Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ugumu wa maisha unaweza ukakufanya ufanye maamuzi sahihi au ufanye maamuzi kwa kushinikizwa. Nikiangalia watu mtaani naona wote Wana hasira maisha magumu, wamechoka Kama wajumbe. Hata mawakala...
6 Reactions
8 Replies
1K Views
Hapo vipi! Binafsi mwaka 2019 nilikuwa mwanachama wa chama fulani cha upinzani, ila nilikaa nikatafakari na nikachunguza hicho chama mbadala nikagundua ni kitakuja kuwa ni chama cha ovyo...
0 Reactions
0 Replies
665 Views
Leo mgombea urais kupitia chama cha Mapinduzi, Dkt. Magufuli yupo Arusha na Monduli akiendelea kunadi sera na ilani ya chama cha Mapinduzi kuomba ridhaa ya kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
4 Reactions
51 Replies
5K Views
Tunachimba madini hapa na kuuza nje,pesa imayopatikana kwa wachimbaji na serikali sio kubwa Kama tungekua na kiwanda cha kuprocess madini hapa kwetu, nikipata nafasi ya kuongoza nchi hii serikali...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
NEC mbona mgombea CCM anavunja sana maadili na hawampi adhabu? Akivaa kijani yupo kama mgombea na mbona anazungumuza tumetenga hela, nitawaletea hiki hela ipo, anapiga simu kwa Mfugale kuhusu...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimerudi safari na kupiga kambi kwenye jimbo langu la uchaguzi. Mambo niliyoshuhudia wiki hii ya mwisho hayakufikirika miaka ya nyuma na hata mwanzoni mwa kampeni za mwaka huu. Vile vijembe vya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimemsikia Mhe. Rais akisema barabara ya Namanga hadi Tengeru ni barabara iliyojengwa kwa usumbufu wa RC Arusha, nikipitia kwenye website na maandiko mbalimbali yanaonyesha ile ni barabara ya...
33 Reactions
95 Replies
10K Views
Habari wakuu,Kuna kitu kinaniumiza kichwa sana kuhusu utaratibu na vigezo vya kuwapata wawakilishi wa viti maalumu chadema maana wengi wao ni mabinti warembo na tetesi kadhaa zikihusisha rushwa ya...
1 Reactions
73 Replies
7K Views
Tofauti na miaka mingine ya Uchaguzi Mkuu, mwaka huu Tume ya Uchaguzi Tanzania(NEC) imechapisha form ya kupigia kura kwa ngazi ya Urais wa JMT isiyo na mfumo rasmi wa mpangilio wa alfabeti. Hii...
43 Reactions
110 Replies
13K Views
Toka juzi tarehe 17 Oktoba, 2020 Sheikh Ponda Issa Ponda kutokeza front line na kuwahimiza Waislamu wamchague mgombea Urais kupitia tiketi ya CHADEMA, Ndugu Tundu Lissu, kumetokea mkanganyiko...
125 Reactions
302 Replies
27K Views
Tazama, roho yake hujivuna, haina unyofu ndani yake; lakini mwenye haki ataishi kwa imani yake. Habakuki 2:4 Imani ni neno ambalo tunatumia sana, lakini wakati mwingine tunaweza kufanya liwe...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Maendeleo ya nchi yanaanzia kwa mtu mmoja mmoja. Elimu, afya, dini, mila, ajira, mazingira anayoishi, na upatikanaji wa habari. Elimu ina beba mwongozo mzito katika haya mengine kwani elimu...
3 Reactions
2 Replies
850 Views
Watakaoleta vurugu ni wale walioko madarakani. Walioko madarakani wasio tayari kushindwa wataleta vurugu. CCM, wanahubiri sana vita na kutishia watu na kuwaaminisha kwamba kuchagua upinzani ni...
1 Reactions
6 Replies
965 Views
Katika muendelezo wa michezo ya uvunjifu wa sheria, makada wa CCM wameanza utaratibu haramu wa kuwachukua watoto wa shule na kuwaelekeza kumpigia Magufuli kura Huku watoto wakiwa kwenye uniform...
6 Reactions
57 Replies
6K Views
..Aisha Madoga ni mgombea wa Chadema. ..Antony Mavunde ni mgombea wa CCM. ..Wagombea wote wameonyesha weledi kutetea hoja zao.
5 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwa kanuni za msingi kabisa chama maana yake ni matakwa ya wanachama. Iwe kiitikadi, kimaslahi au hata kimatarajio. CCM imeanza kupoteza kwa kasi misingi hii ambayo inajengwa kwa ushawishi wa...
27 Reactions
67 Replies
4K Views
Licha ya umbali wa nilipojiandikishia kupiga kura na sheria za NEC kumtaka kila mtu kupigia kura pale alipojiandikishia tu. Basi mimi Gluk nimeshaandaa safari ya kwenda kupiga kula umbali wa KM...
13 Reactions
29 Replies
2K Views
Lissu mgombea urais wa mijini anayezunguka town to town kampeni akiacha asilimia 80 ya wapiga kura waishio vijijini. Lisu ni wakili kakulia mjini ndio maana siasa zake za kimjini mjini zaidi...
16 Reactions
109 Replies
11K Views
Wafundishe wapiga kura namna ya kumpigia Kura mbeba maono Tundu Lissu. Sambaza video hii.
11 Reactions
27 Replies
4K Views
Nguvu kubwa inatumika kutisha na kuifananisha nchi na Libya lakini wapi. Kauli za zamani za Gwajima ndio zinamuhukumu, alitoa kauli za kashfa kwa waislamu na wakristu walio kinyume na imani yake...
28 Reactions
125 Replies
11K Views
Back
Top Bottom