Uchaguzi 2020 Viongozi wa Dini msipokemea sasa msijitokeza kukemea kesho

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,979
Viongozi wa dini mnayo nafasi yakukemea leo kwa sababu msipowakemea waumini wenu leo mkakaa kimya kesho watachafuka awataweza kuwafuata kutubu na awatataka kukutanisha uso wao na wenu kwa ajili ya majadiliano na kuomba toba.

Kukemea maovu kwa kiongozi wa dini ufanyika kwa kumwangalia Mwenyenzi Mungu na kumwangalia mwanadamu. Mkimweka mwanadamu na mamlaka za Duniani mbele mtashindwa kukemea na mkishindwa kukemea amtopata Tena nafasi yakukemea mambo yakiaribika bali mtakuwa wapatanishi na wasuluhishi kazi ambayo haiitaji kiongozi wa dini.

Msomapo ujumbe huu tambueni ghadhabu iliyowaka kwa waumini wenu haiwezi kutulizwa na Mwanasiasa inatulizwa kiroho kupitia viongozi wao wa kiroho.

TUOMBE HAKI ITAKAYOZAA AMANI
 
Baadhi yao hawafai kabisa kua wasuluhishi maana wanavyama wanavyoshabikia,tena hawafai kabisa maana wamekua wafurukutwa
 
Tunaviongozi wengi sana wa Dini lakini sio watumishi wa Mungu na viongozi wa Kiroho.

Dini hazina uhusiano sana na Mungu dini ni taasisi mkuu.
BAKWATA ilianzishwa na MWALIMU NYERERE NA MARK BOMANI IRP.
 
Watu ambao tayari Wana milengo watamkemea nani? Binafsi napenda kushauri next time, viongozi wa dini wawe mbali na wanasiasa na hata watawala ukipenda! Hii habari ya kwenda majukwaa ya siasa na kuomba Kama tunavyoona ni hatua inayowapelekea kupoteza uhalisia wa kazi zao, kuigawa Jamii, na hata wao kutoaminika tena kwenye Jamii.

Watumishi wa Mungu wa kweli hukaa mbali na watawala( social distancing) ili wabaki na mamlaka ya kimaadili( moral authority) ya kuwakemea watawala au wanasiasa wanapofanya vibaya. Wao huitwa the mouth piece of God. Tujiulize Sasa, how can you be God's mouth piece while being in the middle of partisanship or political leaders contemporaries rather?
 
Baadhi yao hawafai kabisa kua wasuluhishi maana wanavyama wanavyoshabikia,tena hawafai kabisa maana wamekua wafurukutwa
Leo ndio mnaikumbuka amani na viongozi wa dini mliowaita ccm.hajielewi nyie
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom