Katiba mpya ni mhimu miaka ijayo

Alphonce Kagezi

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
303
250
Kulingana na hali ilivyo kisiasa kijamii kiuchumi Tanzania na Duniani kwa ujumla Ni mda sahihi sasa mchakato wa rasmu ya Mh Jaji J Walioba .Ilejeshwe maoni yangu .

Mchakato huo kwa kuwa rasmu ya Walioba ipo sasa Watalaam wa Sheria walioko kwenye mfumo wa umma (majaji,Mawakili wa selikali) na walioko nje ya mfumo ambao wana upeo mpana wa maswala ya kisheria wahusishwe na Walioko vyama vya siasa wachache wahusike na taasisi zilizoko nje ya mfumo wa kiselikali pia zihushwe kuteua wa wakilishi wao.

Walao wenye upeo wa maswala ya kisheria wa maeneo yote waki jumuishwa kwa pamoja wasiwe chini ya 10 na wasiwe zaidi ya 15.naamini wanaweza kuifanyia Tanzania kitu kizuri sana kwa kutayalisha Katiba Mpya ya Tanzania kulingana na mahitaji yaliyoko.
 
Sep 22, 2020
85
125
Swala la katiba mpya mi siungi mkono, kutaka katika mpya ni mwanzo wa mivutano nchini.
Kwanini katiba isifanyiwe marekebisho iliyopo mambo yakaendelea??
 

Times9

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
1,653
2,000
Katiba mpya muhimu sana, Hii ya saiv inampa kiburi sana Meko na genge lake la pale Lumumba.... Jamaa ana mamlaka ya kutenda unyama ambayo hata shetani hana....
 

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
4,512
2,000
Mkikwama kwenye ruzuku mnaanza kelele za katiba mtalia sana mwaka huu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom