Ni Rasilimali zipi zinazotamaniwa na Mabeberu?

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
4,575
Reaction score
8,911
Tumekiwa tunaambiwa Mabeberu wanatamani sana Rasilimali za Tanzania sasa najiuliza ni zipi, yaani specific raslimali.

Maana kama ni Madini kwanza Tanzania sio mzalishaji pekee wa Dhahabu Duniani, kuna mataifa tu mengi yanazalisha dhahabu tena kwa wingi sana.

Mafuta? Hahaaa Hapana, Gesi? Ukisoma report ya kampuni ya nishati ya BP, utaelewa kwamba Demand ya Nishati kama Gesi na Mafuta inapungua na ndo maana Waarabu wameanza kushituka kuwekeza kwenye ishu zingine.

Sihajua specific Rasilimali ambazo tunaambiwa zinatamaniwa, mwenye info specific anisaidie.
 
CCM has made us to believe so
wa Tanzania education/exposure = Zero.
 
Tumekiwa tunaambiwa Mabeberu wanatamani sana Rasilimali za Tanzania sasa najiuliza ni zipi, yaani specific raslimali.

Maana kama ni Madini kwanza Tanzania sio mzalishaji pekee wa Dhahabu Duniani, kuna mataifa tu mengi yanazalisha dhahabu tena kwa wingi sana.

Mafuta? Hahaaa Hapana, Gesi? Ukisoma report ya kampuni ya nishati ya BP, utaelewa kwamba Demand ya Nishati kama Gesi na Mafuta inapungua na ndo maana Waarabu wameanza kushituka kuwekeza kwenye ishu zingine.

Sihajua specific Rasilimali ambazo tunaambiwa zinatamaniwa, mwenye info specific anisaidie.
Duniani hamna Beberu yeyote ila ni kichaka cha madictator kujifichia.

Tanzania inaizidi USA kwa Tanzanite pekee vingine vyote hata nusu hatufikii
 
Soma ilani ya Chadema utaelewa wanasema wakipata madaraka wataweka rehani madini yetu kwa mabeberu
 
Tumekiwa tunaambiwa Mabeberu wanatamani sana Rasilimali za Tanzania sasa najiuliza ni zipi, yaani specific raslimali.

Maana kama ni Madini kwanza Tanzania sio mzalishaji pekee wa Dhahabu Duniani, kuna mataifa tu mengi yanazalisha dhahabu tena kwa wingi sana.

Mafuta? Hahaaa Hapana, Gesi? Ukisoma report ya kampuni ya nishati ya BP, utaelewa kwamba Demand ya Nishati kama Gesi na Mafuta inapungua na ndo maana Waarabu wameanza kushituka kuwekeza kwenye ishu zingine.

Sihajua specific Rasilimali ambazo tunaambiwa zinatamaniwa, mwenye info specific anisaidie.

Kama huna hata uwezo wa kujua kuwa TZ inaraslmali kibao ambazo mabeberu wanazimezea mate ikiwepo madini ya Uranium ambayo hatuna utaalamu nayo, na mengine lukuki basi unaweza kudanganywa na chochote na ukapiga makofi....
By the way, Kuwepo na dhahabu duniani au mafuta haimaanishi kuwa mabeberu ahawatataka kuvipata kwetu
Jiulize; Libya ipo wapi? wamewachonganisha waafrica kwa ujinga wetu; wamejichotea mafuta kwa matani , wamiacha hapo imesambaratika hawana nyuma wala mbele.... na sasa wanaivizia vizia Irani
 
Soma ilani ya Chadema utaelewa wanasema wakipata madaraka wataweka rehani madini yetu kwa mabeberu
Sio Ushoga tena Mimi nilifikiri utasema Mabeberu wanatamani makalio yetu
 
Kama huna hata uwezo wa kujua kuwa TZ inaraslmali kibao ambazo mabeberu wanazimezea mate ikiwepo madini ya Uranium ambayo hatuna utaalamu nayo, na mengine lukuki basi unaweza kudanganywa na chochote na ukapiga makofi....
By the way, Kuwepo na dhahabu duniani au mafuta haimaanishi kuwa mabeberu ahawatataka kuvipata kwetu
Jiulize; Libya ipo wapi? wamewachonganisha waafrica kwa ujinga wetu; wamejichotea mafuta kwa matani , wamiacha hapo imesambaratika hawana nyuma wala mbele.... na sasa wanaivizia vizia Irani

Kama ww unavyodanganywa
Kwa akili yako mzungu anaweza kutaka kitu kutoka tz na akakosa?

Kama aliweza kumtoa Sadam atashindwa mtanzania?

Nyie ndio bibi kinjeketile ngwale alikuwa anawalenga

Mnadanganyika kizembe kabisa
 
Back
Top Bottom