Uchaguzi 2020 Mngesema mtateuana tu, tusingepoteza muda na fedha kupiga kura

Hebie

JF-Expert Member
Jul 29, 2012
1,415
859
Kama wote tulivyoshuhudia tangu siku ya kwanza maandalizi ya zoezi la upigaji kura, hadi sasa kinachoendelea ni kituko ambacho hata dunia huenda imepigwa butwaa.

Mawakala wa upinzani kufanyiwa figisu ili wasiingie ndani vituo vya kupigia kura.

Kuandaa kura feki zilizopigwa kabisa nje ya vituo vya kupigia kura.

Kuwatangaza washindi wenu tofauti na washindi halali.

Yote hay ya nini Kama mlipanga muwe washindi peke yenu mliandaa mashindano ya nini?

Ninyi mna vyombo vyote vya usalama(jei dabiliu, polisi TISS, NEC na ZEC, hivyo mngetutangazia kuwa jamanieee uchaguzi hatutafanya Ila tutateuana tu, hii ingesaidia Mambo mengi mfano.

Ingeokoa fedha nyingi sana ambazo zimetumika katika zoezi zima la uaandaji na upigaji kura.

Na vilevile siku hiyo isingekuwa off kwa wafanyakazi wangeenda kuchapa kazi ili kuinua kipato Cha taifa.

Nawatakia kazi njema.
 
No offense. Licha ya allegation zinazotupwa kwa tume ya uchaguzi.. upinzani haukujiandaa kimkakati..
Kisiasa walijiandaa yes.. but strategy 0
Hapa ndipo ccm wanawazidi upinzani.

Lakin huu ni wkt wa upinzani kukaa na kujitafakari. Na kujiimarisha. 5 yrs inatosha kabisa kurudi kivingine.

Hongera kwa washindi walioteuliwa.. mkafanye kazi ,mkawatumikie watanzania.
Hongera mhe Rais kuteuliqa kwa mara nyingine.
 
Hopeless kabisa.

Hata maana ya kuteuliwa na kuchaguliwa hujui?!
 
Kwa akili yako TIMAMU... kbs Unamchagua LISU kisa tu CCM itoke Madarakan..? Bila kujali Sera za UPINZANI kuwa ni sera za Kipuuzi?

2025 usipige Kura lala kwako (Kama ukiwa HAI) na UKIANDAMANA tushapewa GO AHEAD
 
Kama wote tulivyoshuhudia tangu siku ya kwanza maandalizi ya zoezi la upigaji kura, hadi sasa kinachoendelea ni kituko ambacho hata dunia huenda imepigwa butwaa...
Bonge la Point
 
Kama wote tulivyoshuhudia tangu siku ya kwanza maandalizi ya zoezi la upigaji kura, hadi sasa kinachoendelea ni kituko ambacho hata dunia huenda imepigwa butwaa.

Mawakala wa upinzani kufanyiwa figisu ili wasiingie ndani vituo vya kupigia kura.

Kuandaa kura feki zilizopigwa kabisa nje ya vituo vya kupigia kura.

Kuwatangaza washindi wenu tofauti na washindi halali.

Yote hay ya nini Kama mlipanga muwe washindi peke yenu mliandaa mashindano ya nini?

Ninyi mna vyombo vyote vya usalama(jei dabiliu, polisi TISS, NEC na ZEC, hivyo mngetutangazia kuwa jamanieee uchaguzi hatutafanya Ila tutateuana tu, hii ingesaidia Mambo mengi mfano.

Ingeokoa fedha nyingi sana ambazo zimetumika katika zoezi zima la uaandaji na upigaji kura.

Na vilevile siku hiyo isingekuwa off kwa wafanyakazi wangeenda kuchapa kazi ili kuinua kipato Cha taifa.

Nawatakia kazi njema.
Zimetumika mabilioni kabla na baada ya uchaguzi na tutalipa wote hata tusio na hatia
 
Back
Top Bottom