Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama umefatilia vizuri, nidhahiri nia ya chama tawala ni kuchukua viti vyote vya ubunge nchini. Fatilia uzuiaji wa mikutano kwa Wapinzani kwa miaka mitano, vyombo vya habari kufungwa midomo na...
5 Reactions
110 Replies
8K Views
Kama misukule wa CHADEMA waliomo humu ndo wanaakisi fikra za viongozi wao wa chama, basi mimi Ngabu nasema sitaki kabisa hao watu washike madaraka. Kwa nini nasema hivyo? Kwa sababu hawa...
46 Reactions
259 Replies
15K Views
Najiuliza sana na sipati jibu hivi kwa pigo hilo itakuwaje CHADEMA bila ruzuku itabaki moja tena! Ni kwa namna ipi itapata pesa za kulipa mishahara watendaji wake wa ngazi mbalimbali? Je, kama...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Ndugu zanguni kuna jambo lisilo na picha njema kwa taasisi yetu nyeti ya jeshi la wananch (JWTZ) lililotokea wakati wa kukabidhi kamisheni mpya. Rais wetu amekuwa akihubiri majukwaani kwamba yeye...
57 Reactions
204 Replies
23K Views
Hivi Ndugai au yeyote yule atakaye kuwa spika wa bunge atajisikiaje pale atakapoangalia kila upande bungeni hamuoni Mbowe, Sugu, Zitto, Lema, Heche na wapinzani wengine machachari? Hakika...
1 Reactions
0 Replies
784 Views
Salaam wakuu, Nmeshangaa kuona CCM Wakimpongeza mgombea Urais wa Zanzibar Dr. Hussein Mwinyi. Je, wamejuaje atashinda? Uchaguzi wa Tanzania ni kiini macho
6 Reactions
42 Replies
5K Views
Salaam Wanajukwaa, Kwanza niwape pole na pongezi nyingi kwa kumaliza zoezi la upigaji wa kura salama bin salimini na sasa kilichobakia ni kusubiria kile alichopanda mtu ndio atakachokivuna...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
TANGA: Mawakala wa CHADEMA, ACT-Wazalendo, CUF na NCCR-Mageuzi wakamatwa baada kuzuia wapiga kura kuingia kituoni kwa madai ya wao kutopewa barua Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Blasius Chatanda...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
WanaCCM wezangu tujipongeze kwa matokeo mazuri tunayoendelea kuyapata katika viti vya Ubunge na Udiwani. Kikwazo kikubwa kilichotuumiza kwa muda mrefu sasa tumekimaliza rasmi, kilichopo mbele...
3 Reactions
4 Replies
889 Views
Zanzibar maeneo ya Nungwi inasemekana hali imekua sio nzuri, kumechafuka yaani risasi na mabomu yanarindima, hii ishu ilianza baada ya adhana kulia saa 11:06 ambayo sio muda maalumu wa adhana...
3 Reactions
25 Replies
5K Views
Poleni wapinzani na niwapongeze kwa kutufanya ccm tupoteane humu ndani kiukweli nadiriki kusema nyie ni mashujaa wa kampeni na hatuta wasahau Ila tupo kwenye maandalizi ya sherehe na tutawarika...
1 Reactions
4 Replies
812 Views
Wakizungumza leo asubuhi, Wafanyabiashara wachache waliokutwa katika maeneo yao ya biashara, bila kufungua maduka ama vitalu (vibanza) vyao ndani ya soko kuu la Zanzibar, Marikiti, wafanyabiashara...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu ndani ya Jamii forums. Wageni kwa wenyeji ni vema tukajiandaa kabisa kisaikolojiia na ikibidi kuweza kabisa kuanza mchakato wa kuwa na plan B. Kadiri fukuto la uchaguzi mkuu linavyoanza...
49 Reactions
265 Replies
31K Views
Wanabodi,Mimi ni muumini wa nchi ifungwe yaani ifungwe sehemu( Partial lockdown) au ifungwe yote ( Total lockdown).Niliamini hayo baada ya china kufanya hivyo katika mji wake wa wuhan Niliamini...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Nafuatilia utangazaji wa matokeo kupitia runinga pendwa ya EATV na hadi sasa matokeo ya majimbo 20 yameshatangazwa na yote yametwaliwa na CCM. Kwa ufupi mtangazaji anasema hadi sasa Upinzani...
13 Reactions
102 Replies
8K Views
Leo akichangia hoja bungeni ,Mbunge wa CHADEMA aliyefukuzwa uanachama kwa kukiuka maadili ya chama David silinde ameyasema haya leo bungeni "Rais Magufuli ni mwamba na tunamkubali,lengo letu la...
7 Reactions
31 Replies
4K Views
Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka Zanzibar. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. ORODHA RASMI YA WAGOMBEA...
8 Reactions
24 Replies
8K Views
Wakuu Salaam: Mawakala hua ni sehemu ya uchaguzi katika kuhakikisha upigaji na utaratibu wa kuhesabu kura unaenda kwa Uhuru na Haki. Mawakala wa Chama husika wanatakiwa kuhakikisha kura...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Mihemko yake imefanya watu wamshughulikie kwani ameonesha wazi wazi nia ovu dhidi ya nchi yetu. Amewatukana wananchi kwa kubeza miradi ya vituo vya afya, elimu, maji, barabara, bandari nk...
11 Reactions
29 Replies
3K Views
Huwezi amini nimepita kwenye media zote, kwenye mitandao ya kijamii. Kila account ya MwanaCHADEMA wameweka matatizo yao pembeni wanazungumzia CCM chama dume. Kufuatia mkutano wao mkuu...
16 Reactions
174 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…