Uchaguzi 2020 Kigoma: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,813
11,991
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kigoma. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.

Mkoa wa Kigoma una jumla ya majimbo ya uchaguzi 8 ambayo ni

Buyungu -
Aloyce Kamamba (CCM)

Muhambwe -
Atashasta Justus Nditiye(CCM) - Kura 29, 837
Felix Mkosamali(CHADEMA) - Kura 15, 248

Kasulu Mjini -
Profesa Joyce Ndalichako (CCM) - Kura 49,390
Hamza Mtunu(ACT Wazalendo) - Kura 3,653.

Kasulu Vijijini -
Augustine Hole (CCM)

Manyovu -
Dkt. Philip Mpango

Kigoma Mjini -
Kirumbe Ng'enda (CCM) - Kura 27,638
Zitto Kabwe (ACT Wazalendo) - Kura 20,600.

Kigoma Kaskazini -
Asa Nelson Makanika (CCM)

Kigoma Kusini/Uvinza -
Nashon William (CCM)

ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.
 
Tatizo nyuzi hizi huwa mnazitelekeza. Taarifa inasambaa mitanadao ya kijamii karibu masaa matano lkn bado JF haijafika. JF kuweni active kwa kutoa taarifa kwa wakati.

Leo napiga kambi hapa kujua kama mwami Luyaga anarudi mjengoni au la.
Mbona kisharudi kwao Burundi baada ya kushindwa.
 
20201028_151127.jpg
 
kwa jinsi uchaguzi ulivyoendeshwa, nimezidi kumchukia Magu na ma ccm!

Magu namuona ni muuaji kbs sio binadam wa kawaida!.
Mimi nimezidi kumchukia lissu na chadema yote kwa jinsi walivyogaeagazwa chini juu
 
kwa jinsi uchaguzi ulivyoendeshwa, nimezidi kumchukia Magu na ma ccm!

Magu namuona ni muuaji kbs sio binadam wa kawaida!.
Kama Upinzani hawatapata hata mbunge mmoja na kama hawatapata ruzuku Ni Jambo la kushukuru Mungu.Na Kama vyama vya Upinzani vitapoa na kufa litakuwa Ni Jambo la kumshukuru Mungu.Wananchi tukipigikaaaaaa ndipo tutapata akili
 
Wananchi Wana Uwezo Mkubwa Tatizo Ni NEC
Acha Nipate Sharbati Nikifuatilia Ya Mfukoni
 
Back
Top Bottom