Uchaguzi 2020 Geita: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,814
11,991
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Geita. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.

Mkoa wa Geita una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7 na wabunge Walioshinda kwenye hayo majimbo ambayo ni:-

Busanda-
Tumaini Magesa (CCM)

Geita Mjini-
Constantine Kanyasu(CCM) - Kura 30,277
Upendo Peneza(CHADEMA) - Kura 17,272

Geita vijijini-
Joseph Musukuma (CCM) - Kura 31, 520
Neema Chozaile (CHADEMA) - Kura 3,901

Bukombe-
Dotto Biteko (CCM)

Chato-
Medard Kalemani (CCM)

Mbogwe-
Nicodemas Maganga (CCM)

Nyang'alwe-
Hussein Amar (CCM)

ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.
 
Mungu Baba ninatubu kwa dhambi zangu na taifa letu Tz, tuonee huruma, tujalie hekima na busara tukafanye wajibu wetu kupiga,kuhesabu,kutangaza matokeo kura itakayo leta HAKI na ustawi wa taifa letu.Amina
 
Mungu ni mwema.
 
Peneza Geita ameshinda hilo likanyasula halipendwi na wengi hata Donald Max huko alipo atakuwa analilaani tu
 
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Geita. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.

Mkoa wa Geita una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7 na wabunge Walioshinda kwenye hayo majimbo ambayo ni:-

Busanda-

Geita Mjini-
Constantine Kanyasu(CCM) - Kura 30,277
Upendo Peneza(CHADEMA) - Kura 17,272

Geita vijijini-
Joseph Musukuma (CCM) - Kura 31, 520
Neema Chozaile (CHADEMA) - Kura 3,901

Bukombe-

Chato-

Mbogwe-

Nyang'alwe-

ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.
Matokeo yataje na idadi ya watu waliojiandikisha ili tulinganishe na waliopiga kura. Manake wasiopiga kura na pia ni wapiga kura na wanasauti pia
 
Aliye kua mgombea ubunge Jimbo la Geita(vijijini) Joseph Kasheku Msukuma aendeleza ubingwa wake kwa kumshinda mpinzani wake Neema kwa zaidi ya kura 30elfu huku Neema akipata kura takribani 1elfu

Mwandishi wako: EmmanuelKasomi
 
Back
Top Bottom