapenzi ya kina na ya kudumu kwa Tanzania...
Askofu Gwajima amesema mtu kuwa mwanasiasa mahiri hakuhitaji kwenda darasani kwani uanasiasa ni kipaji " taranta" Siasa ni swala zima la kuwaletea watu maendeleo ikiwemo maji, umeme, elimu na...
Leo hii Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea urais kupitia CCM bila ya huruma yoyote na kwa zaidi ya dakika 23 alimkaba Mbowe akiwa chini na kumwekea goti shingoni kwa muda wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.