Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari wanajf, moja kwa moja niende kwenye mada husika. Juzi wengi tulimsikia mgombea wetu akiweka msimamo mara mbilimbili kuhusu kuendelea na kampeni siku ya leo na kwa muktadha huo alikuwa...
10 Reactions
118 Replies
10K Views
Nawasalimu wanajukwaa, Kwanza nianze kwa kuwapongeza kwa minyukano ya hoja humu jukwaani kwa ustaarabu wa hali ya juu, hii inaonesha jukwaa bado lina watu makini sana. Nikirudi kwenye mada...
9 Reactions
115 Replies
9K Views
Kama yasemwayo kuhusu mabeberu kutaka kusaidia kufanikisha mabadiliko yana ukweli wowote,binafsi naunga mkono kwasababu zifuatazo: Wizi,rushwa ufisadi na kulindana Kikundi hiki cha watu ndio...
14 Reactions
33 Replies
4K Views
Wanabodi, Naomba kuanza na angalizo: Hili ni bandiko la swali, kuhusu ideas ya watangaza nia wa urais Chadema. Kama una majibu, karibu uchangie. Nimeanza na angalizo hili kwasababu humu jf...
15 Reactions
214 Replies
15K Views
Ni ukweli usio pingika ya kuwa tangu kuibuka kwa hoja ya Demokrasia nchi nyingi zimekuwa zikipata viongozi wabovu na wasio faa, historia ina mifano mingi ambayo haihitaji degree kuweza kufahamu...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Na Mwandishi Wetu Mchawi wa upinzani Tanzania ni upinzani wenyewe. Viongozi wa upinzani hawawezi kukwepa kuwajibika kwa matokeo haya na kutafuta visingizio ikiwemo uchaguzi kuhujumiwa. Isitoshe...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimezinyaka nyepesi nyepesi kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na ACT-Wazalendo wanapanga mkakati wenye nia ovu, eti kuanzia Jumatatu Novemba 2 mwaka huu wanapanga kuitisha...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana JF, Poleni kwa wote ambao matokeo yamewaumiza. Ipo hivi, kwenye mambo kama haya kuna kushinda na kushindwa hivyo ni vyema tukapunguza hasira na kuangalia tunafanyaje kwenye chaguzi...
3 Reactions
47 Replies
4K Views
Tukiachana na kukumbwa kwa demokrasia pamoja na unyama uliotokea katika uchaguzi wa 2020 hapa nchini Tanzania jingine la kujifunza ni SIRI nzito iliyokuwepo katika ya wananchi na upinzani. Kwa...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Kulingana na hali ilivyo kisiasa kijamii kiuchumi Tanzania na Duniani kwa ujumla Ni mda sahihi sasa mchakato wa rasmu ya Mh Jaji J Walioba .Ilejeshwe maoni yangu . Mchakato huo kwa kuwa rasmu ya...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Na Mwamba wa Kaskazini Ni dhahiri kuwa tathmini ya kampeni, kura za maoni na matakwa ya wapigakura wengi (election issues) vinahitimisha kuwa ni dhahiri wagombea wawili mashuhuri wa upinzani...
13 Reactions
38 Replies
3K Views
Katiba mpya ndo suluhisho Pekee lililobaki kwa Upinzani kuinuka na kuwa Imara zaidi.Lakini bila kudai katiba mpya nchi itazidi kuwa ya Kijani Mpaka Yesu anarudi. Upinzani waunganishe nguvu zao...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Maana nikimwangalia 1. Heche wamoto hawezi kuachea aingie bungeni 2. Halima mdee wamoto hawezi achwa 3. Mwakajoka wamoto 4. Msigwa ndio kabisaaa hawezi achwa aingie bungeni 6. Sugu wamoto 7...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu, Kama mada inavyotanabahanisha, nchi yetu ya Tanzania ina wananchi na wageni wote wanalipa kodi zote stahiki ijapokuwa wanaweza wasitambue kwamba walipa kodi hizo. Ilikupambana na maadui...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
1: Mikoa ya kanda ya kati ni base ya Lissu kwa maana ni mtu wao wa nyumbani kisaikolojia ni ngumu kwa watu wa nyumbani kwako kukuacha kukuunga mkono, kanda hii inatarajiwa kuwa na wapiga kura...
12 Reactions
22 Replies
3K Views
Majibu aliyopewa sasa kule Twitter ndiyo utajua ni kiasi gani huyu anachukiwa.
43 Reactions
351 Replies
35K Views
Zipo taarifa ambazo wewe mwenyewe umezithibitisha kuwa mara baada ya Uchaguzi utarudi Ubelgiji, huko ulipokuwa kwa takribani miaka mitatu na kurudi siku chache kabla ya zoezi la Uchaguzi mkuu...
44 Reactions
124 Replies
9K Views
Mahakama ya Kisutu imeahirisha kesi mbili zinazomkabili Tundu Lissu hadi baada ya uchaguzi mkuu mwezi Novemba. Tundu Lissu anagombea urais wa JMT kupitia CHADEMA. Chanzo: ITV habari Maendeleo...
14 Reactions
76 Replies
9K Views
Kama nilivyosema katika uzi wangu wa asubuhi ya leo,mpaka muda huu viongozi hawa wako kimya kabisa licha ya Magufuli kutangazwa mshindi wa kitu cha urais. Inawezekana chama kinajiandaa kutoa...
20 Reactions
80 Replies
7K Views
Wenye kuridhishwa, kufurahia na kushangilia huu 'ushindi' wafanye hivyo. Ingawa sielewe kuna faida gani ya kushangilia huu 'ushindi' katikati ya uwanja uliojaa damu. Ila kitu pekee ambacho...
10 Reactions
37 Replies
3K Views
Back
Top Bottom