Uchaguzi 2020 Binafsi sifurahishwi na uchaguzi kwa namna ulivyo bado una mapungufu mengi

je parle

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
1,861
3,591
Niende moja kwa moja kwenye heading hapo juu.Kwanza kabisa haya ni maono yangu BINAFSI yasiyofungamana na chama ila nikutokana na kuguswa kwangu tu na mustakabali wa Taifa langu pendwa lenye watu wastaarabu wavumilivu wapole na wamchao Mungu.

Iko hivi hiki kitu kinachoitwa UCHAGUZI kwa maono yangu ni kuwa siku kitakuja kutuletea balaaa km ambavyo kilishaleta balaa kwa upande za zanzibar miaka iliyopita.

Binafsi sioni umuhimu wa serikali kutenga budget kubwa kwa ajili ya UCHAGUZI ambao utatuletea machafuko km tunavyoona kauli nyingi nyingi za kuhatarisha Amani kutoka kwa watu wanaotafuta madaraka kwa hali zote.

Unakuta kiongozi yupo tayari kufanya mauaji ili tu awepo nafasi fulani huu ni unyama utafikiri yeye hatakufa au ataishi milele na vijana wanatumika Sana kupoteza wenziwao kwa vipande vidogo vya fedha hii yote maana yake nini?

Kwa mtazamo wangu mimi uchaguzi ili usiwe na kasheshe nyingi visasi na lawama za kila upande ingekuwa tu vijiji vyote tanzania wanachagua mtu wao mmoja anawakilisha Kijiji kizima kwa ajili ya kura ya rais kwa kuwa hiyo ndio nafasi kubwa na yenye utata mkubwa inayotolewa macho na watu wengi.

Huu mfumo wa wazungu kuchagua kama wanavyochagua wao unatucost sana Afrika kwa kuwa kuna kundi kubwa sana la ukabila, udini,ukanda,kujuana juana kumezidi hatupo fair .utakuta kiongozi anakemea rushes yeye mwenyewe anakula rushwa au anajipatia mali kwa njia zisizofaaa.

Zanzibar wangejichagulia mtu wao tu kwani shida ipo wapi .Kama tayari tumeanzisha demokrasi kwanini bado tunalazimisha watu fulani lazima washinde hakuna usawa inaonekana km uwanja umeinama upande mmoja.

Uchaguzi huu wa kushiriki kila Mwananchi kwangu mimi ni big no bora kila Kijiji kitoe mtu wake mmoja wanaemuamini akapige kura ya wote kama kweli tunataka kusave costs na kudumisha Amani ya nchi.

My pleasure...
 
Hapo mwisho, huo ushauri au wazo lako sio sahihi kabisa. Nirahisi sana kwa MTU mmoja kurubuniwa na kufanya kinyume na makubaliano ya wengi.

Sasa tukisema kila kijiji kitoe muwakilishi mmoja kutupigia kura,Huyo MTU mmoja akipewa hata 20mils nirahisi kuuza kura ya wengi.

Yaaani mumuamini MTU kama Al-Had yule mkuu wa Bwakwata wa DSM!!!Duuuu si atauza kura kwa sahani ya Ubwabwa kwa Kitimoto,Pepsi baridi
 
Ndio maana nikasema ni maono yangu tu yasiyofungamana na upande
 
Katika jamii iliyostaarabika, ukiona hujaridhika na jambo unafuata taratibu za kisheria, kijamii au kisiasa kutafuta utatuzi.

Uchaguzi ulikuwa huru na umefanyika kwa amani.

Kama kuna mgombea hajaridhika. Anatakiwa akashitaki mahakamani. Kama anaona mlango wa mahakama hauingiliki, basi afanye maongezi na upande wa pili kutafuta kile kinachoweza kumridhisha.

Ukiandamana tu bila kufanya jitihada za maongezi, hakuna mstaarabu yeyote duniani atakayekuunga mkono. Swali la kwanza utaulizwa, je ulifanya hatua gani kabla ya kuandamana? Ukisema hajafanya hatua nyingine yoyote, unaonekana mshari.

Kwahiyo, ushauri wangu, hawa ambao hawajaridhika wawasiliane na Humphrey Polepole wapange kufanya maongezi. Au wanaweza kumtafuta mzee kama Butiku akawasaidia kufikisha ujumbe wao kwa Bashiru.

Tanzania ni nchi ya amani. Tuilinde.
 
Amani ya tanzania inalimdwa vipi bila kuwa na haki??? KWA mfano nikikuibia simu utachagua kukaa kimya kwa sababu ukiniambia nimekuibia nitakuona unanichafua na kinachofuata ni kupigana na kuharibu amani baina yetu?
 
Nakupata mkuu. Ndio maana kuna vyombo vya kusimamia haki.
 
Wanaoshangilia hii faulu iliyochezwa na Tume ya uchaguzi ndio watakao kiona kilichomtoa kanga manyoya na kilichomfanya mbuni atake kushindana na Twiga.

Hii iliyochezwa na CCM ni mchezo wa cowboy au tuseme ni wizi uliotumwa kufanywa ,sasa wizi unapofanikiwa walioiba wakishapeleka hela kwa aliewatuma ,bila ya shaka mnajua kinachofuata.
 
Watu wanasema tulinde amani lakin hawasemi amani inalindwaje ???
 
Back
Top Bottom