Uchaguzi 2020 Anguko la upinzani na hoja pofu ya Tume Huru ya Uchaguzi

Abdalah Abdulrahman

JF-Expert Member
Aug 29, 2019
222
201
Kuna usemi maarufu wa Kiswahili unasema, ¨siku ya kifo cha nyani, miti yote huteleza ¨ usemi huu una anza kuakisi ukweli wa siasa za vyama vya upinzani Tanzania na anguko lake kuelekea uchaguzi mkuu 2020.

Ni wazi kuwa Tanzania ina vyama vinne pinzani vyenye nguvu na ushawishi katika medani ya siasa za Tanzania,vyama hivi ni CHADEMA,CUF,ACT-Wazalendo na NCCR-Mageuzi. Kauli na mwenendo wa vyama hivi unatoa bishara ya kutokua na nguvu na kushindwa vibaya kuelekea uchaguzi ujao.Miongoni mwa kauli za viongozi na tafasiri zake kama zinavyochambuliwa na wataalamu mbalimbali wa siasa katika magazeti na mitandao ya kijamii ni hizi zifuatazo:-

Kauli za Chadema
Hivi karibuni Mheshimwa Freeman Mboe alichangia bungeni na kutaka serikali iunde tume huru ya uchaguzi ili uchaguzi uwe na viongozi bora,kauli hii ya kiongozi wa upinzani hasa kwa wakati huu ambao serikali inapaswa kuweka kipaumbele kwenye mambo ya msingi ili kuwaokoa wananchi na janga la corona imewasirisha wananchi na kuona ni kwa kiasi gani wapinzani hawathamini maisha ya watanzania.

Akichangia mchangiaji mmoja kwenye ukurasa wa Jamii Forum kwenye Facebook anasema’ Dunia ina Vichekesho sana, huu muda kuna watu Wanawaza tume huru ya uchaguzi badala ya kuwaza 'Ventilators'

Sakata hili la kauli ya Mheshimwa Freeman Mboe ni mwendelezo wa kauli yake alipo wa amuru wafuasi wake kuendelea na shughuli za mikusanyiko licha ya kuwepo kwa ugonjwa wa Corona na katazo la serikali kuwalinda wananchi wasiambukizwe corona.Haya yote yanaleta shaka juu ya uelewa wakiongozi huyu na nia yake kwa wanachama wake na kwa nchi kwa ujumla.

Binafsi na mapitio ya baadhi ya wachambuzi niligundua kuwa Mheshimiwa Freeman Mboe hakufikia uamuzi huu mgumu hivi hivi,bali hofu ya kufutwa kwenye uwanja wa siasa za upinzani na kukosa ruzuku inamfanya kuchagua moja kati ya mambo mawili,kuwa na ubinadamu na kukosa alichonacho au kuwatoa wanachama wake kafara ili kulinda alichonacho (ruzuku).

Kauli za ACT-Wazalendo
Kiongozi mwingine wa upinzani ambaye amepoteza matumaini ya wanachama wake ni Mheshimiwa Zitto Kabwe.Kiongozi huyu kama tunakumbuka alisafiri nje ya nchi hivi karibuni kuomba benki ya Dunia pamoja na mataifa ya ulaya kuinyima Tanzania mkopo nafuu ambao utakuwa na mchango mkubwa sana katika maendeleo ya elimu Tanzania.Kwa kuwa hoja zake hazikuwa na mashiko,wananchi pamoja na wataalamu wa Benki ya Dunia walipuuza maoni yake na kuipatia Tanzania mkopo huu.Hasira za wanachi dhidi ya kiongozi huyu zimekua zikionekana kupitia mitandao ya kijamii kwa kumfananisha kiongozi huyu kama Yuda Msaliti na mtu asiye mzalendo wa nchi yake.

Kauli za NCCR Mageuzi
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi na Mbunge wa Vunjo Mheshimiwa Mbatia amekua akitoa kauli za vitisho kwa viongozi wa Chadema kwa kuwatishia kuwa atatoa siri za uozo uliokuwepo wakati wa muungano wa UKAWA.Kauli hii inaonesha wazi kuna mambo ambayo sio mazuri yaliyofanyika kipindi cha muungano wa vyama hivi vya siasa,ambayo wananchi wakiyasikia yataondoa moja kwa moja imani yao kwa vyama vya upinzani.

Uhalisia wa mambo
Tunafahamu siasa za awamu ya tano chini ya utawala wa Raisi John Pombe Magufuli zilikuwa ni siasa ambazo wengi wetu hatukua tumezizoea.Siasa kipindi hiki ziliruhusiwa kwa viongozi wa kisiasa ndani ya majimbo yao.Siasa ziliruhusiwa kwenye mitandao ya kijamii,pamoja na vyombo vya habari,na makongamano ambayo yaliratibiwa na chama husika na kupewa ulinzi na serikali.

Faida za siasa hizi zilikua kubwa tatu,kwanza ziliwawezesha wananchi kuendelea na kazi zao za kiuchumi bila bughudha,na pili zilijenga misingi ya uwajibikaji kwa viongozi waliochaguliwa kwa kuwatumikia wananchi na sio tena ku uza sera za vyama vyao.Tatu ziliunganisha watanzania wote katika juhudi za kuleta maendeleo bila kujali mrengo wa chama,dini,au kabila.
social.png
socialmedia.png

Kwa kuwa siasa hizi hazikuwa zimezoleka kwa upande wa viongozi wa upinzani,zilisababisha athari nyingi na miongoni mwa adhari hizo ni kama zifuatazo:-

Moja wanachama pamoja na viongozi wa upinzani kukimbilia CCM na kuunga juhudi za Raisi katika kuwaletea wananchi maendeleo.

Pili viongozi wa upinzani ni kutokuwepo mianya ya rushwa na ubadhirifu ambao umesababisha ukata mkubwa kwa viongozi hawa.

Tatu ilikomesha wafuasi wa vyama vya upinzani waliokuwa wakitumia maandamano kama sehemu ya kujipatia mali kwa njia ya kupora madukani na kubaka wanawake.

Mwelekeo wa siasa umebadilika na kuwa wa kimitandao ya jamii,ambapo vyama vyote vya siasa vimejificha mitandaoni,mitandao hii ya kijamii imekua na mchango mkubwa katika kuuza sera na matendo ya chama tawala na sera za upinzani.Tofauti ikiwa moja tu kwa makundi haya mawili,CCM ikionesha ilichoahidi kwa wananchi kwa kutekeleza ilani yake ya uchaguzi ya 2015 huku upinzani ukiendelea kunadi sera zake bila utekelezaji wa ilani yake ya uchaguzi. ya 2015

Tathmini ya haraka haraka ya wapiga kura watokanao na mitandao ya kijamii inaonesha kuwa Raisi John Pombe Magufuli anakubalika kwa kiwango kikubwa na kufahamika zaidi kuliko mgombea yeyote katika uchaguzi ujao.Hii inatokana na sababu mbalimbali:-

Moja wananchi kutomjua kiongozi ambaye atasimama kama mpinzani wa Raisi Magufuli kwenye uchaguzi ujao.

Pili taarifa za viongozi wa upinzani wanaotarajiwa kusimama kama wagombea zinaonesha wazi kuwa viongozi hawa hawawezi kumudu kiti cha uraisi.Licha ya kutokuweza kumudu kiti cha urasi,pia hawana sifa za kizalendo,na uthubutu alio nao Raisi wa sasa Dr John Pombe Magufuli.

Changamoto ambayo wafuasi wa Raisi John Pombe Magufuli watakabiliana nazo ni matusi na lugha mbaya ambazo wapinzani wanatoa kupitia account mbalimbali walizounda.Ipo account maarufu kwa jina la Kigogo2014 ambayo imekua ikitumiwa na viongozi wa upinzania kuitukana serikali ya awamu ya Tano na kufurahia madhila yanayoipata serikali kutokana na maamuzi yake yanayolenga kuwanufaisha watanzania na kuondokana na unyonyaji.

Kwa mambo aliyofanya Mh Raisi John Magufuli,ni wazi kuwa licha ya kupigiwa kura na wanachama wa CCM ambao wametapakaa nchi nzima,atachaguliwa pia na wanachama wa vyama vya upinzani ili aweze kuendelea kuwatumikia vema wananchi wake.

Kwa maoni yangu na maoni ya watanzania wengi ,Tanzania teari ina Tume huru ya uchaguzi,tume huru za kutengenezeana kula,hazitakua na faida kwa watanzania wengi.Kinachohitajika ni serikali kujikita katika kutoa elimu ya uraia ikishirikiana na asasi za kiraia ili kuweza kupata viongozi bora.Uzoefu wa nchi zenye tume zinazoitwa huru ni kuwa zile tume ndizo zinazochochea machafuko na ubadhirifu pia na upatikanaji wa viongozi wasio wazalendo ambao hiwekwa kwa maslahi ya mabeberu.
 
Hoja gani unataka zaiidi ya uwongo ulioandika hapo..mbowe katoa taarifa ya mikutano kabla serikali haijatangaza kuingia kwa corona nchini.baada ya mbowe kusema kutakuwa na mikutano baadae siku zilizo fata ndio serikali ikatangaza kuwa corona imeingia nchini.sasa wewe na hizo pumba zako wapelekee kuku wakale.
 
Kuna usemi maarufu wa Kiswahili unasema, ¨siku ya kifo cha nyani,miti yote huteleza ¨ usemi huu una anza kuakisi ukweli wa siasa za vyama vya upinzani Tanzania na anguko lake kuelekea uchaguzi mkuu 2020.

Ni wazi kuwa Tanzania ina vyama vinne pinzani vyenye nguvu na ushawishi katika medani ya siasa za Tanzania,vyama hivi ni CHADEMA,CUF,ACT-Wazalendo na NCCR-Mageuzi. Kauli na mwenendo wa vyama hivi unatoa bishara ya kutokua na nguvu na kushindwa vibaya kuelekea uchaguzi ujao.Miongoni mwa kauli za viongozi na tafasiri zake kama zinavyochambuliwa na wataalamu mbalimbali wa siasa katika magazeti na mitandao ya kijamii ni hizi zifuatazo:-

Kauli za Chadema

Hivi karibuni Mheshimwa Freeman Mboe alichangia bungeni na kutaka serikali iunde tume huru ya uchaguzi ili uchaguzi uwe na viongozi bora,kauli hii ya kiongozi wa upinzani hasa kwa wakati huu ambao serikali inapaswa kuweka kipaumbele kwenye mambo ya msingi ili kuwaokoa wananchi na janga la corona imewasirisha wananchi na kuona ni kwa kiasi gani wapinzani hawathamini maisha ya watanzania.Akichangia mchangiaji mmoja kwenye ukurasa wa Jamii Forum kwenye Facebook anasema
’ Dunia ina Vichekesho sana, huu muda kuna watu Wanawaza tume huru ya uchaguzi badala ya kuwaza 'Ventilators'

Bashite bana.... sawa tumekusikia mkolomije.

ila nakushauri tu uanze kuandaa mtumbwi wa kusafiria kwenda mafichoni hapo Comoro baada ya October, ama vipi utapiga mbizi!
 
Ngoja nione watatukana Kama ulivyosema au watakuja na hoja kujibu hoja yako

Sent from Tapatalk
 
Uchambuzi makini,hawaji hapa ,wakija ni kukutusi tu
Kuna usemi maarufu wa Kiswahili unasema, ¨siku ya kifo cha nyani, miti yote huteleza ¨ usemi huu una anza kuakisi ukweli wa siasa za vyama vya upinzani Tanzania na anguko lake kuelekea uchaguzi mkuu 2020.

Ni wazi kuwa Tanzania ina vyama vinne pinzani vyenye nguvu na ushawishi katika medani ya siasa za Tanzania,vyama hivi ni CHADEMA,CUF,ACT-Wazalendo na NCCR-Mageuzi. Kauli na mwenendo wa vyama hivi unatoa bishara ya kutokua na nguvu na kushindwa vibaya kuelekea uchaguzi ujao.Miongoni mwa kauli za viongozi na tafasiri zake kama zinavyochambuliwa na wataalamu mbalimbali wa siasa katika magazeti na mitandao ya kijamii ni hizi zifuatazo:-

Kauli za Chadema
Hivi karibuni Mheshimwa Freeman Mboe alichangia bungeni na kutaka serikali iunde tume huru ya uchaguzi ili uchaguzi uwe na viongozi bora,kauli hii ya kiongozi wa upinzani hasa kwa wakati huu ambao serikali inapaswa kuweka kipaumbele kwenye mambo ya msingi ili kuwaokoa wananchi na janga la corona imewasirisha wananchi na kuona ni kwa kiasi gani wapinzani hawathamini maisha ya watanzania.

Akichangia mchangiaji mmoja kwenye ukurasa wa Jamii Forum kwenye Facebook anasema’ Dunia ina Vichekesho sana, huu muda kuna watu Wanawaza tume huru ya uchaguzi badala ya kuwaza 'Ventilators'

Sakata hili la kauli ya Mheshimwa Freeman Mboe ni mwendelezo wa kauli yake alipo wa amuru wafuasi wake kuendelea na shughuli za mikusanyiko licha ya kuwepo kwa ugonjwa wa Corona na katazo la serikali kuwalinda wananchi wasiambukizwe corona.Haya yote yanaleta shaka juu ya uelewa wakiongozi huyu na nia yake kwa wanachama wake na kwa nchi kwa ujumla.

Binafsi na mapitio ya baadhi ya wachambuzi niligundua kuwa Mheshimiwa Freeman Mboe hakufikia uamuzi huu mgumu hivi hivi,bali hofu ya kufutwa kwenye uwanja wa siasa za upinzani na kukosa ruzuku inamfanya kuchagua moja kati ya mambo mawili,kuwa na ubinadamu na kukosa alichonacho au kuwatoa wanachama wake kafara ili kulinda alichonacho (ruzuku).

Kauli za ACT-Wazalendo
Kiongozi mwingine wa upinzani ambaye amepoteza matumaini ya wanachama wake ni Mheshimiwa Zitto Kabwe.Kiongozi huyu kama tunakumbuka alisafiri nje ya nchi hivi karibuni kuomba benki ya Dunia pamoja na mataifa ya ulaya kuinyima Tanzania mkopo nafuu ambao utakuwa na mchango mkubwa sana katika maendeleo ya elimu Tanzania.Kwa kuwa hoja zake hazikuwa na mashiko,wananchi pamoja na wataalamu wa Benki ya Dunia walipuuza maoni yake na kuipatia Tanzania mkopo huu.Hasira za wanachi dhidi ya kiongozi huyu zimekua zikionekana kupitia mitandao ya kijamii kwa kumfananisha kiongozi huyu kama Yuda Msaliti na mtu asiye mzalendo wa nchi yake.

Kauli za NCCR Mageuzi
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi na Mbunge wa Vunjo Mheshimiwa Mbatia amekua akitoa kauli za vitisho kwa viongozi wa Chadema kwa kuwatishia kuwa atatoa siri za uozo uliokuwepo wakati wa muungano wa UKAWA.Kauli hii inaonesha wazi kuna mambo ambayo sio mazuri yaliyofanyika kipindi cha muungano wa vyama hivi vya siasa,ambayo wananchi wakiyasikia yataondoa moja kwa moja imani yao kwa vyama vya upinzani.

Uhalisia wa mambo
Tunafahamu siasa za awamu ya tano chini ya utawala wa Raisi John Pombe Magufuli zilikuwa ni siasa ambazo wengi wetu hatukua tumezizoea.Siasa kipindi hiki ziliruhusiwa kwa viongozi wa kisiasa ndani ya majimbo yao.Siasa ziliruhusiwa kwenye mitandao ya kijamii,pamoja na vyombo vya habari,na makongamano ambayo yaliratibiwa na chama husika na kupewa ulinzi na serikali.

Faida za siasa hizi zilikua kubwa tatu,kwanza ziliwawezesha wananchi kuendelea na kazi zao za kiuchumi bila bughudha,na pili zilijenga misingi ya uwajibikaji kwa viongozi waliochaguliwa kwa kuwatumikia wananchi na sio tena ku uza sera za vyama vyao.Tatu ziliunganisha watanzania wote katika juhudi za kuleta maendeleo bila kujali mrengo wa chama,dini,au kabila.
View attachment 1412520View attachment 1412521
Kwa kuwa siasa hizi hazikuwa zimezoleka kwa upande wa viongozi wa upinzani,zilisababisha athari nyingi na miongoni mwa adhari hizo ni kama zifuatazo:-

Moja wanachama pamoja na viongozi wa upinzani kukimbilia CCM na kuunga juhudi za Raisi katika kuwaletea wananchi maendeleo.

Pili viongozi wa upinzani ni kutokuwepo mianya ya rushwa na ubadhirifu ambao umesababisha ukata mkubwa kwa viongozi hawa.

Tatu ilikomesha wafuasi wa vyama vya upinzani waliokuwa wakitumia maandamano kama sehemu ya kujipatia mali kwa njia ya kupora madukani na kubaka wanawake.

Mwelekeo wa siasa umebadilika na kuwa wa kimitandao ya jamii,ambapo vyama vyote vya siasa vimejificha mitandaoni,mitandao hii ya kijamii imekua na mchango mkubwa katika kuuza sera na matendo ya chama tawala na sera za upinzani.Tofauti ikiwa moja tu kwa makundi haya mawili,CCM ikionesha ilichoahidi kwa wananchi kwa kutekeleza ilani yake ya uchaguzi ya 2015 huku upinzani ukiendelea kunadi sera zake bila utekelezaji wa ilani yake ya uchaguzi. ya 2015

Tathmini ya haraka haraka ya wapiga kura watokanao na mitandao ya kijamii inaonesha kuwa Raisi John Pombe Magufuli anakubalika kwa kiwango kikubwa na kufahamika zaidi kuliko mgombea yeyote katika uchaguzi ujao.Hii inatokana na sababu mbalimbali:-

Moja wananchi kutomjua kiongozi ambaye atasimama kama mpinzani wa Raisi Magufuli kwenye uchaguzi ujao.

Pili taarifa za viongozi wa upinzani wanaotarajiwa kusimama kama wagombea zinaonesha wazi kuwa viongozi hawa hawawezi kumudu kiti cha uraisi.Licha ya kutokuweza kumudu kiti cha urasi,pia hawana sifa za kizalendo,na uthubutu alio nao Raisi wa sasa Dr John Pombe Magufuli.

Changamoto ambayo wafuasi wa Raisi John Pombe Magufuli watakabiliana nazo ni matusi na lugha mbaya ambazo wapinzani wanatoa kupitia account mbalimbali walizounda.Ipo account maarufu kwa jina la Kigogo2014 ambayo imekua ikitumiwa na viongozi wa upinzania kuitukana serikali ya awamu ya Tano na kufurahia madhila yanayoipata serikali kutokana na maamuzi yake yanayolenga kuwanufaisha watanzania na kuondokana na unyonyaji.

Kwa mambo aliyofanya Mh Raisi John Magufuli,ni wazi kuwa licha ya kupigiwa kura na wanachama wa CCM ambao wametapakaa nchi nzima,atachaguliwa pia na wanachama wa vyama vya upinzani ili aweze kuendelea kuwatumikia vema wananchi wake.

Kwa maoni yangu na maoni ya watanzania wengi ,Tanzania teari ina Tume huru ya uchaguzi,tume huru za kutengenezeana kula,hazitakua na faida kwa watanzania wengi.Kinachohitajika ni serikali kujikita katika kutoa elimu ya uraia ikishirikiana na asasi za kiraia ili kuweza kupata viongozi bora.Uzoefu wa nchi zenye tume zinazoitwa huru ni kuwa zile tume ndizo zinazochochea machafuko na ubadhirifu pia na upatikanaji wa viongozi wasio wazalendo ambao hiwekwa kwa maslahi ya mabeberu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..mtoa mada anasema siasa " ziliruhusiwa " majimboni tu.

..sasa jiulize ni nani au alitoa hiyo " ruhusa. "?

..jibu ni Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi.

..Yaani mwenyekiti wa ccm, ana-control, au anazuia wenyeviti wa cdm, act, cuf, etc kufanya siasa.

..Je, hiyo ni sahihi? Je, ni haki? Ni demokrasia?
 
Huyo mnayemsifu kuwa pacha wa Nyerere anayejidai amefanya mengi kuliko marais wote waliopita nchi hii, mwambieni aweke tume huru ili wananchi wamuoneshe kiasi gani wanamkubali. Hayo mengine uliyoandika ni upuuzi tu.
 
Back
Top Bottom