Chama cha Demokrasia kimepita misukosuko mingi sana. mwenendo wa siasa za miaka mitano iliyopita, uchaguzi wa serikali za mitaa na sasa uchaguzi mkuu ni sehemu tu ya misukosuko hiyo.
Tuendeleze ile resilience yetu. viongozi wetu tunawaamini, na sisi wafuasi wa chama tupo na tunaona yote yanayotendeka. yote tunayoyaona ni ubatili na hili iwe chachu ya kushikamana na kukijenga chama.
UTHABITI ni muhimu kwa kuwa tunaamini katika NGUVU YA UMMA.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu kibariki Chama cha Demokrasia.