Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna usemi maarufu wa Kiswahili unasema, ¨siku ya kifo cha nyani, miti yote huteleza ¨ usemi huu una anza kuakisi ukweli wa siasa za vyama vya upinzani Tanzania na anguko lake kuelekea uchaguzi...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Watanzania tuishio nje ya nchi (TANZANIA DIASPORA) tumeanza kuandamana kupinga UCHAFUZI uliofanyika juzi hapo nyumbani Tanzania! Hawa ni ndugu zetu kutoka Ulaya ya Kaskazini (Sweden 🇸🇪, Norway 🇳🇴...
42 Reactions
110 Replies
11K Views
Jukwaa la Tume za Uchaguzi la SADC limeipongeza serikali ya Tanzania kwa kuendesha Uchaguzi halali. Jukwaa hilo linaundwa na tume za uchaguzi za mataifa 14 ya SADC. Tamko lililotolewa na jukwaa...
30 Reactions
81 Replies
6K Views
Tarehe 31 Oktoba tumeshuhudia kuitishwa kikao cha waliokosa nafasi mbalimbali za ubunge na urais ili kutangaza kufanya maandamano siku ya tarehe 2/11/2020. Tangu kuanzishwa kwa uchaguzi wa mfumo...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
CHADEMA inakidhi vigezo vya kupata uwakilishi wa viti maalum maana imepata zaidi ya asilimia 5 ya kura za ubunge. Kutokana na muongozo liwake jua ama mvua Josephati Gwajima anaenda kukutana na...
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Hatimaye uchaguzi mkuu wa 2020 umekamilika na kutuletea matokeo ya kushangaza. Sio siri kuwa uchaguzi haukuwa huru, haukuwa wa haki wala haukuwa wa wazi. Ushahidi wa uhalifu uliofanywa dhidi ya...
2 Reactions
61 Replies
5K Views
Kwanini Watanzania hawatawaunga mkono wapinzani kwenye mgomo wao na maandamano. Kwanza vyama vya upinzani vimegoma kukubali mapungufu yao makubwa kabisa ya kimuundo na kisera katika vyama vyao...
30 Reactions
87 Replies
7K Views
Ndio ukweli huo, mtu apende ama asipende Ila ndo hivyo. Tofauti na wagombea wengine, JPM ataendelea kuwa Rais hadi 2025. Sababu za kumpa ushindi ni nyingi wala hazihesabiki, akianguka sana ni...
5 Reactions
50 Replies
4K Views
Uchaguzi Mkuu wa Tanzania kwa mwaka 2020 umekamilika rasmi Leo kwa mshindi wa kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dokta John Joseph Pombe Magufuli Kukabidhiwa cheti cha...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Kiukweli endapo CHADEMA watabahatika kupata wabunge watatu au zaidi basi watastahili kupongezwa. Kwa mfano hapa Dar es Salaam nimepita katika viituo vingi vya kupigia kura na kushuhudia CCM ikiwa...
28 Reactions
235 Replies
25K Views
Ndugu zangu Great Thinkers hebu tujiulize haya yanayotokea na uhalali wake. Na sasa tufike mahali tuseme sote tena tukiwa na akili timamu kabisa pasipo shaka na pasipo ushabiki wowote kwamba...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Disturbed by reports of arrests and violence against political candidates and supporters. Protection of civilians is essential for peace and stability. Canada calls on the government of Tanzania...
19 Reactions
150 Replies
12K Views
Kalamu ya Baba Askofu Benson Kalikawe Bagonza NDOA INAHITAJIKA... Inahitajika ndoa ya dharula ILI maisha yarejee katika hali ya kawaida. Maharusi ni Bwana NGUVU na Bi HEKIMA. Kwa nini ndoa? Jibu...
1 Reactions
0 Replies
913 Views
Mgombea wa CCM jimbo la Kigoma mjini, Kilumbe Ng'enda ametangazwa mshindi baada ya kupata kura 27, 688 huku Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo akipata kura 20, 600. Akitangaza matokeo hayo msimamizi wa...
19 Reactions
183 Replies
18K Views
Siasa na Utawala Profesa Rwekaza Sympho Mukandala anazungumzia kigezo muhimu na kikubwa cha siasa na uongozi na kubaki madarakani kwa muda muafaka, Ni je wananchi wanafuraha? Prof. Mukandala...
58 Reactions
296 Replies
50K Views
Kwa mlioangalia press conference ya Ndugu Polepole jana mtagundua alikua hana ile furaha aliokuwa nayo kama press conference alizokuwa anafanya wakati wa kampeni. Ile haikutakiwa kuwa press...
17 Reactions
41 Replies
4K Views
Kwa kifupi kabisa nina maswali mawili ambayo nataka majibu na si matusi. Vyema pinzani vinapolalamikia kuwa time so huru, kwanini walikubali kushiriki uchaguzi ambao wanajua unasimamiwa na Tume...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Sasa dalili zinaonesha kwamba Dr. Tulia Ackson anaenda kuwa spika wa bunge jipya. Kwani? Mshirika wa Spika Ndugai - Ali Kessy - ameshaadhibiwa kwa kupokwa ubunge wa Nkasi. Sasa ni zamu ya Ndugai...
10 Reactions
60 Replies
6K Views
Chama cha Demokrasia kimepita misukosuko mingi sana. mwenendo wa siasa za miaka mitano iliyopita, uchaguzi wa serikali za mitaa na sasa uchaguzi mkuu ni sehemu tu ya misukosuko hiyo. Tuendeleze...
14 Reactions
55 Replies
5K Views
Niende moja kwa moja kwenye heading hapo juu.Kwanza kabisa haya ni maono yangu BINAFSI yasiyofungamana na chama ila nikutokana na kuguswa kwangu tu na mustakabali wa Taifa langu pendwa lenye watu...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom