Uchaguzi 2020 Makonda: Rais wa kwanza CHADEMA bado yuko shule ya msingi, hawa wa sasa wanarukaruka

May 11, 2016
76
150
Leo alipokuwa anatoka kanisani aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda alifanya mahojiano na channel ya mtandaoni inayoitwa Sauti za watu maarufu na kuulizwa anaona "Je ni kweli Lissu anaweza kuwa rais 2020?"

Makonda: Hawa wanarukaruka tu, CHADEMA bado sana kuchukua nchi, Rais wa kwanza kama yupo basi atakuwa darasa la tatu au la nne anajiandaa na mtihani wa taifa, sio hawa wanaokaa miaka minne nje halafu wiki mbili kabla ya uchaguzi wananunua mitumba Manzese na kudai tayari wanajua shida za wananchi"

Wadau yapi maoni yako.
 
CAPO DELGADO

JF-Expert Member
Aug 31, 2020
974
1,000
Lissu anadai na kumtaja hadharani Huyu mkuu wa mkoa mstaafu kuwa ni moja kati ya vijana waliotumwa kufanikisha shambulizi la Mauaji ya Lissu.

Lissu huwa ni mkweli siku zote, sijawahi kumuona akiwa mnafiki na Muongo.

Mungu anashughulika na watesi wote wa Lissu.
 
USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
4,496
2,000
Lissu anadai na kumtaja hadharani Huyu mkuu wa mkoa mstaafu kuwa ni moja kati ya vijana waliotumwa kufanikisha shambulizi la Mauaji ya Lissu.

Lissu huwa ni mkweli siku zote, sijawahi kumuona akiwa mnafiki na Muongo.

Mungu anshughulika na watesi wote wa Lissu.
Alisema wapi kijana kuwa na akili Lisu ni mmiliki wa kiwanda cha uongo chadema
 
Nazgur

JF-Expert Member
Apr 19, 2020
2,294
2,000
Lissu anadai na kumtaja hadharani Huyu mkuu wa mkoa mstaafu kuwa ni moja kati ya vijana waliotumwa kufanikisha shambulizi la Mauaji ya Lissu.

Lissu huwa ni mkweli siku zote, sijawahi kumuona akiwa mnafiki na Muongo.

Mungu anshughulika na watesi wote wa Lissu.
Kuhusu makinikia aliongopa au aliongea ukweli?
Na je kuhusu wakurugenzi pamoja na deni la taifa?
Huyo Lisu ni muongo kuliko ujuavyo wewe,
Muulize kuhusu Lowasa kabla hajajiunga na chadema na baada ya kujiunga na chadema,
Sasa hapo kuna msomi kweli au ni poyoyo?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom