kinyotak
Member
- Jul 6, 2020
- 9
- 6
Habari wana jamvi,
Wananchi wanateseka sana, wanasononeshwa na matatizo mengi hasa Maji na Barabara alisikika mwananchi akisema
"Huyu aliye itenda hii kanga yetu alikuwa kidume haswaa kiukweli kama tunaishi tumetengwa hatuna baba wala mama jambo la kimaendeleo likianza tu muda mchache linapigwa fitna ilimradi tubakie hatuna pakuelekea tunaomba wachungaji na masheikh wahuku Kinyerezi watuombee haswa hapa pana pepo mchafu anatusumbua"
Haya ni baadhi ya maneno ya Mwananchi kutoka kata hiyo, baadhi ya kero kubwa za kata hiyo ni barabara ambazo wananchi kwa nguvu zao wenyewe walijaribu kuziziba.
Kwa sasa baada ya mvua kupita, barabara kwa uchache wamechimba na kufukia mashimo kero hiyo kwa kweli haiishi ikiwa wenye dhamana hawana muda, wanahangaishwa na viongozi wanaosubiri uchaguzi sio sawa.
Alieleza mwananchi huyo kwa uchungu. Anasema wanawake kwa wanaume wanateswa na adha ya maji ambayo ni hatarishi kwa wanawake wanaohangaika usiku kucha kutafuta maji.
"Hali halisi ndio hiyo hapa Kanga kinyerezi tunatangaziwa serikali inawatua ndoo wanawake kichwani hapa wanaume ndio tunawatua wake zetu ndoo"
Hayo ni baadhi ya matatizo ya wananchi wa jiji lenye viongozi walioteuliwa, wao wakiwa hawana habari na shida za wananchi