Ushabiki wa siasa za nchi sio kama wa Simba na Yanga

Juakali jr

JF-Expert Member
Aug 8, 2019
642
1,000
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapa juu, sitapenda kurudia kusema yaliyosemwa na wengine kwenye uchaguzi huu.

Ila mwenye hekima ataweza kutofautisha madhara ya ushabiki wa timu za mpira na ushabiki wa siasa za nchi, tutakapoamua kushabikia siasa kama tunavyoshabikia Simba na Yanga tujue kabisa mpira una matokeo matatu (kushinda, draw na kufugwa), vivyo hivyo na ushabiki huo wa siasa utatujia na hayo mambo matatu pia.

1. Kupata tunachostahili kupata (Ushindi)
2. Kutopata kitu kabisa bila kujali tunastahili au hatustahili
3. Kupata tusichostahili kupata, na hii ndio "definition" ya kufungwa sasa.
 

Ezekiel Mbaga

Verified Member
May 28, 2018
7,517
2,000
Watu wameona isiwe tabu, umepigwa risasi na bado hujapona vizuri halafu tena tukuongezee majukumu ya urais, ni afadhali tukuonee huruma kwa kumpa kura magufuli ili ukatibiwe vizuri
 

kinywanyuku

JF-Expert Member
Jul 13, 2015
2,934
2,000
Watu wameona isiwe tabu, umepigwa risasi na bado hujapona vizuri halafu tena tukuongezee majukumu ya urais, ni afadhali tukuonee huruma kwa kumpa kura magufuli ili ukatibiwe vizuri
Acha wenge basi Kwani alipenda kupigwa risasi
 

Ezekiel Mbaga

Verified Member
May 28, 2018
7,517
2,000
Naona kila thread una zunguka na i comment kuonesha jinsi gani we ni taira
Watu wameona isiwe tabu, umepigwa risasi na bado hujapona vizuri halafu tena tukuongezee majukumu ya urais, n afadhali tukuonee huruma kwa kumpa kura magufuli ili ukatibiwe vizuri
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom