Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

ALAMA INAYOKUBALIKA WAKATI WA KUPIGA KURA NA KUHESABU KURA. Kwa mujibu wa Aya ya 3.4 ya Maelekezo kwa Wasimamizi wa Vituo vya Kupiga Kura, 2020, alama zinazokubalika katika kupiga kura ni hizi...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
"Mnataka Rais wa namna ya Dkt. Mwinyi sio rais mwenye makeke mengi, mbwembwe nyingi, kujimwambafai mwambafai kwingi, kujitutumua kwingi, kuona wengine hawana maana, lakini Dkt. Mwinyi hana hiyo...
19 Reactions
93 Replies
11K Views
Viongozi wa dini mnayo nafasi yakukemea leo kwa sababu msipowakemea waumini wenu leo mkakaa kimya kesho watachafuka awataweza kuwafuata kutubu na awatataka kukutanisha uso wao na wenu kwa ajili ya...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika historia ya Chaguzi za vyama vingi tokea 1995 haijapata kutokea mgombea aliyepiga kampeni mfululizo na kutimiza takribani 96% ya malengo ya ratiba yake bila kuonyesha kuchoka kwa mwili au...
55 Reactions
87 Replies
6K Views
Kuna Taarifa zinazunguuka mitandaoni kuwa REDET wanajipanga kutoa ripoti ya utafiti wa mwenendo wa kisiasa nchini kesho tarehe 27/10/2020. Kama REDET watatoa taarifa hizo wakati nchi inaingia...
16 Reactions
42 Replies
4K Views
Nchi nyingi Duniani utangaza nakuweka wazi kampuni yakuzalisha vifaa na karatasi za kura na jamaa ni kampuni ya nje ya nchi husika vasi siku vifaa vinaingizwa nchini utangazwa na media uruhusiwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ripoti kwenye mtandao wa BBC Swahili unasema Magufuli mwaka huu 2020 anawania muhula wa 3 na siyo wa pili. Hii ni makusudi au ndio tuseme wamekosea au wame jikosesha...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Vuguvugu la uchaguzi limeleta mambo mengi sana mwaka huu. Kati ya hayo mojawapo ikiwa ni viongozi wa dini kutupiana maneno hadharani. Uhasama kati ya viongozi hawa wawili ulianza pale sheikh Alhad...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Baada ya Rais Magufuli kuingia madarakani na kuamua Tanzania iwe nchi inayojitegemea katika masuala yake za kiuchumi pamoja na kuleta mageuzi makubwa katika mikataba ya madini na uwindaji wanyama...
27 Reactions
104 Replies
6K Views
Mgombea ubunge jimbo la Iramba Magharibi ambaye pia ni Waziri wa katiba na sheria Dr Mwigulu Nchemba adaiwa kuteka, kupiga na kuumiza wananchi wanaomuuliza maswali asiyoyapenda jimboni kwake...
8 Reactions
79 Replies
9K Views
Wanajamvi, nimehamasika sana ktk uchaguzi huu. Kikubwa ni uhakika wa anguko kubwa la CCM ktk uchaguzi huu. Kwahiyo nataka niwe sehemu ya historia inayokwenda kuandikwa. "Tundu Lisu the rescuer...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
A day before casting their votes to decide who is their president, members of parliament and other lower representatives in Zanzibar, people were today rushing for shopping in the city. A day...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Leo Baba askofu Ruwa'nchi amenena na kutoa wito kwa watanzania kuelekea kwenye Uchaguzi kufanya uchaguzi wa Haki Amani na utulivu ili kuijengea heshima nchi yetu. Ametoa wito kwa raia kuwa...
0 Reactions
0 Replies
682 Views
Tumefanya Kila jitihada kuhakikisha tunampata MKURUGENZI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI Ndugu Mahera lakini Hapokei simu na Wala Ofisini kwake hakubali kuonana nasi. Tunazidi kuamini Kuwa yeye ndio...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tangu asubuhi jimbo la Musoma Mjini limetaliwa na kelele za Mabomu ya shabaha yanayofanywa na FFU mkoa wa Mara maeneo ya Kamnyonge/ Nyamatare. Mida ya jioni nimeshuhudia askari wengi wa FFU...
12 Reactions
13 Replies
3K Views
Na Thadei Ole Mushi. Kipindi hiki Cha uchaguzi mkuu niuhimu kuwakumbusha watu Mambo muhimu ambayo yanaweza kuwaletea shida wasipoyajua. Kuna baadhi ya wanasiasa wameaacha kunadi sera wao wanasema...
5 Reactions
60 Replies
5K Views
Kesho ni siku muhimu sana kwa vyama miamba wa nchi hii. Ni siku ya kufunga kampeni za uchaguzi mkuu wa 2020. Mpaka leo hatuwezi kusema nani atashinda au nani atashindwa. Hali hiyo inathibitisha...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu yangu mwanaJamiiForums tuwe na kumbu kumbu kua 2015 wakati Rais Magufuli anaomba kura aliahidi mambo mazuri na makubwa sana lakini mpaka sasa anatimiza ungwe ya miaka mitano hajatumia yote...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Hatimaye siku ya kupiga kura imewadia. Taifa linaenda kuchagua Madiwani, Wabunge na Rais siku ya jumatano tarehe 28 Oktoba. “Siku ya uchaguzi inavyozidi kukaribia ndio matumaini ya kuwa huru...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Wanakawe wote kwa umoja wetu bila kujadi itikadi zetu tujitokeze kwa wingi wetu tarehe 28.10.2020 tuendelee na sauti adimu ya Zege. Tunahitaji mtu wa kwenda kutusemea na siyo mtu wa kwenda kupiga...
16 Reactions
50 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…